Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Some men would like to voice their displeasure with the events of their marriage to others but are unable to do so since society expects them to behave macho. As a result, people tend to hide...
1 Reactions
3 Replies
877 Views
One of the lessons---how you deal with conflicts. Abreak- up can at times be devastating because it is viewed as a failure. However, if we pay attention, a break-up can provide valuable lessons...
1 Reactions
1 Replies
538 Views
Mbona vifurushi vya internet vimepanda gafla hivyo kimya kimya. Inawezekana watu tukapotea Mitandaoni
1 Reactions
6 Replies
753 Views
Kuna rafiki angu wa karibu amenambia majuzi ameachana na girlfriend wake ambae wamedumu takribani mwaka mzima na kwa jinsi nilivoona mwenendo wao walikuwa wanapendana sana. Kinachonishangaza ni...
2 Reactions
52 Replies
4K Views
Efrahim Mgala ameamua kutumia usafiri wa mkokoteni baada ya kutoka kubariki ndoa na Mkewe Emakulatha Mwashiuya katika Kanisa Katoliki katoliki Vwawa mkoani Songwe, Efrahim na Emakulatha ambao ni...
6 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wana JF. Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa...
5 Reactions
79 Replies
6K Views
1) UTII Kila mwanaume unaye muona huwa anapenda mwanamke wake awe na utii yaani akiambiwa Jambo basi asiwe mkaidi hata Kama siyo sahihi basi kitu Cha kwanza aoneshe kukubali kusikiliza halafu kwa...
8 Reactions
27 Replies
4K Views
Naona kuna tabia imezuka Sana humu mtu akiumizwa huko akaleta uzi humu watu wanakimbilia kuandika "ACHANA NAYE!!". Mnafikiri kuacha ni kitu chepesi tu? Msichokijua KUPENDA na KUACHA hivi ni viti...
28 Reactions
87 Replies
5K Views
Ni ngumu sana binadamu kuishi bila rafiki hata Putin na ubabe wake ana rafiki, ila sometimes we meet with wrong friends. Mimi binafsi nilikuwa na rafiki mpaka ilifika stage tunapeana pesa bila...
9 Reactions
37 Replies
4K Views
Yani kwa namna nilivyoumizwa na huyu dada, sidhani kama nitaoa katika Maisha yangu. Nimempa heshima zote, nimejitoa sana Kwa miaka 4 but ukiwa umebaki muda mfupi niende kwao nimvishe Pete mbele ya...
10 Reactions
82 Replies
11K Views
Binti kigori kabisa, mweupee pee, kitako cha kubinuka kama tela, hilo ijabu anavyovaa, lipsi za mdomo zilivyokaa na marashi anavyonukia ndio basi tena, siku akitupia tight bamba na kijora mchoro...
13 Reactions
85 Replies
7K Views
Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF, Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia; Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa...
10 Reactions
74 Replies
6K Views
Wakuu msinicheke mficha uchi hazai Siku hizi nimepata sijui ni depression, sijui stress sijui ni anxiety au nini. Siku za nyuma nilipokuwa na mpenzi yeyote au wapenzi, basi nikimtafuta mpenzi...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Kwa kawaida kwenye jamii wanawake ni viumbe tunaowachukulia lege lege sana hii ni kutokana na tabia zao kupenda kujiremba, kutembea kwa malingo, kula mi chipsi nk sasa basi iaiombe itokee...
53 Reactions
288 Replies
25K Views
Habarini za wikend wadau, bila shaka mu wazima na kwa wenye hitilafu kiafya Mwenyezi Mungu awapeni wepesi. Ipo hivi: Unamfatilia binti kwa mda mrefu weee halafu mwishowe anakubali mnapanga siku...
10 Reactions
75 Replies
5K Views
Ilikua ni mwaka jana mwezi wa saba, nilipata kupanga chumba maeneo fulani hivi tulivu. Basi katika mitaa ile kuna manzi mmoja alitokea kunipenda sana japo mimi nilikua sina hisia naye kabisa...
3 Reactions
34 Replies
5K Views
Wakuu habari za w,keend, Wakuu naombeni ushauri juu ya huyu mdogo wangu, Mdogo wangu ana mchumba wake ambae alishafanya proses zote za ndoa, ilibaki kumsubiri dogo amalize chuo wafunge ndoa...
9 Reactions
263 Replies
28K Views
Habari za Nyerere day. After six years of being in marriage naona kama ibilisi anakaribia kukata panga. I have two kids kwa huyu bidada but I see the end of road. Kila wakati nikiwaangalia hivi...
34 Reactions
186 Replies
15K Views
Mmh nimekuwa mchangiaji mzuri sana wa threads za wengine ila leo limenigusa so nimeamua tu na mimi nianzishe kathread kangu lol. Excuse my gazeti For a while nimekuwa nikisikia na kuona wakaka...
151 Reactions
1K Replies
83K Views
Eti wakuu,mfano labda enzi za ujanani ulikua na galfriend mkapeana mimba then mkakubaliana kuitoa,halafu labda kutokana na mihangaiko ya maisha mkaja mkapotezeana kila mtu akaenda njia yake.kuna...
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Back
Top Bottom