Hi kwa members wote wa Jf. I hope mko na afya njema tu, if not so m/Mungu awape wepesi na kuwaponya.
Back to the topic, hivi karibuni kametokea ka 'atmosphere' ka ovyo mno kwenye relationship...
Napita maeneo ya shule ya msingi Tandale Magharibi, foleni ni ndefu na magari hayatembei, barabara imejaa kundi la kina mama wakiongozwa na kundi la matarumbeta eti wanaenda kumsuta mwanamke mmoja...
Unakereka na nini ukifanyiwa wakati wa kufanya mapenzi?
Mie kunilamba Sikio.
Kuna wapenzi wangu flani hivi wenyewe wapo kama Nyau wanapenda kunilamba masikio mpaka wanaboa,
Nilishawaambia mimi...
Kwa manufaa ya baadae Mtu kama ujazaliwa nae hutakiwi kumuita kaka au dada. Kwanza mtu usiezaliwa nae unanzaje kumwita kaka, dada 🤔 ndo mana baadae mkikwama mnaishia kujilaumu ati mtu mwenyewe...
Kuna wakati hutokea, hasa kwa wanaume, ukiwa single unahangaika sana kupata mwenza wa kuanza nae mahusiano.
Cha kushangaza ukibahatika ukaingia humo, Wanawake wanaanza kujitokeza wengi na nafasi...
Habari wana JamiForums?
Kiukweli wanaume wenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea wanajua kupenda mwanamke asikwambie mtu.
Wanaume hawa wakiamua kumpenda mwanamke jaman wanampenda haswa.
Kwanza...
Kuna mdada mmoja nilikuwa nampenda sana hapa mtaani kwetu, one day niliamua kumchana live ila alinikataa! Basi nikaamua kupita hiv!.
Rafiki yangu akamtongoza akakubaliwa, akala, akanilingishia...
Naogopa Sana
Iko hivi jana tulikua namaongezi na mzee sebulen mpaka saa 6 usiku sababu toka nimetoka nyumban kujifungua ni kama ananikwepa hivi.
Akitoka kazini anipita uwanjan kwenye mazoez...
Kama kichwa cha uzi kinavyosema, shere na sisi jinsi ulivyopigwa tukio kwenye mapenzi
Mimi demu wangu wa kuanzia form one , tulipomaliza form four yeye akaenda chuo cha Ualimu, mi nkaenda advance...
Wana JF habari za majukumu,
Naombeni ushauri kwa huyu mpenzi wangu niliye naye, kuna siku tulikosana nikamrushia maneno makali sana nikamwambia yaani wewe mimi kukuoa itakuwa ngumu sana. Basi...
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale, kiukweli katika maisha hakuna kitu kikubwa sana kama talent ukiwa na talent yoyote ile unaweza kufanya kila kitu utakacho kupitia talent wengi wameweza...
Jamani huyu binti ukimwangalia ni tofauti kabisa na nilivyodhani,
Nilimtongoza kakubali lakini nilipomuomba game alikataa na kusema hataki mtu wa kuchezea usichana wake,
Baada ya kusumbuana nae...
Wanawake ni binaadamu wa ajabu sana katika uso huu wa dunia yaani hawa watu ni next level,kuwaelewa ni ishu iliyowashinda hata wana falsafa,Newton na uwezo wake wote Alishindwa kuwaelewa,mtume...
Habari zenu ma bidada na wamama kuna hichi kitu wanaume tunataka mtutoe tongotongo
Eti hivi ni kweli sisi wanaume kuna watu wenye mihogo iliyochangamka inapomezwa na mbususu?
Maana nimeshasikia...
Hivi utajisikiaje siku ukimsikia mpenzi wako anajuta kukufahamu na anazungumza hivyo baada ya kuona hamna malewano mazuri au mmegombana au kuna vitu mmeshidwa kuelewana.
Je upande wako utajisikiaje
Mchepuko umepagawa na huduma.
Kutokana na ninavyomjali; , chuo, matibabu n.k sasa hivi amechanganyikiwa kabisa.
Ananiuliza 'nilikuwa wapi siku zote hadi nikaolewa na yule mbulula'. Mbaya zaidi...
Samahanini Nina tatzo moja naomba mnisaidie, Yaani Mimi katika harakati zangu za kutongoza, nikijibiwa "Nina mtu" au "nina mpenzi tayari" Sina ujanja na huwa sijui maneno gani Tena ya kusema na...
Mwenzenu nina binamu yangu mmoja hivi tunalingana umri kidogo na mimi ni mtu wa kuondoka na kurudi kisomo baada ya kumaliza chuo nilirudi
Baada ya kurudi hom nikapewa pande la kusimamia duka sio...
Habarini za wakati huu wakuu naomba nisiende mbali niingie kwenye mada moja kwa moja kama kichwa kinavyojieleza
Wakuu siku hizi nimekuwa mtu wa ajabu kweli, yaani nimekuwa na wivu usio na maana...
Kama ilivyo kwetu wanaume Mara zote tunatumia mbinu nyingi nyingi ili tu tuweze kula mbususu za wadada wa watu.
Katika njia hizo zipo njia salama na zipo za hatari ...Basi Leo katika utafiti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.