Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Siku nikiamua kuingia kwenye gereza la kujitakia mwenyewe nitahakikisha ninaoa mwanamke wa aina hii: 1: Mwanamke asiyekuwa na vikundi vya marafiki! 2: Mwanamke mama wa nyumbani [emoji817] percent...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Poleni na majukumu wakuu Msaada,,, ni sifa zipi unatakiwa kuwa nazo ili upate mwenza wa maisha.
6 Reactions
44 Replies
38K Views
Imagine umetoka zako nyumbani, unazunguka zunguka kwenye shopping malls au mitaani. Uko vizuri kipesa, una hela za kutosha tu kwenye pochi/mpesa/benki. Ghafla wakati unatembea kucheki dukani...
20 Reactions
33 Replies
3K Views
Muda mwingine mtu kuwa katika maisha yako akawa ni mtu tofauti na ulivyotegemea usibadilike na kuwa mtu wa tabia zake. Jifunze kitu kutoka kwa mtu huyo in a positive way itakusaidia katika safari...
7 Reactions
6 Replies
920 Views
Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na...
7 Reactions
48 Replies
5K Views
Nimekuwa nikiwaza sana kuhusu wanaume waolifanikiwa kupata wapenzi humu JF kwamba waliwezaje? Na confidence waliitoa wapi? yakuweza kujiamini kiasi hicho. Nasema hivyo kwa sababu ukijaribu...
6 Reactions
424 Replies
25K Views
1. MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba...
7 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu natumaini mko vizuri katika afya. Kama mada inavyojieleza hapo juu. Mimi nikijana ambaye tangu nizaliwe sijawahi kufanya tendo la ndoa na sikuwahi kujihusisha na mapenzi hata siku moja...
2 Reactions
64 Replies
6K Views
Usiombe hivi vitu viwili (2) vikutokee katika maisha yako;- Maradhi ya muda mrefu Kesi mahakamani Hivyo vyote viwili, vinamaliza pesa na vinapoteza muda; vinaweza vikakubadilisha ndani ya muda...
15 Reactions
28 Replies
2K Views
Unaempenda hakupendi kumbe naye ana mtu ampendaye Huyo anayependwa naye hampendi anayempenda huku naye kuna mtu anampenda na yeye hapendwi [emoji23] Mpenzi mliyekutana accidentaly mtadumu kuliko...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Maisha yana mambo mengi sana, nimeoa miaka kadhaa iliyopita. Nina mtoto mmoja natarajia kupata mwingine soon. Mwaka huu kuna dada nilimpata yeye ni single mother lakini bonge la demu yaani...
27 Reactions
160 Replies
10K Views
Wanasaikologia ni kweli wanandoa au wapenzi, wakifanya mapenzi sehemu za hadhi ya chini, kama vile msituni, shimoni, chini ya vibanda vya wazi, beach sehemu ya uwazi, vichochoroni, kwenye dari...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Hapa nawahusisha ma-housegirl wanaofanya kazi hapa nchini au hata nje yaani nchi za kiarabu. Juzi niliona clip kinamama wa kiarabu wanamchoma visu binti bila shaka walimshuku anawaibia...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
Maisha ya ndoa raha sana, mwanaume ukitoka kazini, unafanyiwa haya:- Mkeo anakupokea kwa furaha Anakuvua koti Anakuvua viatu na soksi Anakuvua nguo zote Anaenda kukuogesha Anakuandalia chakula na...
24 Reactions
285 Replies
13K Views
Huu mchezo wavulana wengi huuanza kwa kufundishwa na wenzao hasa hasa wanapoanza kubalehe, Mara nyingi wengi huuanza form one wanapojiunga sekondari. Wanapouanza wanapewa nondo kadha na kadha...
6 Reactions
43 Replies
10K Views
1. Mwanamke anapokasirika, zaidi ya nusu ya mambo anayoongea anakuwa hajamaanisha.  2. Wakati mgumu kabisa kwa mwanamke ni pale anapokuwa mbali na mwanaume anayempenda kwa dhati au...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
Leo ni thursday (alhamisi) sio mbaya kukumbushia kidogo mambo kadhaa, tbt throwbak thursaday. 2011 nilikuwa nimemaliza form six nikiwa na miaka 20, Mitihani tumemaliza mwezi wa pili, vyuo...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Unasikia mwanaume anasema Mbona mama Fulani au mke wa fulani, ikifika jioni anapendeza? Hayo ni Maneno ya wanaume Wengi kwa wake zao. Vichekesho Kweli* : unatarajia kuvuna wakati hujapanda...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Habari wadau. Kuna mtu wangu wa karibu amenifuata akitaka ushauri juu ya mahusiano yake. Anajiuliza kama anaweza kumuacha mpenzi wake au aendelee nae. Anasema alikutana na huyu binti miaka miwili...
3 Reactions
35 Replies
2K Views
Back
Top Bottom