Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sikuwahi kufikiri kama kuna siku ningekua kwenye hii situation. Sio tabia nzuri lakini siwezi kumuacha yeyote; nawapenda wote, they are all mine. Labda kama mmoja atagundua namcheat akitaka...
20 Reactions
287 Replies
28K Views
Wakuu, habarini za wakati huu na poleni na mabadiliko ya tozo za miamala ya kifedha kwa njia ya mitandao ya simu. Kuna nyakati kweli tunafanya mizaha lakini hapa nawashirikisha jambo hili 'on a...
14 Reactions
89 Replies
7K Views
Wakuu nimekaa na wakurya sehemu mbalimbali, hawa watu wamenivutia kwa confidence waliyonayo. Sio waongeaji lakini wanajiamini sana wanapofanya jambo. Hawa jamaa kila nilipokuwa nao karibu...
7 Reactions
204 Replies
25K Views
Heshima kwenu ma great thinkers, nliwahi kuleta uzi hapa wa mpenzi wangu niliyempenda kupitiliza, nimeutafuta niuunge hapa sijauona. Nlienda naye hadi nje ya nchi ili kumweka sawa tusiachane ila...
5 Reactions
80 Replies
10K Views
Hope mko poa, Nyie wanaume wa humu naombeni jibu. Hivi pale inapotokea unamchumba wako ambae soon mnafunga ndoa alafu ukachit inakua; a) Tamaa b) Tabia yako c) Nature kama mnavyodai d) Mchumba...
0 Reactions
57 Replies
4K Views
Nimezaliwa katika familia ya kawaida tu iliyokidhi mahitaji ya msing mwaka 1988. Baba yangu alikuwa mwalimu ila baadaye akaacha bila kutoa sababu za msingi. Sababu yake kubwa ninapomuuliza ni...
10 Reactions
235 Replies
11K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA mbinguni hakuna laana tena. Leo napumzka na visa vya muha nawaletea kisa huko cha dogo na mchepuko wake. Nina dogo langu mmoja ni Mzee WA PGO ( police ) dogo...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba. Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba. Ndio...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Hello watanzania wenzangu! Ebana kabla ya kwenda kwenye point naomba nidiklee interest kuwa mimi nimeoa,nina mtoto mmoja and I am responsible father for 100%. Sasa bana, mimi ni mzee wa tungi...
12 Reactions
58 Replies
4K Views
Kusema ukweli zero nimekufa nimeoza kwako wewe mrembo wa jf mwenye Avator ya miguu,miguu iliyonona kabisa natamani sana nishare nawe one knight stand, Angalau siku moja tu, maana kwa miguu yako...
14 Reactions
133 Replies
8K Views
Kuanzia mwaka 1994,nilipokuwa darasa la nne, hadi mwaka 2000 nilipokuwa kidato cha tatu, nilikuwa nafuga njiwa. Nilifanikiwa kuwa na njiwa takribani 2000. Kilichofanya nisiendelee kufuga ni...
22 Reactions
109 Replies
30K Views
Wakuu habar zenu! Nina bint tuko mahusiano mwaka wa 6 huu,,mwanzo nilimuona kawaida japo ukweli mzur kuanzia sura ,tabia,heshima na ukweli anajielewwa sana!mtafutaji haswa mtu wa kufanya...
10 Reactions
183 Replies
10K Views
Naanza kuwasalimu kwa utukufu wa Mungu wa mbingunanchi. Nimeona post kadhaa zikitumia morning glory kama ni tendo la kujamiiana la alfajiri. Jamani mimi nadhani tutafute neno jingine kwa hiyo...
12 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari wana MMU! Eeh bwana uaminifu umekuwa wa kusaka kwa manati hasa kwa vijana walioko kwenye uhusiano wa kimapenzi na hii imekuwa ikichangiwa na simu za mkononi kama chombo cha mawasiliano...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu imekaaje hiii!!!!Kweli mzazi wa kiume ukague simu ya binti yako kweli??University student, umri zaidi ya miaka 20. Mzee unakagua simu yake ili ugundue nini???? Haya ghafla hii hapo...
1 Reactions
4 Replies
860 Views
Hello Guys, I have a hard time making friends. I am not really shy or anything but it's really hard to me to stay in touch with people. It's like I quickly become bored with them. Na sio kwamba I...
33 Reactions
250 Replies
14K Views
Ulysses umri 94 na Lorraine Dawson mwenye miaka 92 wote wa huko west Virginia wanasema ndoa yao hiyo ya miaka 75 ilikuwa na furaha na changamoto nyingi, wakati wanasherehekea anniversary hio mume...
3 Reactions
1 Replies
697 Views
Ukirejea katika Uzi huu > Nahisi mke wangu anani-cheat, nifanye nini kumkamata? Ambao ni Uzi nilieleza jinsi mke wangu alipoanza kunicheat, Leo ni week ya 4 Sasa, Nimekuja na Muendelezo wa...
25 Reactions
155 Replies
18K Views
Habari zenu wanajamvi...nashindwa kumuelewa huyu mpenz wangu ni yule mtu ambaye ikitokea mmekorofishana atakuongelea maneno machafu sana yan hauamin kama yametoka katk kinywa chake,ivi karibuni...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu salama ! Ipo hivi, nilikuwa na huyu manzi wangu ambaye tulikuwa tumepanga baada ya miezi kadhaa tuanze process za kutambulishana kwa wazazi lakini safari yetu imefika ukomo gafla ,nimependa...
28 Reactions
68 Replies
6K Views
Back
Top Bottom