Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za muda huu GUYS... Niende moja kwa moja kwenye mada,nipo kwenye uhusiano miaka minne sasa...Nina miaka 23 na mtu wangu ana miaka 20..nampenda &ananipenda sana(tunapendana). Kwa mara ya...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Habari wana JF. Kama title inavyosema ni kabinti kangu yaani katoto kangu ka kike kenye umri wa miaka 9.5 sasa. Majuzi nimekaa nako kwenye gari nikisubiri bidhaa nilizoagiza huku nataniana naye...
13 Reactions
120 Replies
10K Views
Hii mambo ya vijana kuchukuana na kuanza maisha bila kutushirikisha wazazi imekaaje? Binti unajiskiaje kuishi na mtu asiyejulikana kwenu? Kijana wa kiume unapata amani kuishi na binti bila...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Pamoja na wazazi wengi kuwasajili watoto wao shule za mbali na wanakoishi ili sababu ya ubora wa hizo shule ukweli ni kwamba wamekua wakiwatesa sana watoto wao. Fikiria mtoto wa Dar es salaam...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu wa Mbinguni hakuna laana. Leo naendelea na muha taeleza siku naondoka rasmi na kuachana Naye. Nakumbuka nyakati hizo Yule mwanamke alizidi kunipanda kichwani...
11 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu Mtu anayetembea na mke Wa mtu kimapenzi kwa kufahamu kabisa. Huyo mtu Mimi namuonaga kama takataka tu tena mpumbavu. Hana tofauti na mbwa, Malaya mkubwa
16 Reactions
169 Replies
25K Views
  • Closed
Kwanza kabisa! Heshima kwenu watumiaji wa pampuchi za Bei Nafuu pamoja na wale wote walio kwenye mahusiano.. Sitaki kuwachosha Sana.. Yafutatayo ni Mambo yalionifanya Nichukie kwa dhati ununuzi...
5 Reactions
4 Replies
6K Views
Kitendo cha kushindwa kutambua kwamba uliye naye hakupendi ni tatizo kubwa sana. Unapokosa utashi wa kujua unapoteza muda kwa huyo uliye naye ni kutaka kuwa mtumwa wake. Upendo umepungua sana...
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Katika kitabu cha John Maxwell kiitwacho Thinking for Change kuna point alizungumzia kuhusu mahusiano ya mwanamke na mwanaume kama hawashiriki tendo la ndoa au sex hapo hakuna TRUE LOVE zaidi ya...
15 Reactions
77 Replies
6K Views
Habari zenu wana jf Uzi wangu wa kwanza huu nitililike kwenye mada. Kijana mwenzenu naelekea kutwaa jiko ivi karibuni ivo nlitaka kufahamu ni aina gani ya mke ni sahii kuishi nae maisha ya ndoa...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Blessed is he who expects nothing, for he shall never be disappointed Mara nyingi maumivu au depression inawafika wengi wenye matarijio makubwa, (hata kwenye urafiki na mahusiano). Kwanini...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Dondoo za kuzingatia katika mjadala:- 1. Ndoa nyingi zimeacha kufanyika baraka kwa ndugu (Charity that does not begin at home). 2. Ndugu za mwanamke akiishi katika ndoa anatoboa kimaisha kuliko...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau imenitokea nipo katika mahusiano na mwanamke mmoja tuna miezi miwili na mipango kadhaa tatizo lake hataki kunitumia picha zake Whatsapp wala kupiga picha na mimi anadai hana muda wa kupiga...
3 Reactions
73 Replies
6K Views
Napitia Uzi kibao na comment mbalimbali nikiona wanaume wanawakashifu masingle mother wakati wimbi Ili la masingle Maza wamesababisha wao Kwa kukwepa na kukimbia majukumu Yao. Wimbi kubwa la...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Aisee! Mnaoishi na wanawake mnawezaje! Hapa nimeishi na mwanamke miezi minne lakini naona kama miaka 9, hapa nilipo nina mood yakusafiri pasipojulikana narudi after 2years, hana fujo zozote ila...
21 Reactions
72 Replies
4K Views
Wakuu duniani hapa kuna mambo, acheni tu. Mimi ni mtu wa kazkazini, mkoa unasifika kwa kutoa makamanda wengi wa jeshi. Katika haya maisha nilimpenda mtoto moja wa kigoma hawa waha.tulishindana...
24 Reactions
78 Replies
7K Views
  • Closed
Nyie mwenzenu mapenzi yananitesa sana nikisema niyaache niwe single nafall tena kama kuna mshauri anisaidie ntakufa ety[emoji24] Iko hivi yani sijawahi kubahatika na mahusiano toka nianze kuyajua...
8 Reactions
110 Replies
7K Views
Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Moja Kwa moja kwenye mada. Nilipohitimu chuo niliamua kuanza maisha ya kujitegemea rasmi yaani mi nilihama nyumbani kabla sjaenda kupanga...
18 Reactions
45 Replies
7K Views
Wakuu nilipata kuzaa na mdada mmoja miaka kama mitatu hivi imepita. Kiukweli nimekuwa na mahusiano mema tu na mwanamke huyu kwa muda wote japo mie nimekuwa mtu wa harakati za hapa na pale na...
2 Reactions
61 Replies
8K Views
“Dereve taratibu bana usije ukatuua, mi sina mtoto hata mmoja” Msemo kama huu husikika sana katika jamii yetu watu wakimaanisha ni kama mkosi kufariki kabla hujaacha mtoto. Imefikia watu kuona ni...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Back
Top Bottom