Habari zenu wakuu!
Bila kuwachosha naomba niwaeleze hii kitu,Kipindi naajiriwa (gvt)nimekuta watu wengi tu pale aliwepo mshikaj mmoja ambae alikuja kuwa mshikaji wangu sana.Baada ya kuzoeana sana...
Habari ndugu zangu wa JF.
Bila kupoteza muda nije kwenye mada. Mwanaume mmoja aishitaki hospitali baada ya kumfanyia upasuaji usioridhisHwa.
Inasemekana kuwa jamaa alipata ajali ya pikipiki na...
Nyege kwa mwanamke huwa inakuwa juu sanaa wiki mbili baada ya kutoka mwezini yaani homoni ya ESTROGEN inakuwa iko juu sanaa hadi pale siku za hatari zitakapoishaa sasa huu ni muda wa kunyanduana...
Ulimwengu huu umezungukwa na vishawishi vingi mno yaani hata ukiwa mlokole kiasi gani Kama ni mwanamme lijali ukipita mtaani kunawakati unajikuta unakodolea macho mwanamke mpaka unakuja kushituka...
★1. Ukitaka ambacho hakijamilikiwa na mtu yoyote ni lazima ufanye jambo ambalo halijafanywa na yoyote.
★2. Mungu akitaka kukubadili hukuletea mtu na shetani akitaka kukuangamiza pia huleta mtu...
Leo nimeona nilete hili jambo, katika ujana wangu nimebahatika na kuwa na mahusiano ya kimapenzi na zaidi ya msichana mmoja ila kitu nilicho gundua hata wewe jalibu kufanya utafiti
kama upo...
Yes, najua kaka zako, dada zako, wadogo zako au familia yako ya wewe na mkeo/mumeo pamoja na watoto ni muhimu kuliko marafiki zako lakini haimaanishi mtu usiwe na marafiki, marafiki ni watu muhimu...
Nimeuvaa uhalisia nikiwa kama mwanaume, siwezi kuwaongelea wanawake na ni kosa kubwa sana wanaume huwa tunaji mwanbafai tunapokadiria mwanamke anachotaka, anachofikiria, anachopenda, hisia zake...
Wanawake nawaomba muwaweke wazi wanaume kwa kutaja vitu vinavyowapelekea mtoke nje ya ndoa
Mkiwa wazi kwa kusema ukweli mimi naamini tutaokoa ndoa nyingi sana.
Karibuni
Nimeshuhudia single mothers wengi wakiolewa na ndoa zao zinadumu lakini nashangaa wanaume wengi huwaponda kuwa huwa wanapasha kiporo na wazazi wenza.
Binafsi nimelifanyia uchunguzi nikaona halina...
Mwanachama #001
Tafadhali ficha kitambulisho changu Mheshimiwa.
Najua nimemkosea Mungu na ubinadamu..pole pole napoteza akili yangu...sikutaka yoyote haya...Nina miaka 25, mama na mke , nina VVU...
Hili wakuu lipoje? Mara nyingi mno nimewahi kushuhudia wanawake wakiweka malengo ya maisha na watoto wao mara baada ya waume zao kufariki. Je, kwa mini wanajiaminisha haya?
Inaonekana mwanaume...
Habari zenu wananchi.
Leo nimetafakari jambo moja, kwanini watu wanaotoka bara la Asia huwezi kukuta watu kutoka mataifa haya kaoa au kaolewa na Mwafrica.
☆China
☆Korea
☆Thailand
☆India
☆Nchi...
Kuna mwanamke kaniomba sh elfu 40 akasuke nywele sasa nikaiwazia hiyo pesa kwa haraka haraka.
Elfu 40 nanunua mifuko mi 3 ya smenti.
Elfu 40 nanunua kuku wa 3 wanene.
Elfu 40 nanunua units 116 za...
Imetokea jana jamaa katoka chimbo usiku kamkuta wife wake juu ya kifua cha katoto
wife hakujua jamaa anarudi siku hiyo.
Kinacho nishangaza ni kwamba mke wa rafiki yangu ana mimba kubwa tu.
Habari za wakati huu wapendwa wanaJF, poleni kwa majukumu mazito ya kuitumikia Nchi yetu na kwa wale ambao mlikuwa na ibada leo hii, Hongereni..! Niende kwenye maada moja kwa moja.!
Mimi ni...
Hivi ukiwa na mpenzi unakuta mmepanga mambo mengi saana lakini unaona mwenza wako!
Kama haelekei hivi umepanga kumuoa, unamchunga ili mabaharia wasje vuta waya yeye hapndezew kuchungwa anasma...
Mwanaume mmoja kutona nchini Ivory Coastal amng’owa meno mchumba wake kwa kosa la kuvunja televisheni yake aliyonunua bei ghali.
Mwanamke huyo alivunja vitu ikiwemo TV kwa kugundua kua mpenzi...
Hello JF..
Naomba niende direct kwnye mada husika.
Tangu nipo 1st year.nlikua na ukaribu na binti fulani,nlijaribu kumuimbisha dana dana zkawa nyngi ad tkawa marafiki wakubwa yaani hawez kaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.