Hello,
I have always been reading threads without commenting. Kwanini nimeanzisha hii thread?
I am a married lady..in my very early 30s( with over 11 years of marriage experience). I got married...
Habari wakuu.
Mimi nachukulia kitendo cha kuingia chumvini kama kujitoa mhanga, unahitaji ujasiri wa juu sana kujitoa mhanga, kutembea na bomu mfukoni au kujifunga suicide belt.
Wanaume wenzangu...
Hello, it's me again
Ndugu zangu kuna jambo naliona sana huku duniani kuhusu mahusiano ya kimapenzi wa ke/me tunaojihisi tunawapenda sana! Mahusiano mengi sikuhizi hayana mvuto/hayafiki mbali...
Hodi wakuu!
Napenda kushukuru kwa mchango wenu wa mawazo yenu kwa kunishauri kwa upendo na wengine kuwa na hasira ila kifupi nimesaidika sana Mungu awe nanyi wapendwa ila tafadhari Sana...
Wapendwa wakati wa hii wkend ndefu nilisoma bible kidogo nimekutana na ule mstari unaosema enyi waume ishini na wake zenu kwa akili maana yake nini na akili inakaa wapi ?maana kuna mstari nyingine...
Wakuu wasalaaam.
Basi Mzee baba katika mishe za kuzisaka nlitua Uganda kikazi. Kazi niliifanyia pale Entebe kwenye hiteli moja ya kibabe sana. Ila pale sasa kuna upuuzi niliufanya siwezi...
Hope mpo poa kabisa,
Nakumbana na changamoto sana katika kumpata mwanamke wa kuoa ili tutengeneze familia kutokana na fikra mbovu upande wa jinsia b. Nilijaribu kutafuta ushauri kwa watu wa...
I hope mko poa,
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye kuzoeana na mtu inanipaga wakati mgumu japo nikikuzoea nakuwa loyal sana kwenye urafiki wetu na nitajitoa sana
Wakati naanza chuo mwaka wa kwanza...
Kuna demu nimemtongoza akakubali fresh sasa hivi niko kwenye mahusiano naye mwezi wa Tatu huu lakini kwa kipindi chote hicho hataki kunipa mbususu anadai yeye ni BK na hiyo BK yake ni kwa ajili ya...
Habari..!
Hivi ndivyo maisha yangu ya kila siku nani mwingine anaishi kama mimi..?
I real just living a life.!
I ain't dating, I ain't being a hoe, I don't like nobody and nobody like me! Nobody...
Maisha yanasonga kila kitu mahala pake, Angalia events yoyote iwe send off, harusi au engagement , kipaimara, Msiba wanaume wanafucus kuhakikisha protocols zote muhimu zinafuatwa mpaka utimilifu...
Nipo njiani naelekea tabata baracuda ambapo familia ya binti inaishi nipo na mshenga wangu kuna binti tunaenda kwao kupeleka barua ya posa hiyo familia wenyewe Ni wasukuma
Hii topic hii!
kwenye civics ipo
Kwenye history ipo
Kwenye geography ipo
Kwenye kiswahili ipo
Kwenye mathematics ipo
Kwenye General studies wimbo ni ule ule
Kila mtihani swali la woman...
Wakuu pole na majukumu,,
Nimebahatika kutembelea na kuishi mikoa nane ya Tanzania bara adi Sasa.
Nimefanya utafiti mdogo sana na kugundua maeneo "KOROFI"
Maeneo hayo yamekuwa yakitumika sehem...
Habari za j2.
Wiki 2 zilizopita nilikuwa kisiwa cha mafia, katika refreshment ofisin. Nikamuaga mama yenu mdogo kuwa naenda huko kwa muda wa hizo wiki mbili. Ni kurudi salama kabisa.
Sasa siku...
Natumaini mnaendelea vizuri.
Nikiri msiba unauma jamani. Yaani maumivu niliyonayo nashindwa namna ya kuyaelezea[emoji24]. Nimempoteza mzazi wangu wakati ambao bado nilikuwa namuhitaji ,umri wangu...
Wewe kama mwanamme au mwanamke, najua unahitaji sana kulitunza penzi lako na kufanya lidumu milele kama wenyewe mnavyosema. Lakini wacha nikwambie kutunza penzi si ghalama kama watu wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.