Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Usiku wa jana tumeshuhudia ndoa ya jirani ikivunjika kutokana na masimulizi ya ma-x walokua wakisimuliana.... Alianza mwanaume then akafuata mwanamke akimwambia mumewe, x wangu alikua akipiga...
6 Reactions
18 Replies
4K Views
Unaweza ukamuonesha hisia zako zote umpendae lakini yeye akashindwa kukupenda vile inavyotakikana!. Kupenda sio kosa lakini kupenda pasipo sahihi ni Kama kumeza kaa la moto!.. linakuunguza...
6 Reactions
51 Replies
7K Views
Nimeamia Sinza Africa Sana hivyo basi kutokana na kukaa sinza huku kituo changu cha kupata moja moto moja baridi ni KONA BAR umaarufu wa bar hii nadhani kila mtu anaujua sasa tokea niamie huku na...
25 Reactions
153 Replies
53K Views
Mnavua nguo mnaanza kupapasana mwanaume mkuyenge unasimama mwanamke analoana mnakubaliana mmoja aingize mwingine anaipokea unaanza kupiga push up uji uji unatoka mnamaliza page inakuwa closed. Na...
9 Reactions
40 Replies
4K Views
Wakuu najua mko poa, Ubachela raha sana,ila usiniinge kabisa. Kwanza hakuna kubanwa kama ambao wako kwenye ndoa Unafanya mambo yako kwa kujiamini sana Upangiwi cha kufanya Unarudi kwako mda...
13 Reactions
84 Replies
9K Views
Habari wazalendo, Mimi sipendi kuzungushwa na hawa watu wanaojiita pisi kali, yaani unamtafuta anakuzungunsha wakati ndio atakula pesa yako yaani nitafute pesa kwa shida halafu nikubebeleze uje...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Imagine nimetoka job hapa nimekuja na maocho ocho. Mtu kaanza kupika muda si mrefu nikasema ngoja wakati anapika nitoke niende dukani kidogo nikachukue kinywaji flani ambacho kinaendana na hiyo...
24 Reactions
138 Replies
9K Views
Haya maisha bana najihisi nina nyota ya kuwa peke yangu tu, tangu kuzaliwa nimezaliwa peke yangu sina kaka wala dada yaani peke yangu. Nimeishi mpka sasa nina miaka 27 yaani peke yangu peke yangu...
4 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari wana JF, Mimi ni msichana wa miaka 24, nilikuwa na mpenzi wangu ambaye tumedumu kwa miaka mitatu, bahati mbaya mwenzangu akawa ananichit kwa kuanzisha uhusiano na ex wake, na mpaka...
23 Reactions
184 Replies
23K Views
Habari wana JF Hapa nimebakia njia panda muda huu leo baada ya kumpigia mpenzi wangu simu! Ambaye tulipendana saaana, siku za nyuma hapo tulikosana lakini tukapatana tena maisha yakasonga leo...
5 Reactions
89 Replies
13K Views
Habari zenu? Poleni na majukumu ya kila siku, dada yangu kapata mtoto wa kiume sasa tunatafuta jina zuri tunaomba mtushauri lipi zuri kati ya haya maana tumependekeza haya sasa tumekosa msimamo...
2 Reactions
133 Replies
8K Views
BILL GATES AFAFANUA KWANINI BINTI YAKE HATAOLEWA NA MASIKINI: Mwandishi mmoja wa habari katika kikao kilichofanyika Marekani alimuuliza Bill Gates. Je, angekubali binti yake kuolewa na masikini...
1 Reactions
31 Replies
6K Views
Binafsi kifo cha Mpauko kimenipa funzo sana. Nimepitia nyuzi zote na comment Mungu naomba tu unisamehe kwa mawazo niliyokua nayo. Binafsi nilizaa 2014 mume akafariki ghafla kwa ajali nikabaki na...
184 Reactions
293 Replies
26K Views
Wana MMU nawasalimu wote. Niende kwenye mada ambayo nikikumbuka sometimes huwa nacheka na saa nyingine nahuzunika pia tuanze na vya kuchekesha; Baada ya kuhitimu masomo yangu niliamua kuondoka...
30 Reactions
32 Replies
9K Views
Mimi Zee Korofi nina dada yangu, aliolewa na jamaa mmoja aliekuwa anamuhudumia vizuri tu na sometimes alikuwa anahudumia home katika special occasions za isaues fulani fulani. Sasa alipata bwana...
14 Reactions
29 Replies
3K Views
Hii ni maada ususani kwa kwa wanaume hasa vijana ambao wapo kwenye harakati za kusaka wake au Wanataka kuachana na hao wanawake. Wewe Kama mwanaume unatakiwa uishi kimalengo na kimikakati huwezi...
17 Reactions
37 Replies
6K Views
Mambo ni mengi, maisha yanazidi kwenda kasi sana, mfumuko wa bei, Tanzania ya viwanda vya mikopo tunazidi kusukuma gurudumu. Niende kwenye mada, Wanaume sisi ni viumbe wenye uthubutu sana...
26 Reactions
56 Replies
6K Views
Wanawake / Mabinti baadhi wamekuwa watumiaji wazuri wa limbwata kama sehemu ya kuongeza chachu ktk mahusiano yao ya mapenzi. Zifuatazo ni baadhi ya teknolojia maarufu ama niseme pendwa za...
7 Reactions
92 Replies
12K Views
BABY HAKUNA CHA KUTUTENGANISHA, MIMI NI WAKO, TRUST ME. Niliyavaa mapenzi nikiwa sekondari, sikuwa hodari wa kutongoza mabinti, nililelewa na kukulia kwenye familia iliyojitoa wakfu kumtumikia...
10 Reactions
44 Replies
3K Views
Habari za kazi waungwana Mie nina swali fikirishi kwa walio oa au kuolewa. Swali lenyewe liko hivi: Pale mzazi wa mke wako au mme wako anahitaji kutolewa figo, kwa kuwa figo zake zimefeli. Sasa...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Back
Top Bottom