Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kweli Rau madukani acha paitwe Rau madukani. Ni hivi,juzi nilikutana na dada mmoja mrembo sana pale Rau madukani anaitwa Reah. Nikatupa ndoano akanasa fasta sana bila kusumbua hata kidogo...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Assalaam. Nipo home napigiwa simu na dada ambaye ni kama family fiend wetu kutokana kwa wazazi wetu kushibana katika mambo mbalimbali. Simu ilikuwa ikinijuza ya kuwa kuna dada wawili wanakuna...
5 Reactions
69 Replies
9K Views
Kutokana na changamoto ninazoziona kwa wazee au wakubwa zangu walionitangulia, hasa wenye umri mkubwa wanavyoishi, nimeazimia kutengeneza 'empire' kama mazingira yataniruhusu. Wazee wengi...
6 Reactions
12 Replies
1K Views
Miezi ya karibuni maeneo mengi yatakutwa na hali ya baridi au mvua, na kwa sasa kuna baadhi ya maeneo mvua inanyesha. Na kawaida hali ya mvua au baridi huwa ni baraka kwa wapendanao; kwa wale...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Thanks ndugu zangu kwa ushauri nzuri Nitaufanyia kazi Nisingelileta humu sijui ningeshaurika wapi Mungu awabariki sana
2 Reactions
222 Replies
43K Views
Habari zenu wanaJF! Ni hivi, kuna msichana mmoja nilizoeana nae sana kipindi alipokuwa ameolewa. Kuna kipindi ndoa yao iliingia dosari akaachana na mumewe wakiwa na mtoto mmoja, kiufupi huyu...
6 Reactions
64 Replies
6K Views
Hakuna kitu kinaumiza kama mkiachana harafu mwenzio alete madoido. Je, wewe ilikuwaje mlivyo achana. Rejea STAN BAKORA alicho sema yeye.
5 Reactions
142 Replies
9K Views
Unakuta ukiwa bwana mdogo kipindi bado bikra wa maisha, Wazazi na ndugu wanakuwa na shinikizo la kukukazia utafute maisha kwa ugumu. Kama ni mzazi utamuomba pesa ya mtaji atakwambia katafute au...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari wakuu, mbali na kuchelewa kumaliza, zipi Ni dalili nyingine za mwanaume aliyepaka mkongo? Sijajua kama alikuwa ananikomesha au la, lisaa limoja si mchezo, unatoka magoti hayana na nguvu...
28 Reactions
365 Replies
54K Views
Hahahaaaa! Wonders shall never cease for the Naive. A wise man has eliminated surprise in his life. Stay away from female manipulation Kupitia hiyo kauli unaweza jitutumua na ukajiidentify...
6 Reactions
7 Replies
854 Views
Habarini wana jamvi. Jana nilipata ugeni wa watu wanne, watatu kutoka ukweni na mmoja kutoka familia yangu. Sasa kutokana na hali yangu ya kiuchumi kwa kipindi hiki imekuwa...
18 Reactions
196 Replies
14K Views
Habarini... Hakika kuna kundi moja ambalo lina stress za kimya kimya. Hawasemi tuu. Ni kundi la wanawake walioturn 30 years na kuendelea halafu hakuna hata dalili za ndoa. Kundi hili lina...
7 Reactions
48 Replies
8K Views
Ni kweli wake za watu matendo wanayofanya yanatutia wasiwasi.kwa mfano unakuta mnakunywa pombe katika grocery ghafla mumewe anampigia simu kumuulizia alipo Cha ajabu Bila aibu mke anajibu kuwa...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Natafuta sehemu wanayofanya massage kwa bei nafuu jijini arusha.
1 Reactions
73 Replies
25K Views
Nianze kwa kusema OLE OUT! Wanangu wa MAN-U na Leo tunakufa tena. Turudi kwenye Topic. Wakuu hapo nyuma nilikua na Mpenzi Dadek Pisi kali ya kwenda ila ilikua inapenda Pesa sana hela za Shopping...
5 Reactions
75 Replies
6K Views
Naombeni msaada wenu wanajamvi. Nina mchumba wangu bikra wakati wa kufanya mapenzi tunapata shida sana. Wakati wa tendo nashindwa kutengeneza njia kwa sababu mpenzi huwa analalamika sana kwa...
3 Reactions
221 Replies
471K Views
Habari wana jf naomba kushare na ninyi kisa hiki maana kishanikuta zaidi ya mara moja Wakati nipo shule ya msingi ndio balehe zinaanza anza nikatokea kumpenda binti fulani sasa si unajua...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za wakati huu, napenda kuulizia hivi husband material huwa anapatikana wapi?. Maana vijana wa wakati huu ata nashindwa kuwaelewa kabisa mambo yao, wengi wanapenda kulelewa na hawafaham...
27 Reactions
506 Replies
24K Views
Kweli maisha haya hakuna ajuae kesho tena hayana formula Kuna mama mmoja bwana kazi yake ni kufua na kufanya u safi Huyu mama katufanyia Sana kazi toka 2015 anakuja jnne kufua na kufanya u...
16 Reactions
58 Replies
4K Views
In a relationship, saying "I love you" is a significant step. It's exhilarating to express your feelings for someone you care about, but it may also be a little frightening to put yourself out...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom