Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno.
Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume.
Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka...
Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke.
Kondomu hizi zipo za aina tofauti kutokana na...
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!!
Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!!
NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja
wadau...
Ukiona kazi nyingi za nyumbani zinafanywa na beki tatu (mfanyakazi wa ndani) kama kukufulia nguo, kuzipiga pasi nguo zako, kufanya usafi wa nyumba, kukupikia chakula, kukupokea unapotoka katika...
Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke.
Wakati mwingine, mwanaume...
Ni dada yangu wa tumbo moja.
Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku...
NB.. Andiko hili ni kwaajili ya Me na Ke ambao kwao MAISHA YA NDOA NI SEHEM YA IBADA .( hawa hawana habari za Kibamia, hogoo, sijui kuwah maliza , watu ambao n.k)
Ikiwa unahitaji Utulivu wa...
Kume kuwa na hulka flan hiv ya mahusiano pindi yanapofika kikomo wahusika wawili Bado hubakia na namba ya ex wake kwenye simu kwa kigezo kuwa eti kuachana sio ugomvi.
Pindi wanapoingia kwenye...
Happy Happy birthday to my best friend Bufa
the one who laughs at my silly jokes and still stands beside me even when I do dumb and stupid things ,am so lucky to have you ,we love...
Kuna tukio leo limenitokea. ngoja nisimulie hapa nipate kujua kiundani, nimefanyiwa makusudi au bila kujua.
Leo mida ya jioni nilikua maeneo fulani kitaa nipo na washikaji zangu tunapiga story...
Habarini wadau na washauri wa JF
Mi bhana kuna mdada nilimpenda sanaaa na yeye alinipenda sana kuna vitu vingi sana amevifanya nyumbani kwangu ingawa aliekuwa anampa pesa ya kununua hivyo vitu ni...
Habari wana Jf natumaini mko salama mojakwamoja niende kwenye mada
Mim nikijana ambae nimekulia Kijijini ila kaka akaniambia nije mjini niwe namsaidia kwenye biashara zake kweli nikaja mjini...
Wanajamii Shkamooni wenzangu ...mambo vp Heri ya mwaka mpya Na kristmass .BWANA awe Nanyi ,Tumsifu Yesu kristo
Nimeona Leo Nije hapa kumwaga Jipu langu Nampenda Sana huyu Bint Long Time Ago Kabla...
Ni ajabu sana siku hizi mabinti wengi hawawezi kufinyia ndani tofauti na zamani.
Leo unamchukua binti wa miaka 18-25 ambao hawajazaa unategemea ufurahie maumbile yao ambayo bado hawajachoka, bado...
Ni hiviii,
Acha shobo za kujifanya unajua sana kupenda. 'Falling in love' ni ulimbukeni tu wa mapenzi, hakuna jipya. Ili mapenzi yasikuumize unatakiwa kuwa 'kauzu'.
Mpende akupendae tena kwa...
Habari wakuu?
Hawa vijana wa kisasa wanajua mambo haya kuwa uzinzi na uasherati ndio uliosababisha sodoma na gomora kuchomwa?
Dhambi ya uzinzi na uasherati imewapeleka watu wengi motoni na...
Ndoa isikie kwa mwenzio
Mmoja wa waliokuwa wanajua shida na raha zilizokuwa zikiendelea za dogo watu Stamina
Tusingependa mengi hata alichoongea najua akutakiwa ila.Ukweli unabaki kuwa kweli...
Hata kama mwananmke awe mzuri namna gani lazima ataenda kwa Sangoma ili ajihakikishie penzi lake.
Tofauti na wanaume ambao wakipata mwanamke kutumia limbwata huwa ni nadra sana. Sasa tatizi ni...
Kipindi cha nyuma nilikua na pisikali moja ni mzuri kinoma, kitoto cheupeee kimeenda hewani halafu kina shepu balaaaa.
Alikua ni fundi kwelikweli kitandani ana amsha amsha hatari mixer mineno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.