Habari za mchana wana MMU!
Kufupisha stori hivi unaweza kuishi nyumba moja na mke/mme wako ambao wote ni wafanyakazi.
Ikafikia wakati wote mmepata likizo lakini kila mmoja anaenda anakojua yeye...
Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno. Unakuta Mume na Mke wote wanatoka nje ya ndoa. Mimi kama mwanamume nakiri kabisa tatizo kubwa...
Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa?
12 Julai 2019
Imeboreshwa 25 Aprili 2021
CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES
Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja...
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid.
Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got...
Maisha ya mahusiano huwa yana siri kubwa unaweza kumuona mtu anacheka anafurahi akiwa na mpenzi wake lakini moyoni mwake ana maumivu makali yanayomfanya ajute kuwa na mahusiano na mpenzi aliyenaye...
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia.
Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king.
Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K...
WATOTO WANATUMIKA KINGONO!
Inaumiza lakini ndio uhalisia! sio kitu kinapendeza machoni wala akili lakini ndio ukweli!
Watoto wetu hawako salama!
Hawako salama sio kwa watu tunaoamini sio salama...
Wazazi wenzangu na wanawake wote majumbani jamani tuwe makini sana na hizi channel za cartoon network wanazoangalia watoto wetu.
Tunawaachia kujua kua ni cartoon kumbe wanayoona umo ndani ni...
Hellow Jf.member
Nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie...
Habari wana jamvi.
Pamoja na kuachana na X wangu takribani miaka sita maneno yake yafuatayo na yakumbuka sana
1. Roho uliyokua nayo usidhani kila mtu anayo na itakurudisha nyuma sana.
2...
Msaada jamanI
Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku...
Habari MMU.
Binafsi husikia watu waliooa wake wawili, watatu, wanne na kuendelea ila sijui nana wanavyoishi.
Je kila mwanamke ana nyumba yake? je wanaishi ndani ya nyumba moja?
Mengine
1/Hao...
Wanaume wenye changamoto katika mahusiano ni miongoni mwa evidence zinazoupa nguvu msemo huu wa wanawake hawapendani. Ili mwanaume utofautiane na mwanamke lazima mfanane tabia, wote mmiliki tabia...
Hureee! Hii pia Ni salamu njema kwenu kwa sababu siku imepita salama na amani.
Lakini kwa bahati mbaya nimeharibiwa siku na haka kasichana ambako kwa umri nimekazidi sana, nimekazidi elimu zaidi...
Amina alimaliza siku zake tarehe 26.06.2016,akaja akakutana kimwili na Mussa siku moja tu tarehe 02.07.2016 baada ya hapo Mussa akasafiri.
Mwezi wa 8 kuanzia tarehe 1 na kuendelea Amina...
Watu wengi wamekuwa wanatamani kupata nafasi ya kupendwa na watu wanaowapenda, wahitaji, lakini wamekuwa hawajui njia za kufanikisha hayo yote.
Leo nataka nikupe siri moja.
Ili umvutie mwanadamu...
Sijui kama ni nature ya wanawake au ni dunia imekua na watu katili kiasi cha kuwa ukimfanyia wema mtu anakuona wewe ni wa ajabu na anatafuta mbinu kurudisha wema wako.
Mwanzoni ilikua najua labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.