Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Mkulungwa nimerudi tena, mpaka leo bado nipo tu home wife aliniombea ruhusa ya week 2, korodani zangu bado zinauma mno, yaani hata kuoga peke yangu siwezi. Wife amekuwa akiniogesha hizi siku...
-1 Reactions
30 Replies
3K Views
Jamani napenda mbegu za kiarusha Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
19 Reactions
160 Replies
14K Views
Nakubali mwili una mahitaji yake lakini akili pia ina mahitaji yake. Mahitaji ya mwili most of the time huizidia akili na akili nayo kukubali kutawaliwa na mwili, hii ni kwa wengi wetu kama siyo...
17 Reactions
88 Replies
9K Views
Wakuu mko poa?Jumatatu inaendaje mimi niko poa sikwenda job leo maana nimeamka na hangover ya pombe kinoma noma jana nilikua nasakata rumba si unajua ujana maji ya moto? Ngoja nirukie kwenye sub...
2 Reactions
44 Replies
6K Views
Na hii imetokea kwa vijana wengi, wakiwa mikoani kelele ni nyingi sana mara watakwambia ukija mjini tutafutane angalau tubadilishe mawazo, mazingira, na tupeane fursa. Sasa ukifika mjini...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wakuu Salaam; Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali. Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada...
7 Reactions
155 Replies
14K Views
Ubaya wa kitu upo katika macho ya mtu aliyeona ubaya huo. Na uzuri wa kitu pia upo katika macho ya mtu aliyeona uzuri huo. Kitendo cha kushindwa kutambua kwamba kila mtu yuko hapo alipo...
0 Reactions
7 Replies
938 Views
[emoji116][emoji116][emoji116] Mdada wa kuoa, anatakiwa kuwa mshamba kiana...... Sio mdada anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,zarumendra...._ huna hata cha kumdanganya?...._ Inatakiwa...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Poleni na majukumu katika kuanzisha mahusiano na mwanamke yeyote yule awali kabla hata ya mgegedo lazima tukwazane na Mara nyingi vitu vya kipuuzi tu mfano ananiambia Malakipesa njoo,nikimwambia...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Kwakweli nawachukia Sana wanawake wapiga mizinga Yani unamtongoza Sasa hivi baada ya dk moja anaaanza kuomba hela ya kula au Kama Ana mtoto (singo maza) itaanza kusikia kesho nampeleka mtoto...
24 Reactions
110 Replies
8K Views
Wasaalam waungwana! Kama kichwa cha habari kinavyo gieleza. Nataka kujua madhara ya kisaikolajia,yatakayao mpata kijana ambaye atafanya mapenzi na wanawake wengi,especial kwa wale ambao hawajaoa...
3 Reactions
26 Replies
9K Views
CHANZO CHA UVUNJIFU WA NDOA NA MUARUBAINI WAKE. Katika mambo yanayowadumbua watafiti mpaka leo hii ni suala la kuvunjika kwa ndoa makundi kwa makundi. Kipindi Cha nyuma enzi za mababu zetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadada wengi mnapokuwa katika mahusiano huwa wanapenda ku insist upeleke barua kwao au uchumbie Hivyo ningependa kufahamu hivi lengo kuu la kuandika barua ya posa na kuchumbia huwa ni nini haswaa...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Akiwa anatuma meseji badala ya kuandika "sasa" ataandika "xaxa"..., au anataka kuandika "sweet" lakini ataandika "cwry"..., au badala ya kuandika "so much" ataandika "xo much" Masela wenye tabia...
8 Reactions
81 Replies
8K Views
Nawasalimu Asalam aleykum! Kwakweli inasikitisha sana tasnia ya kutongoza imeharibiwa vibaya mno! Vijana wa Sasa utongozaji wao ni wa mwendokasi, yaani ni blah blah tu Maneno machache, "I love...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Katika mahusiano kuna watu huwa wanafikia hatua 1.tiyali wameshatoa mahali 2.tiyali wameshatambulisha kwa wazee 3.tiyali wameshatoa posa Alafu linabakia swala la kufunga ndoa dakika ya...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana JF Husika na kichwa cha habari hapo juu,, ningependa nieleze japo kwa uchache juu ya historia ya maisha yangu, familia yangu pamoja na hali inayoendelea hv sasa. Mimi in kijana, umri...
9 Reactions
74 Replies
10K Views
Habari za muda jamani Haraka haraka bila kupoteza muda twende kwenye mada ,Kuna haka katabia flani binafsi Kana niboa Sana watu kuhusisha moja kwa moja sababu ya mwanamke kucheat ni kutopata...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nawasalimu wana Jamvi! Hivi karibuni miaka kama 5/6 nyuma kumetokea wimbi kubwa la wanawake kutafuta wanaume wa kuwaoa. Ukipita kila mahali kwenye social media unaweza shuhudia hilo. Na kwa kiasi...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Back
Top Bottom