Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari wakuu kama hua mnapita kwenye mitandao ya kijamii ya jamiiforums basi hua mnaona swali linalo ulizwa na mdau, sasa mdau mwenyewe ndio Mimi. Leo mdau nauliza je, ni umri gani sahihi wa mtu...
2 Reactions
60 Replies
4K Views
For you to know your woman is sleeping with another man is a thing you need to dig deep to know. You need sufficient and strong evidence to prove this. A lady can keep a secret for a very long...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Everyone will appreciate the opportunity to sleep after a long day, especially if you can share that comfortable space with your companion. According to a health professional, sleeping beside...
2 Reactions
2 Replies
948 Views
Nmetafakari sana jambo hili na kujiuliza why nikae na mke? 1. Chakula anapika house girl 2. Nguo anafua gouse girl 3. Usafi house girl 4. Watoto analea house girl 5. Chakula naandaliwa na...
37 Reactions
126 Replies
14K Views
Weekend moja nikamtoa out Mwanne. Kule akala bata sana mithili mtu anayenikomoa. Usiku huo nikampiga mistari tuondoke wote atarudi kwake asubuhi. Akanicheka san. Pamoja na kula vitu vyangu pale...
10 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari wakuu! Yalaah! Walahi sikuwa dhania kuwa uchawi ni ishu sirius. Nilijua ni stori tuu kama zile za Nondo mla watu. Au zile stori za kusadikika za marehemu Shaaban Robert. Juzi live...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Sex ni moja kati ya starehe ambayo inafanya baadhi ya watu kuwa na hisia kali sana mpaka kufikia kushindwa kuweza kujihimili na kufanya vitu vya kushangaza, bila kujali cheo, umri, jinsia, n.k 1...
8 Reactions
80 Replies
8K Views
KAMA ULIKUWA HUJUI Afrika ndio bara lenye wapenzi waaminifu kuliko mabara yote Katika utafiti uliofanyika juu ya UKOSEFU WA UAMINIFU katika mapenzi nchi za ulaya zimeongoza kwa kutokuwa...
2 Reactions
5 Replies
580 Views
Hivi huu ubaguzi wa makabila bado upo hadi leo? Nimekutana hii clip ya baba akimuonya mwanae asimpeleke mchumba wake wa Machame kwake, toka siku nyingi nasikia tu Usioe wa Machame, wana Jf...
17 Reactions
423 Replies
40K Views
Bandugu, uzoefu unaonesha kuwa katika familia nyingi mme hukosa sauti kwa mkewe pindi watoto wanapokua na hasa watoto hao wakiwa wakiume. Mara nyingi humtetea na kumjali mama na kumuona baba si...
1 Reactions
4 Replies
816 Views
Habari za jioni. Swali kwa Wanawake, mnawezaje kupona maumivu ya usaliti? Mnawezaje kurudisha ule upendo ulioisha mioyoni mwenu? Umeolewa, mna zaidi ya miaka 15, jamaa matukio ya hapa na pale...
7 Reactions
118 Replies
11K Views
Habari za hapa wakuu.....,, Baa za siku hizi zinakila kitu kurahisisha maisha ya mnywaji Kuna parking, kuna wahudumu wazuri, kuna kila chakula cha asbuhi, mchana na jioni, kuna waosha magari...
38 Reactions
52 Replies
8K Views
Heshima kwenu wakuu... Kuna baadhi ya mambo yaliwahi kujitokeza hapo zamani wakati nipo kijana wa makamo miaka ya 2000 enzi zile nipo shule ya msingi niliwahi kushuhudia kisa kimoja kwa baba...
3 Reactions
43 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Naombeni ushauri nipo na mpenzi wangu tumedumu kwenye mahusiano kwa miaka miwili na miezi kadhaa mpaka leo hii Shida iko hapa tulikuwa tunaaminiana sana mimi na mpenzi wangu kumbe...
10 Reactions
104 Replies
8K Views
Wanaume wamekuwa wakilalamikia baadhi ya wanawake zao kwamba wana midomo na wamekuwa na gubu na ndio sababu kuu ya wengi kuendeleza michepuko. Sasa mimi kwa imani yangu ninaamini kwamba hiyo...
19 Reactions
118 Replies
7K Views
Kwa mara ya kwanza nilisikia story za ishu za Freemason nikiwa darasa la 5 nafikiri ilikuwa mwaka 2007. Nilikuwa interested sana kiukweli na hii secret society, kiasi kwamba nikawa naiba laptop...
5 Reactions
116 Replies
13K Views
Naomba kujua kama kuna mtu anajua vizuri hii njia ya fractination wakati wa kumtongoza mtu, inasemekana ni njia bora zaidi ambayo ukiitumia kwa mtu yeyote unampata ndani ya dakika15. Pia wengine...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Narudia tena moja kati ya changamoto ya uchumba unaoelekea katika ndoa ni pale inapotokea upande wa familia yako kukataa kuoa au kuolewa na mchumba wako uliyemtambulisha nyumbani kwa sababu zao...
1 Reactions
5 Replies
770 Views
Nawakumbusha wanaume wenzangu wote wenye mke zaidi ya mmoja. Mke mdogo asikufanye ukamsahau au ukampuuza mke mkubwa. Mke mdogo amenifanya nizidi kumpenda sana mke mkubwa. Naongea kikubwa kwa...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ilikua mwezi wa 1 mwaka huu 2021 mke alipotimka bila kuniambia ameenda wapi na kila kitu cha ndani, akidai huku nilipo nimeoa, nilikua na wakati mgumu Sana mda huo nikazidi kukomaa, kwa Sasa vitu...
9 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom