Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu Habarini za wakati Huu! Naomba tujadili kidogo hili swala la Tofauti ya Ages kati ya wenza, inafahamika kwa tamaduni za Kiafrika Mara Nyingi Mwanaume ndio huwa na umri Mkubwa kuliko...
13 Reactions
107 Replies
10K Views
Nina tabia ya kupenda penda kukaa mwenyewe tu miaka ya sasa hivi ukilinganisha na zamani. Kufupisha stori ni kuwa miaka ya shule ya msingi nilikua napenda kujichanganya na marafiki zangu muda wote...
22 Reactions
74 Replies
11K Views
Mi nina mume wangu nampenda sana tena sana isipokuwa nina tatizo. Nina hisia zaidi nikiwa na mwanamke mwezangu kuliko mume wangu. Naona raha zaidi nikichezewa na mwanamke mwenzangu kuliko na mume...
6 Reactions
266 Replies
60K Views
Habar zenu wakuu, Baada ya mihangaiko ya sikU nzima kila mmja wetu Lazima anategemea akapumzike. Na sehemu nzur ya kuupumzisha mwili, bila shaka kitandani ndo sehemu pendwa zaidi. Sasa Kuna mda...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Babu zangu ni marafiki zangu wengine walikuwa madereva wazuri zamani wamefika miaka 60 Ila kwa kuwa walijitunza wako fresh kuendelea kupiga kazi na inafaa wanapopewa gari laini.wapo wengine...
1 Reactions
4 Replies
628 Views
Habari zenu wakuu, Nimekuwa na mahusiano na binti mmoja,Ambaye tulikutana akiwa na miaka 18 nikiwa nimemzidi miaka 12 tukaishi naye pamoja (pika pakua) mpaka alipotimiza miaka 19 mapema mwaka...
6 Reactions
120 Replies
15K Views
Nina mpenzi wangu tumedumu katika uhusiano kwa miezi kama miwili ila anachonishangaza ni addict wa kubet hadi nachanganyikiwa 24/7 yeye ni kubet kwenye simu yake amejaza app kama 7 za kubet bado...
3 Reactions
61 Replies
7K Views
Nilikaona kameanzisha tabia ya kuniangaliaangalia, nami nikageuka kuwa mwangaliaji pia. Nikiwa mgahawani siku moja kakapita nikakakaribisha chai, kakachukua vitafunwa tu kakaenda.....ile...
2 Reactions
77 Replies
5K Views
Wakuu habari ya leo Mwenzenu yamenikuta nina mpenzi hatuishi pamoja ila yeye aliko anakaa karibu na mabinti wawili aliowahi kudate nao Mimi ni mwanamke ninachoshangaa vitu vingi vinavyotuhusu...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Ni ndugu yangu mtu mzima, namwita shangazi, sijawahi gombana nae, na binafsi namwona ni mtu mwema kwangu, na nimefahamiana naye toka utoto wangu hadi utu uzima huu, kipindi cha likizo nlikuwa...
8 Reactions
59 Replies
5K Views
Habari zenu wanaJF, Kama mjuavyo baadhi ya madhehebu hususani haya ya kipendekoste wana utaratibu wao wa kuchumbia ambao sharti uanze kwa mzee wa kanisani kumuelezea dhamira yako juu ya binti...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Nina uchungu sana baada ya kuona mpenzi wangu toka juzi yuko busy na sm anachat wala sikujali ila nilishangaa sana yuko busy kuliko siku zote. Jana nikaamua kujichanganya kuingia Jf kupata mambo...
17 Reactions
256 Replies
17K Views
1. Wanawake ambao unaweza kumtongoza leo, akakukataa, tena kwa mbwembwe, vijembe na kila aina ya kujidai hadi unaona wewe si loote kwake. Ukatulia zako ukaendelea na mambo yako. Ghafla baada ya...
10 Reactions
86 Replies
8K Views
Wakuu hope mko poa. Me ni graduate, nilipomaliza chuo kazi hamna, niliamua kufungua bihashara, namshukuru mungu bihashara inaenda poa kwakweli. Kwakua sijaoa nakuwa na uvivu wa kupika, hapa...
8 Reactions
101 Replies
6K Views
Ipo hivi: Tumedumu kwenye mahusiano kama mwaka hivi, imefikia muda sasa nataka kuoa halafu yeye dini tofauti na naona kuna mambo tunatofautiana sana, dini amekataa kubadilisha anataka nibadilishe...
14 Reactions
104 Replies
6K Views
Naona wanasheria wanawake kwa kushirikiana na Serikali ya sweden ( Serikali ni watu kama mimi na wewe basically) wamemualika rais wetu kuzindua document fulani leo kuhusu familia Hii imenipa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nilipozaliwa nilitamani siku moja niwe na familia yenye Amani furaha na upendo lakini vyote hakuna badala yake, Mwanamke hanifulii anapika Chakula hanipi, Anaenda mbali na tulipo haniambii...
15 Reactions
106 Replies
6K Views
Daah! Hii dunia ngumu sana ukiifikiria sana unaweza kulia kila siku. Maana kuna mambo mengine yanachekesha. Hivi mtu yuko serious kabisa anacheza upatu na mchepuko halafu anapanga malengo na...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu Poleni na Majukumu ya kutwa Nzima! Leo nimekumbuka Life la school lilivyokua na hasa Inshu ya Mapenzi, nilivyokua natesa watoto wa watu because nilikua kichwa class halafu Handsome, then...
5 Reactions
146 Replies
8K Views
Waheshimiwa katika hali ya kawaida ukutane na hali kama hiyo utafanya maamuzi gani!!?
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom