Hanari za asubuhi wapendwa. Ni matumaini yangu kwamba haujambo wote humu ndani.
Napenda kutumia wasaa huu kuwajulisha, kuwashauri na kuwasihi dada zetu, wadogo zetu wa kike kwamba mapenzi siyo...
Wataalamu wa #Malezi wanatueleza kuwa Lishe bora ina mchango mkubwa katika ukuaji na ustawi bora wa mtoto kwani hujenga afya na akili ya mtoto.
Lishe bora hujumuisha mchanganyiko wa vyakula vya...
Kwema wakuu kuna dada mmoja hivi tumejuana juzi juzi nikamuomba namba akanipga.
Ila kila nikimtumia tuu message lazima anipigiee tuongee wee sasa hapa najiulizaa inakuaje yaaani.
Wakuu hope mko poa,
Hivi hii imekaaje mtu kurudiana na Ex wake,, Je, ni vibaya? Kama ni vibaya why.
Je mapenzi yanadumu kwa ma ex kurudiana.
Je inawezekana ex wakarudiana na penzi likadumu hadi...
"Bro nina stress ya mapenzi, Kuna Demu wangu nadhani unamjua nampenda sana lakini nakiri yeye alikua akinipenda sana na ni single mother. Nimeishi naye kwa muda wa mwaka na nusu tuliishi kama mke...
Huo ndio ukweli Mchungu wanaume wenzangu, tuangaike kutafuta pesa sio kuangaikia mademu,
Ukiwa na pesa hautaomba msamaha ata kama ulikuwa unakosa, Mwanamke anavumilia shida kwa muda mchache tu...
Kwa ulimwengu wa sasa huu ndio ukweli, kutokana na tamaa na mahitaji ya anasa kuongezeka kote duniani; wanawake/warembo wengi hupenda kutumia njia ya mteremko, hasa pale wanapopata mtu wa...
Ambatana Na mimi.
Mpendwa msomaji wa JF Karibu kwenye makala hii tujifunze kwa pamoja,Leo ntazungumzia wanaume makala ijayo ntazungumzia wanawake.
Kama mwanaume lazima upate wakati wa kujua...
Ukitaka mtoto wa kiTz akukubali kwa nguvu zote we mpige kitenge. Hasa lile wax la p3 hapo utakuwa umemuweza. Mbususu na mabusu utapewa kama yote.
Sijajua kuna nini kwenye vitenge mpaka akina dada...
Bwana bwana, katika zama za utundu utundu wangu nakumbuka nilichukua Goma moja kwaajili ya kuvinjari ila nikawa sina imani nae kabisa,tulipofika tu Lodge,nikamwambia tuoge kwanza, ile ametangulia...
Katika harakati zangu za uchakataji wa papuchi, napitia aina mbalimbali za hawa wenzetu ambao Muumba alituumbia tusaidiane nao.
Wapo warefu kwa wafupi, weusi kwa weupe, wembamba kwa wanene wenye...
Mi niliongea na msichana wangu mmoja tulivyomaliza kumbe sikukata nikabaki nawambia washikaji kwamba huyu msichana simpendi anajipendekeza kwanza hajui mapenzi, kumbe yeye yote aliyasikia kesho...
Heshima yangu iwaendee wale Wanaume ambao wana pambana na maisha Nonstop nazungumzia wale wote waliopanga wanalipa kodi za nyumba, walioa, na wale wanaolea watoto. Mungu aendelee kuwajaliaa sana...
Siku za mvua zina vishawishi vingi sana, ukifikiria usafiri wa kufika Mbagala, mabasi yamejaa na miundo mbinu yetu ilivyo rafiki. Mvua imeanza mchana na umefika ofisini na high heels zile...
Dear My Future Wife,
I'm writing this while you are away and I’m here thinking of all moment with you.
If only I were to describe how lucky and blessed I am to have you in my life, no proper words...
Wote tunajua ndoa ni jambo la kheri kimila na kidini, kutokana na malalamiko kuwa vijana wanashindwa kutambuana, sio mbaya kwa mfano baba ambaye huwa anahangaika maeneo mbalimbli, endapo...
Nina miaka 27 nimewahi kufanya mapenzi Mara nyingi tu na madada poa na baadhi ya mademu zangu huko shuleni na chuoni Ila kiukweli sijawahi kulala kitandani na mwanamke usiku kucha kwa sababu...
Sio kwa kutumia mizimu, bali kaniroga kwa utamu utamuni. Sauti yake tamu hulindima mithiri ya bubujiko la chozi lenye kuleta furaha!.
Jina lake zuri nimeliandika katika kikiminika cha damu yangu...
Wiki iliyoisha tu kuna msela wangu kaachwa akawa analalamika mpak kulia! Kiberenge wa watu ndo kwanza sielewi nikawa namcheka naona huyu nae anajitafutia visa tu!
Yalayalayala!! Kumbe jambo...
Wandugu nina mchumba tunataraji kufunga harusi na nimeshafanya michakato yote ya mwanzo ila week iliyopita nilinunua line mpya na kusajili maana kwa miaka kadhaa nilikuwa nikitumia laini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.