Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukiwa single kwa mwanaume ni rahisi kupata mwanamke wa kupunguzia haja zako pale unapohitaji kwa gharama nafuu. Ila ukiwa umeoa hapo ndipo changamoto ilipo 'escort' ndio itakuwa chimbo lako; kwa...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Hello, Hivi hii ya kufanyia mila vitovu na nywele za uchanga za mtoto ni kila kabila? Na kwa makabila yanayofanya hivo usipofanya hivo na ukavitupa au kuflash chooni nini hutokea? Lets share kwa...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Umefika 30+ hajaoa lakini nyumba yako inapendeza. Unapenda sana umaridadi hata dining table yako ni ya kioo na sofa za leather. Jumamosi asubuhi unapolish meza na unasafisha nyumba ndiyo...
10 Reactions
29 Replies
3K Views
Hivi ndoa za RC ukiingia kuna kuachana kweli ama ukiingia umeingia [emoji16]?
4 Reactions
193 Replies
11K Views
Kumsikiliza mtoto kunaaminika kuwa ndio ngao muhimu zaidi ya kumlinda mtoto. Wataalamu wa malezi wanatuambia kuwa mtoto anayesikilizwa huwa jasiri na muwazi kwa mzazi au mlezi kwa yote...
9 Reactions
13 Replies
2K Views
Nilikuwa namsikiliza mwana saikolojia alphaxad joel kupitia yotube channel yake Katika mafundisho yake anasema mahusiano yana nafasi kubwa ya kujenga na kubomoa maisha yako Hivyo kila baada ya...
0 Reactions
2 Replies
888 Views
Sipo okay kabisa physically, psychologically & emotionally sipo sawa na najua nafanya kosa kubwa sana ila inabidi nfanye. Nna ujauzito wa 4 weeks lakin kesho Mungu akipenda naenda kutoa. Nafanya...
9 Reactions
229 Replies
12K Views
The secret behind this song is that it's Big.. Biiig! Wimbo huu nilimsikilizisha my girl back in 2006. Hakuwa shabiki wa muziki kihivyyo, kama mnavyokumbuka miaka hiyo. Niliandika hizo lyrics...
2 Reactions
76 Replies
10K Views
Dah! Hili suala huwa linanipa shida sana. Napataga marafiki wengi wa kike ambao kwa namna moja au nyingine huonesha dalili za kunipenda niwe mtu wao sema shida inakuja pale wakianza kuongea na...
2 Reactions
152 Replies
45K Views
Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga.... Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao...
19 Reactions
67 Replies
6K Views
1. HAKIKISHA UNAFAHAMU HASIRA ZAKE ZIKOJE Kila mtu huwa anakasirika hivyo ili uweze kuishi na mpenzi wako vizuri Unatakiwa ujue hasira yake ikoje? Je! Huwa anakasirika haraka au anachelewa...
8 Reactions
16 Replies
4K Views
Ndio dunia! Ukiwa na pesa ni matatizo, ukiwa maskini ndio kabisa, ukiwa hivi yani kila kona ni matatizo. Sasa hawa wamezeeka hata mapenzi kwao kusema wakachepuka wanachepuka vipi.
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu dada nilikutana naye Hotel Moja ya Kimataifa katikati ya Jiji la Dar, nikamtokea. akanikatalia kuwa si sahihi maadili ya kazi hayamruhusu nlimwambia pale tumeonana tu mazoezi mengine...
22 Reactions
121 Replies
15K Views
Eeh bhana maisha bado yana safar ndefu..tunaendelea kuishi na kitu pekee napenda maishani ni ubunifu wa jinsi ya kuishi vizur na kwa furaha na binadamu. Before 2018 nilikua mtu wa kukutana na...
11 Reactions
80 Replies
42K Views
Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
2 Reactions
46 Replies
4K Views
Kumekuwa na tabia ya kubaguana katika kutafuta wapenzi; wapo wanaosema wanataka wapenzi wao mara wawe weusi, weupe, warefu, wanene, wenye chura, macho goroli, kiuno nyugwi, aliyejazia kifua n.k...
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Huyu shemeji yenu anahangaika sana na dunia. Kuna sehemu aliacha kazi toka January, sasa kapata kazi nyingine mahala pengine tofauti. Nimemwambia sawa hiyo kazi ni nzuri ila nakuambia haya...
24 Reactions
134 Replies
10K Views
Habarini wana JF natumai muu wazima Kilichonifanya niwe hapa ni speed yangu katika mahusiano nimekua mtuu wakuharakisha mambo sana. Mfano naweza muomba mwanamke namba alafu halijapita lisaa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba WA Taifa Mwl JK Nyerere. Sina cha kusema Ila Mungu Amuweke anapostahili. Kila mtu atavuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman eeeh! Naombeni msaada kama kuna mtu anaweza kunitibu au kuna namna naweza tumia kuifanya mashine iwe kubwa Nimekuwa nikikosa radha ya mapenzi kwa kuwa na kibamia yaani nikiwazamisha inakuwa...
20 Reactions
195 Replies
29K Views
Back
Top Bottom