Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wengi wanapenda kuwa na wapenzi na hatimaye kufunga ndoa; Swali, Je tarajio lako la kuoa au kuolewa lilikuwa ni kwa ajili ya kupata watoto, kupata utamu, kuondoa upweke, au kuwaridhisha watu...
0 Reactions
4 Replies
780 Views
Habari za majukumu wakubwa na wadogo... Kichwa cha habari chajieleza hapo juu... Kumezuka mtindo wa akina dada kujiuza kwa style tofauti huku wengine wakiwa ni wanaume wakijipatia nafasi hiyo...
2 Reactions
39 Replies
6K Views
Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano...
8 Reactions
43 Replies
4K Views
Hakuna aliyefikia hatua ya kuitwa mkuu bila kuwa na sifa zinazofaa mbele yake anayetakiwa kumfanya mwingine kuwa mkuu. Kila ukuu kwenye maisha yako hujalisha mahusiano na watu wale wanaokuzunguka...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, ni ni pale unapo mnunulia mpenzi wako zawadi na kumtimizia mahitaji yake kwa wakati? Au ni pale anapopatwa na matatizo na mpenzi wako akawa nawe bega kwa bega Nauliza hili nikiwa na mifano...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ningependa kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja huwa kuna faida yeyote ilee unapokuwa na mpenzi wa njee. Kama ndio hebu tueleweshane kuhusu hili jambo.
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Nimeona nishare hii story ......ilikuwa mwaka 2019 enzo hizo nakaa Tabata Kimanga KWA dada yangu . Kuna siku niliingia whatsapp nikakutana na msg ambayo namba ilianzia na +1____ , ilikuwa inasema...
37 Reactions
155 Replies
9K Views
Inasikitisha sana wakuu
7 Reactions
201 Replies
47K Views
Habarini Wadau wa MMU, suala la malezi ni changamoto sikuzote,kulea watoto halijawahi kuwa rahisi hata mara moja tena wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo,kwamba utu au tabia za mtoto wako ni...
6 Reactions
57 Replies
4K Views
Habari za wikiendi wapendwa. Kuna jambo lilishawahi kunikuta linanitengenezea maswali mengi kichwani yasiokua na majibu sahihi. Nilishawahi kua kwenye mahusiano na mwanamke fulani kama mnavyojua...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Mm ni mwajiriwa hospitali moja hapa Jijini Dar es Salaam. Ni mwaka wangu wa pili kazini na ni mzoefu katika kazi za kuhudumia hadi saa nyingine huwa boss ananiambia nibaki kuhudumia wagonjwa then...
10 Reactions
103 Replies
14K Views
Salaam wanajamvi la JF. Ukienda kwenye vituo vya elimu za watoto wadogo, awali, msingi na kuendelea ukapata wasaa wa kuzungumza na watoto au walimu utapata kufahamu kuwa watoto ambao wanaishi au...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Hapa tu wadau wengi wenye kutupa mirejesho,uzi,visa na mikasa,matukio na n.k Ambao wapo kwenye mahusiano, ndoa, wapenzi na wengine ambao bado mishale ya inasoma au wapo wapo tu! Suala linakuja...
5 Reactions
45 Replies
3K Views
Wapenzi wangu wote niliowahi kuwa nao waliniambia hii kauli kuwa Wana marafiki wengi wa kiume kuliko wanawake wenzao Sasa sijaelewa huwa wanajihami Ili siku ukikuta Wana mazoea na wanaume ujue...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Unajisikiaje unapoona kuna msichana anasoma chuo na wewe, anashindia mlo mmoja kwa siku? Unajisikiaje kuona msichana aliye chuo anavaa hovyo kwa kukosa pesa wakati anapenda kupendeza? Naumia...
15 Reactions
119 Replies
10K Views
Hili ni swali kwenu wanaume; Ni kwann huwa mnapenda kushika kwenye dushe lenu Mara kwa Mara hata mbele za watu? Huwa hamuoni aibu? Hii hufanywa na wanaume walio wengi Naomba nipatiwe majibu please.
5 Reactions
115 Replies
9K Views
Sijui huyu ni demu wa aina gani? Ipo hivi; one day usiku ilinitafuta namba ngeni kwa sms(ilinitext Mambo), sikutaka kuchelewa nikapiga, najua wanangu wa halotel mnajua wingi wa dakika za halotel...
13 Reactions
95 Replies
16K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, hakuna upendo wa kweli Afrika, wanawake wanaolewa kwa shida na njaa za familia zao. Wanawake wanaolewa ilo kujishikiza, wanaficha tabia zao mbovu na...
7 Reactions
36 Replies
2K Views
1. Kutokiri makosa 2. Kutoa hewa chafu hadharani 3. Kumuangalia mwananke mwingine 4. Kukoroma usingizini 5. Kukataa kufanya kazi zaid ya moja 6. Kutomfanyia vitu vya kumshangaza 7.Kutomsikiliza...
6 Reactions
48 Replies
5K Views
Eti wanajamii kuanzia umbali gani ambapo mahusiano yanachukuliwa kama long distance relationship? Nawasilisha.
4 Reactions
73 Replies
5K Views
Back
Top Bottom