Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na...
Wasalaam JF,
Kuna binti nimetokea kuwa naye kwenye uhusiano miaka miwili sasa. Nampenda jinsi alivyotulia mpole , mstaarabu ,mcha Mungu na asivyo na tamaa hana makuu. Tatizo Academic exposure...
Baby mama culture a threat to marriage institution?
SUNDAY OCTOBER 24 2021
Social media and appealing internet phots such as these “mommy-and-me” photos tend to glamourise the baby mama trend...
Ndoa ni nadhiri au maagano mnaojiapiza mbele ya Mungu yaani kwamba mume na mke mtavumiliana kwenye raha na shida. Katika karne hizi vijana mnafunga ndoa kama sanaa za maonesho tu baada ya hapo ni...
Ni mtu ambaye niliishi naye miaka kumi na tatu na tulibahatika kupata watoto wanne. Ila leo mama Agness nimempa talaka mahakamani bila kupenda. Imeniuma sana nilimzoea sana mke wangu.
Mama Agness...
1. Mtoto mtulivu, mkarimu
Huyu ni mtoto anayewaamini wazazi na watu wanaomzunguka. Utulivu wake unasababishwa na kujiona yu katika mazingira salama na hivyo hana wasiwasi. Kutokuwa na wasiwasi...
Siku za leo neno kuachana kwenye ndoa kimekuwa kitu cha kawaida sana na isitoshe mpaka baadhi ya watumishi wa Mungu kuhalalisha kabisa na kuruhusu hili swala. Kwa kwale linaniumiza moyo sana...
Hakuna Safari ngumu katika maisha kama Safari ya mahusiano maana kuna kipindi kipindi mahusiano yako na mpenzi wako yanakuwa ya furaha kuna kipindi mahusiano hayukupi furaha......
Lakini pia...
Wakuu habari,
Imetokea wewe kijana wa kiume una mpenzi ambae anafanya kazi mkoa tofauti na uliopo wewe yupo na mahusiano na mtu mwingine aliekaribu nae utamsamehe?
Ni hivi, kijana hana uwezo...
Hapa mtaani kuna madoni kama watatu.
Baada ya kujaribu kupata cv zao na wake zao nilishangaa sana. Doni wa kwanza alipata mke kwenye danguro na mpaka leo wapo pamoja.
Doni wa pili alipata mke...
Nilikuwa naona mafala wanaolia na mapenzi
Nilikuwa naona kama wadhaifu au wana roho za kidada!!
Sasa mgumu yamenikuta. Juzi nimemfuma mpenzi na namba za jamaa kicheche sana hapa mtaani!!
Na...
Habari zenu wakuu.
Juzi tuligombana na wife na baada ya mabishano ya siku mbili wife aliamua kwenda home kwao.
Sasa leo asubuhi nikawa nachat nae kumbe wakati huo huo alikuwa anachat na x wake...
Nikiwa katika pitapita zangu, nilimuona mtoto Mmoja mrembo Sana akiwa ameket kibarazani(Kama mita 500 kutoka ninapoishi)
Nilishangaa kuona navutiwa naye Sana kiasi cha kutotaka atoke machoni...
Kwema wakuu?
Nilikua nimekaa mahali ninakula msosi, kuna jirani yangu pembeni akawa anaongea na mkewe kwenye simu. Ebana wanavyoongea hadi raha yani. Mkewe anamuuliza jamaa siku yake imeendaje...
Video ya Ngono ya Walimu Uingereza Yawaletea Balaa
Walimu wawili nchini Uingereza wako kwenye hatari ya kupoteza kazi zao baada ya video yao waliyoitengeneza wakati wakiepeana uroda nyumbani kwao...
Maisha ya mtanzania wa kawaida yamekua na mzunguko unaoelekeana sana. Anazaliwa, anakua, anasoma, anapata kazi/biashara, anaoa (anaanza kulalamika majukumu mengi ya familia, anahangaika na kipato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.