Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Sinaga complication sana na mahusiano yangu, mi nikidate na mtu huwa simfatilii kuanzia kwenye simu zake mpaka movement zake za mtaani, Mi ninachoangalia kikubwa ni nidhamu na uhakika wa kupewa...
11 Reactions
34 Replies
2K Views
Wakuu Mapenzi mi siyaelewi kabisa, yananitia tu katika stress, nilipokua single nilikua fresh kabisa nilipoingia kwenye uhusiano Ni stress tupu mawazo chungu nzima Wivu, hila yani mapenzi...
5 Reactions
50 Replies
8K Views
Dada zangu natumai hamjambo, nina swali moja tu, yupi mume bora mwenye kuoa mke wa pili au mwenye kupenda kuchepuka nje?
3 Reactions
106 Replies
14K Views
Wataalamu wa #Malezi wanatuambia ni muhimu kuwapa watoto elimu ya afya ya uzazi ili kuwaepusha na madhara kama kujihusisha na kujamiiana wangali wadogo, mimba za utotoni, ndoa za utotoni na kupata...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habarini za saa hizy?? Ndugu zangu naandika uzi huu nikiwa nimejawa na furaha ya kuepusha kuvunjika kwa mahusiano yangu. Jana usiku nikiwa na mpenzi wangu getoni kwangu, kwenye muda wa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna mtu kanipa kisanga hapa nimeona niwashirikishe ili nimshauri. Kijana anaishi Mbeya kabila Msangu kaoa mwanamke Mnyakyusa. Baada tu ya kuoa mama wa binti akahamia kwa kijana (mkwe wake] na...
18 Reactions
140 Replies
19K Views
Habari Wana JF, Natumaini wote ni wazima wa afya, na kama si wote basi kwa wale ambao afya zenu hazipo poa basi MUNGU akawafanyie heri. Lengo la huu uzi ni kutaka kupata experience ya how to...
1 Reactions
31 Replies
5K Views
Hizi ni roho ambazo shetani amekua akipandikiza kwa watu wengi wa kizazi cha leo kwa nia ya uharibifu. Spirit of man mwanaume kuvutiwa kimapenzi na mwanaume mwenzie vivyo hivyo kwa upande wa...
22 Reactions
36 Replies
3K Views
Salaam wanajukwa, Ijumaaa hiyo kwa wale wenzangu na mimi ambao Magufuli hajatuathiri sana tukutane. Niende kwenye mada moja kwa moja. Nimekua nikisoma story za watu nimekua nikishudia mwenyewe...
9 Reactions
166 Replies
13K Views
Kwanza kabisa kabla hata ya kujadili Co-parenting....tuangalie nini hupelekea wazazi kutoweza kulea mtoto wao kwa pamoja in the same household. Jibu ni......SEPARATION! For many, separation is...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Vitanda vya zege vinaimarisha ndoa, hata kama umepanga havisumbui majirani hata watoto wanakuwa hawaelewi kinachoendelea. Mnavyojua mahaba ili yaende vizuri yanahitaji utulivu, kwa hiyo nawashauri...
2 Reactions
41 Replies
3K Views
Habari zenu jamani, leo sina gazeti kubwa Sana, labda kwenye comments mikiamua nyie kuandika magazeti. Hiki ni kitu ambacho hata Dada zangu na shangazi zangu nilitamani niwafanyie ila ndio vile...
0 Reactions
6 Replies
881 Views
Habari zenu humu wana jamvi. Leo nimeamua kuweka wazi humu mambo ambayo wanawake huyafanya tinapokuwa ndani ya mahusiano ya kimapenzi ambayo kimsingi huwa yanachangia pakubwa sana kwa mimi kuamua...
9 Reactions
33 Replies
9K Views
Je nikijichanganya mitaa ipi hapa nitakuwa na nafasi kubwa kukutana na wazungu wengi na hatimaye nikaopoa mchumba ? Nahitaji kuanza kucheza mechi za kimataifa ili niwe balozi Msaada please
3 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mfano una mume,na mumeo Ana kimada/michepuko,siku moja katika kufua nguo,ukapekua simu yake,,ukaja kuta Kuna sms imeandikwa na michepuko wake,hivi HIZO LAKI NANE ,MPE MKEO AKAFANYE MATUMIZI...
4 Reactions
4 Replies
661 Views
Hivi ulishawahi kukutana na mwanamke kwaajili ya kufanya mapenzi uume ukagoma kabisa kusimama, yani katakata? Hii imenitokea jana sielew imekuajekuaje ni tatizo au ni nini? Nilikua safarini...
16 Reactions
73 Replies
6K Views
Hii ni observation ndogo tu nimekuwa nikifanya. Si maanishi nipo sahihi wala sitaki kuamini kama nipo sahihi ila nilitaka kujua hii kasumba ni kwanini ipo hivo. Imejitokeza sana kwamba mtu mweupe...
8 Reactions
50 Replies
15K Views
Kwa ufupi ni kwamba nilipata bahati ya kusafiri na Kiongozi mkubwa, mtu mwenye mamlaka makubwa kwelikweli katika nchi hii awamu ya nne. Safari hii ilikuwa katika moja ya nchi kubwa Ulaya, kama...
9 Reactions
45 Replies
4K Views
1. UZINZI MATAWI YA JUU, mfano munatoka Tanzania mnapanda ndege munaenda China kufanyia uzinzi, au mnafanyia uzinzi kenywe hotel za 5 stars dau linakuwa kubwa kidogo kama 400,000/= kwa siku 2...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi wewe mwanamke au binti, ambaye umeolewa au upo kwenye mahusiano: [emoji116][emoji116][emoji116] Hivi wewe ikitokea mumeo anataka kukuua na anakupiga kiasi cha kutaka kuutoa uhai wako, je...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom