Kati ya Baba na Mama yako Mzazi ni yupi ambaye kwa Mila zetu Sisi Waafrika unaweza ukamlalamikia kuwa Mkeo au Mumeo hakupi Mapenzi mazuri ya Kitandani huku ukienda mbele zaidi kwa Kumchambulia (...
Miaka hii kumekuwa na taasisi nyingi sana zinazotetea haki za mwanamke kwa kuonyesha baadhi ya falsafa ambazo zitamkomboa mwanamke. Falsafa hizo ni pamoja na 50/50 yaani katika nyanja zote za...
Wakuu Msaada jamani, maana huku kwangu ni shida familia ya msichana ni shida. Unakuta mmepanga kupeleka mahari unasikia msiba, kuna mgonjwa yaani ni pasua kichwa.
Hivi ni mimi tu au ni kawaida?
Dawa ya mwanamke mbona simple tuu:
Kama mwanamme jipende na kujijali wewe kwanza... Kosa letu wanaume huwa tunajitoa kafara “ sacrifice” kwa ajili ya Mwanamke wakati ukifanya hivo yeye anakuona...
Muhuni alipigwa tukio,kwa hasira akakimbilia studio kuchana mistari. Hii nawapa kama dedication kwa members wooote wanaopigwa matukio ya kusalitiwa kimapenzi.
Kila nikifungua MMU nakutana na...
Ni mara nyingi nimeongea na wanawake hasa walionizidi umri wamekuwa wapo against na kutembea na wanaume waliowazidi umri. Ukiwauliza sababu ni nini hawatoi jibu la kueleweka.
Lakini pia katika...
Wanajamvi mu hali gani?
Naomba niende kwenye mada:[emoji116][emoji116]
1. Neema aliyemchoma bf wake na petrol alisoma? No, hajasoma!
2. Je, yule aliyemkata mtu wake uume kule Mara alisoma? No...
Kumekuwa na malalamiko sana kutoka kwa Makundi haya ya Wanawake kuhusiana na mtizamo wa Wanaume wengi juu ya Kazi zao.
1. Wanasiasa
2. Manesi
3. Masekretari
4. Askari/ Wanajeshi
5. Wanasheria
6...
Wahesimiwa wa mmu, ndoa yangu ya mwaka mmoja inakaribia kuniua, ushauri wenu muhimu sana.
Huyu mwanamke nimejuana naye miaka miwili kabla sijaamua kumuoa, ingawa pia maamuzi ya kumuoa...
Natumai mu wazima humu ndani,
Kiukweli leo nimeamini mwanamke unayemfatilia sana na kumchunga ndiye mwanamke usiyeweza kumuacha kirahisi. Hili nalizungumzia hapa siropoki tu kutokana na kiporo...
Habari za mchana wana JF wenzangu?
Nilipokuwa mdogo niliwahi kusikia kuwa Mwanamke mwenye maumbile fulani kwa nje basi ukimvua nguo mashine yake aka Papuchi inakuwa na maumbile ya mtindo fulani...
Mke wangu tunaishi naye nyumbani lakini bado sijafunga naye ndoa. Nimekaaa naye yapata miaka 6 sasa. Niko naishi pia na baba yangu nyumba moja. Mke wangu analalamika kwanini baba yangu anamuita...
Wakuu niende moja kwa moja kwenye mada..kuna demu kitaaa nilimfukuzia takribani miez mi3 bila kula mzigo na hatimaye mwezi wa nne nikaja kumla lkn yy akagoma nimle kavu akataka nivae kinga..baada...
Wanajukwaa habarini za mapumziko ya weekend?
Mimi leo ni sabato ya Bwana kwa hiyo sifanyi kazi yoyote zaidi ya kula.
Tukirudi kwenye mada ya msingi hivi ni sawa mwanaume anapomfumania mkewe wa...
Ukiwa mwanafunzi kweli unaweza ukapigana shuleni ukahisi umeonewa ukatoa machozi. Lakini kwa mtu mzima aisee nimeshindwa kutoa chozi labda nilie msibani ila hata Kama nyumba yangu au duka lije...
Ukikutana Na mdada Ukachukua namba yake, mkafahamiana kidogo, huna haja ya kumpeleka kwenye migahawa ghali, au kumlipia nauli, vocha, au kumpa pesa alizokuomba.
Wewe mueleze sehemu unapokaa, Na...
Ni jambo la kheri kujua ubaya wa mwenzio ili uishi naye kwa tahadhari au mkarekebisha ili mjenge familia bora kumbuka kuna hatari ya mmoja akalichuma mkala wote nakuwaacha watoto wakiwa yatima...
Habari ya jumapili , Naomba niwape mkasa ulionikumba siku ya Leo,nauita mkasa maana umenishangaza!.
Ni hivi Jana nimeungwa kwenye whatsup group la kamati ya harusi ya rafiki yangu, baada kama ya...
Nashukuru sana Mungu napumua, matumaini Wana jf mko vizuri [emoji817]
Mwaka 2015 niliingia kwenye dimbwi la mapenzi na binti mmoja aliye kuwa kidato cha tano na Mimi nikiwa nimehitimu veta tarime...
Watu wengi hua hatutaki kuukubali ukweli ila mwenzenu nina ushuhuda.
Mazoezi yanasaidia sana kwenye tendo la ndoa, nlkua nafanya penzi mzunguko mmoja nachoka vibaya mno.
Nkitaka kurudia bao la 2...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.