Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii tabia ya wake za watu kukutana vijana na kukana kua hawajaolewa sio vzuri, nyie wanawake mna matatizo gani, Binafisi mimi siwezi kulala na mke wa mtu kama najua kaolewa ata uwe mrembo kiasi...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
Sisi binadamu huwa tunajisahau kushukuru pale tunapotendewa mambo makubwa na watu fulani, tukiamini ilikuwa ni haki yako kutendewa vile. Wapo wanaojengewa nyumba au kupewa maisha mazuri na watu...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni kijana sina mke, Tangu mwaka 2017 nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana niliyekutana nae katika daladala, mwaka 2020 nikaja kugundua kuwa ni mke halali wa mtu mara baada ya...
4 Reactions
49 Replies
6K Views
Be warned! Ukiona mtu yupo single (kama ni kweli), una maswali mengi sana ya kujiuliza kuliko majibu utakayopata. Wewe ni nani spesho, ni kama tu wengine walioachana naye. Hujui sababu za yeye...
16 Reactions
89 Replies
8K Views
Wanajukwaa wapendwa wakubwa kwa wadogo wasalaam.. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.. Mimi ni Junior bachelor as niko na 32 sasa ivi.. Sasa katika kutafuta tafuta nikapatana na dada...
2 Reactions
65 Replies
4K Views
Wengi wanapenda kuitwa 'boss' makazini, bila kujua uzito wa hilo jina. Wengine wanalazimisha waitwe hivyo, na wengine inatokea tu wanaitwa hivyo kutokana na wanavyotatua kero za wafanyakazi wao...
4 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari zenu jamani! Hongereni kwa kupata siku maalum ya wanaopendana. Tuwaombee na ambao hawajapata wapate. Mimi nina swali moja tu nahitaji msaada, hivi taarabu huwa zina ujumbe wowote...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Wadau wa mahusiano...mimi nilikutana na rafiki wa kike huko field sikuwa namfahamu japokuwa nimesoma chuo anachosoma ...nilikuwa mwaka wa pili 2017 yeye akiwa mwaka wa 1! Tulikaa nyumba ya kupanga...
5 Reactions
71 Replies
7K Views
Mke wangu anadai anaujauzito wangu lakini kwenye kadi la clinic kaweka jina la mtu mwingine! Ukimuuliza Mama yake mzazi na mke wangu anasema lile jina ni la mjomba wake yeye! Cha Ajabu kila...
9 Reactions
211 Replies
22K Views
Haijalishi una stk,dfp,aaa au kimeo kabisa. wewe kuwa na gari tu mjini. Sisi wanaume uchawi ambao mzungu katupa ni gari kumpata mtoto wakike. Fikiria hii mnapanda daladala kwenye kupozana hisia...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
Jamani jamani wanaume wenzangu tupunguze idadi ya wanawake. Nawaambia hili baada ya kutoka gamboshi kwa rafiki yangu. Mwanaume unapotongoza ina maana una mdanganya kwa uongo wa malengo kama...
17 Reactions
43 Replies
3K Views
Habari wana JF, Natumaini mu wazima wa afya, binafsi nimeona hili ni jambo jema nije kushare na nyinyi ndugu zangu, iko hivi sometimes nimeona malalamiko humu mtu akilaumu kuwa mpenzi wake...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi na nyie wake zenu wanapenda attention kama huyu wa kwangu, ana nikera sanaa, sijui nifanye je nime dumu nae takribani miaka 11, huu ni wa 12 lakini bado iko vile vile nilidhani ataacha akikua...
52 Reactions
413 Replies
21K Views
Wakuu salaam, Tulipoanza mahusiano alikua ananiomba pesa sana bt tangu amefall inlove haniombi pesa tena na anataka attention yangu muda wote hadi naona kero tena.
6 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa wale wenye watoto wa kike tuwaonye kuhusu kupiga mizinga wapenzi wao. Yani kuna demu nimemu approach hatuna wiki na wala hatuja sex tayari leo kanipiga mzinga wa 1.5m eti anadaiwa kodi ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Nishatongoza Sana wadada Na bado tukaachana.sikuwahi kufikiria Kama nitakuja kukosa mke wa kuoa kwani wadogo zangu wengi tu wanaishi na wake zao na Wana watoto tayari.labda kwa sababu Mimi...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Nina ndoa ya kanisani,dini yangu hainiruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja. Ila kadri siku zinavyoenda najihis kuwa nahitaji kuoa mke wa pili ingawa huyu wa kwanza sitomuacha. So nafikiria kufunga...
6 Reactions
34 Replies
2K Views
Mume Unatakiwa Umzidi Mkeo Mambo Matatu: 1. Umri 2. Akili 3. Pesa Mke Wako Anatakiwa Akuzidi Mambo Matano: 1. Subira 2. Usafi 3. Upendo 4. Mipango 5. Maombi Mume na Mke Mnatakiwa Muwe Sawa Kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nitoe mfano mdogo tu kwangu mimi. "hapa nyumbani shemeji yenu naishi nae vizuri tu lakini kuna swala hili moja, kuna kipindi nikimuhitaji kimapenzi yuko huru kuniomba excuse kama siku hiyo...
13 Reactions
55 Replies
5K Views
Zamani wadau wa humu wadada wa Dar walikuwa wanatriki zakumtoa mtupesa hadi jiji likaitwa Kaa chonjoo kisa wakina dada walivyowajanjaa nakuweka triks zakuwachukulia wakaka na wababa pesa...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom