Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hivi ni kwanini mahusiano yakivunjika yanaleta uadui kati yao Hawa waliokuwa na mahusiano?, hata ule urafiki wa mwanzo unapotea!! Na ni kwanini ukimtongoza msichana unaefahamiana nae akakataa...
2 Reactions
10 Replies
864 Views
Habari wakuu Kuna kibinti hapa kitaa nimekielewa sana Sasa changamoto ni kuwa kikipata shida flani kinakuja kuniomba ila majuzi tuliweka promise kije home tuongee issue flani kikapotezea ingawa...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za mchana natumaini nyote wazima kbsàa poleni na tabu za maji,umeme na joto Kali kwa wale wakazi wa Dar. Bila kupoteza muda tuende kwenye mada yetu ya leo ndugu zangu. Kwa siku za hivi...
6 Reactions
43 Replies
4K Views
Maisha yana mambo mengi, vyovyote unavyoweza sema. Kupigwa chabo hasa ukingonoka faragha bila ridhaa huwa ni jambo la fedheha kubwa na agharabu likakupeleka katika msongo wa mawazo. Wengine...
27 Reactions
555 Replies
143K Views
Kabla usiku haujawa mnene.... Mwaka 2021 unaisha kwa namna yake kwa upande wa Bi Kasinde. Kuna jambo limenibidi/limenifanya nifanye maamuzi manene/mazito yenye/yasiyo na mashiko..... Mlango wa...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Wadau hivi unaweza kua na mahusiano ya kimapenzi na mchumba/ Dem wa rafiki ako endapo walishaachana?? Je ni zipi faida au hasara? Je, mshkaji wako akijua nn kitatokea? Uzi tayari! Maoni plz
0 Reactions
3 Replies
736 Views
AINA NNE YA WAKE. Katika ndoa mwanaume hukutakana na Aina nne za wake. Na Aina hizo zinaathari katika ndoa yake kwa namna moja au nyingine. Na aina hizo ni. 1. Mke penzi kubwa. Mke penzi kubwa...
3 Reactions
8 Replies
3K Views
Mm ni mwanaume nilie kwenye my late 20's, niliwahi kuwa na girlfriends in my late teens, Ila baadae, baadhi ya girlfriends nliokua nao niliwaacha, because sikua na malengo nao, wanajamii wengi na...
12 Reactions
41 Replies
5K Views
Katika kipindi chetu cha Gidi na Ghost asubuhi kitengo cha 'Stori za Ghost' mtangazaji Ghost Mulee alisimulia kisa kimoja kilichohusisha wapenzi wawili ambao ndoa yao ya miaka mitatu...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
1.Mwanaume ambaye anasubilishwa kupewa papuchi hadi wafunge ndoa wakati anafahamu binti aliyenae sio bikraaa 2.Mwanaume aliyeoa au kufunga ndoa na mwanamke ambaye ametolewa bikra na mwanaume...
8 Reactions
38 Replies
7K Views
Pale unapo piga show mbovu kwa demu yaani kigoli kimoja alafu chalii hua unajitetea vipi ili aelewe asikuone dume suruali hii imenitokea na sio kawaida yangu maana hua nakiwashaga sijui imekuaje...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
kuna utafiti nimeufanya nimegundua hapa BONGO wamegawanyika katika makundi yafuatayo. 1.MWANAMKE SHIDA hawa ni aina flani ya wanawake wao maisha yao wanategemea mwanaume...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Tujikumbushe barua tulizowahi kuwaandikia wapenzi wetu enzi hizo hakuna simu. Naanza ya kwangu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae. Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mada tajwa hapo juu, Wakuu demu wangu anatoka na wavulana wengine tena zaidi ya mmoja lakini naogopa kumwambia ili asije akaniacha. Shida sio kuniacha shida ni kwamba ananipaga mzigo kila wakati...
5 Reactions
132 Replies
13K Views
Mficha maradhi kifo umuumbua wiki iliyopita niilijichanga uswazi kupinga masanga na kutafuta kipoozeo(demu) kwani nilikuwa na ugwadu balaa si unajua tena sisi wazee wa lokoo daile. Nikafanikiwa...
0 Reactions
7 Replies
10K Views
Napenda kuwaachia ujumbe huu wake/wapenzi wetu,wakwe na mashemeji kwamba kusaidia ukweni hususani mume kusaidia upande wa mwanamke ni kitendo cha hiyari na sio lazima Kitendo hiki cha hiyari ni...
11 Reactions
67 Replies
43K Views
Habarini. Naomba Niende Direct kwenye Mada husika. Ni kama Story hivi. Mimi Hapa Nina Washikaji 3 Let us tuwa name A, B, C by then tupo zetu chuo 4 year now, sa inshu ipo hivi Mshikaji wangu A...
4 Reactions
32 Replies
3K Views
Katika pitapita zangu nikakutana na mrembo mmoja hv wa Kibondei; mtoto hatari modo mashine futa la nazi tu anawaka balaa alafu alichoniua zaid vibom vyake sio hatar kiviiiile Mzee mzima nikaona...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Yaani as days go tamaa angu ya kua wake wawili inaongezeka. Familia angu watu wa dini mi mwenyewe wa kusali sana kikanisa najua italeta shida. Japo moyoni mwangu NatAman sana nkiolewa tuwe wawili...
22 Reactions
80 Replies
5K Views
Back
Top Bottom