Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wadau nawasalimu, Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu, Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka...
15 Reactions
257 Replies
22K Views
"USITUMIE USALITI KAMA SULUHISHO" Elewa tabia za kudanganywa na mpenzi wako. Watu hudanganya kwa sababu nyingi na sio kila wakati kuhusu ngono. Wakati mwingine watu hudanganya (usaliti) kwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Yamenikuta kijana mwenzenu!mwaka jana mwezi October nilianza kudate rasmi na binti mmoja hv,mwanzo nilikuwa namuona wa kawaida tu ila siku zilivyozidi kwenda nikaangukia kwenye mahaba Niue,kwa...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Kuna mpenzi wangu tulikuwa pamoja. Anakuwaga na tabia ya kununa nambembeleza anarudi kawaida. Sasa Jumapili alikuja kwangu akanitunuku vizuri tu. Sema Kuna kitu kidogo nilifanya akakereka...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Upo hoi kitandani alafu mwenza wako anakubana umpatie pesa ya mchango wa Sendoff au harusi. Kwa picha kama hii unapata kumuelewa vipi? Anafaa kuitwa mwenza mwema?
7 Reactions
39 Replies
3K Views
Habar wana Jf Mke wangu amegundua tabia ya kunichapa makofi tukiwa kwenye 6/6. Tangu nirudi safari mke wangu amekuwa na nyege za ajabu tukiwa tunasex akikalibia kukojoa ananipiga kofi sasa...
1 Reactions
43 Replies
5K Views
PENZI LA UDANGANYIFU. Ilinyesha kama haijawahi kunyesha hapo awali, siku ile ilikuwa ni ya kipekee. Nilionekana nadhifu na mtanashati ndani ya suti yangu nyeusi, na nilinukia kama mfalme. Sikutaka...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Msaada unaitajika ndugu zangu maana hata sijielewi kabisa kwa mambo yanayoendelea. Nilikuwa na mke wangu ila tukaamua kuachana baada ya yeye kuchukua vitu na kuondoka. Baada ya muda kaona haitoshi...
20 Reactions
118 Replies
9K Views
Couples are often judged more harshly when the woman is older. Indeed, the social standard is for the age difference in a couple to be the other way around. Whether it’s 5, 10 or even more years...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Wazee kwa vijana wadada kwa wamama. Jina la bwana lihimidiwe! Kwa muda mrefu sana hili jambo huwa linatokea baadae linapotea kisha linajirudia tena! Huyu wife wangu amekuwa akirusha vijembe sana...
15 Reactions
221 Replies
28K Views
Habari zenu wakuu Nikiwa chuo mwaka wa 3 nilipata msichana niliyekuwa nimemzidi mwaka mmoja wa masomo kwa kipindi hicho Nilimpenda nikaamua kuanzisha nae mahusiano yaliyokuja kuzaa uchumba mpaka...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Za moniee wana jamvi, Ebana imekaa hivi, nina demu wangu anaishi kwao. Maza ake kama anakunja hivi. Sasa huyu demu ana kimgahawa, mtaji nilimpa ila mama ake hajui. Mama ake amekopa vikoba na...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Mwanaume mke wako amechelewa kurudi kazini unashindwa kuongea nae na kujua kilichotokea unanuna na kwenda kulala. Masikini binti wa watu hajui hata kama umekasirika. Huyu hapa pichani anakereka...
10 Reactions
63 Replies
6K Views
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenye degree na masters Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna kipindi nikiwa mwanafunzi nilipopita JKT, kuna afande aliwahi kusema kuwa mheshimu mno mkeo unayelala naye kitanda kimoja, kwani kukuua ni dk 0 tu. Akatoa na mfano kuwa je, akikuwekea sumu...
9 Reactions
55 Replies
6K Views
Habarini za jioni wana jamvi. Kuna binti tumefahamiana miaka miwili iliopita, ni dada ambae tunakaa sehemu moja. Aliniomba urafiki kwa kuwa alikuwa ananijuaa lakini mie sikuwa namjuaa kwakuwa...
4 Reactions
74 Replies
7K Views
Hi kwa wana Jeiefu wote. I hope mpo wazima kabisa. Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mushkeri imetokea baina yangu na girlfriend wangu. Issue ilianza pole pole tu lakini sasa mambo...
9 Reactions
52 Replies
3K Views
Ikitokea mmekaa wawili kwa muda mrefu, jinsia tofauti (mwanaume na mwanamke) hata kama hamna mahusiano, sehemu ambayo mpo wenyewe tu; hapo lazima midomo isalimiane na baadaye mambo mengine...
1 Reactions
8 Replies
929 Views
Nawasalimu kwa jina la JF, shuhuda ziendelee. Wakuu imepita takribani miezi kadhaa hivi tangu ni fahamiane na huyu dada, nikiri kwa hii hali iliyofikia mie ndiye wa kulaumiwa. Ilikuwa majira ya...
8 Reactions
151 Replies
14K Views
Jumapili moja nilikuepo kwenye mgahawa mmoja hapa Dar, kiukweli ni mgahawa wenye hadhi kidogo (upo classic) mgahawa una ukuta wa kioo, ndani kiyoyozi plus tv Pana flat screen. Nilivokua nje ya...
9 Reactions
66 Replies
6K Views
Back
Top Bottom