Mambo vipi wanaJF
Naombeni ushauri wenu kama unalo lolote la kunishauri!!
Nina mpenzi wangu ambae tuna muda wa miezi 7 sasa na nampenda sana tena sana tu!Jambo linalonifanya niombe ushauri ni...
Wamekuwa ni watu wenye visirani na ugomvi kila iitwapo leo-usiku, hasa hasa mwanamke, amekuwa ni mtu wa kwanza kumsema mumewe kwa majirani hasa kwenye vikao vya hisa na vyama! Naomba tu kufahamu...
Kufanya sex wakat wa kuoga raha sana. Raha yake inaeza kuwa mara 100 ya sex zinazofanyika sehemu nyingine.
Ukifanya sex wakat wakuoga especially kwenye bathtub unaweza ukahisi upo dunia nyingine...
Habari wakuu.
Niko na mikasa mingi ambayo inanichanganya kichwa.
Mnamo mwaka 2015 ilitokezea siku moja Mke wangu wakati wa mechi ghafla alibadilika alinipa shooo ya ajabu ambayo sikuipata toka...
Kwa wanao pitia hali ya kukosa amani ilio au inayo sababishwa wa wapenzi wao wake zao waume zao. Ikiwa hujakutana na hali ya kukosa amani moyoni inayo sababishwa na mwenza wako basi shukuru MUNGU...
Binafsi mie ninapenda sana wanawake nmekuwa nikionga kila wakati kusudi nifikie lengo la kukutana nao kingono
Natumia hela nying sana kwenye kuchukua lodge au hotel
Wakati mwingine nimekuwa...
Habari wana JamiiForum,
Poleni na hongereni kwa majukumu. Mungu azidi kuwabariki katika utafutaji wenu mpate kile mnachokitafuta.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naombeni ushiriki wenu...
Katika hali ya kawaida inaonekana ni vigumu girl kuomba mapigo toka kwa kijana barobaro, lakini hutokea kwa trick flani hivi.
Mfano mimi nakumbuka nilikuwaga na mahusiano na mdada mmoja...
Mimi ni kijana amabaye sijaoa mpka sasahivi ninakaribia 28+ lakini vijana wenzangu katika rika hili wameshao. Kilichonifanya niseme wanawake wana baraka ni maendeleo ya vijana wenzangu walioyapata...
Wakuu habari zenu, leo hali ya hewa hapa DSM imekaa murua kiasi, kale ka joto ka chini chini hakaleti tabu sana. Nadhani sababu ya mvua iliyo nyesha juzi kati.
Aisee!!, Jana mapema tu huyu Dada...
Wanapost elimu bandia kwenye mitandao ya kijamii; kujifanya wanawashauri Wanawake wenzao kuwaheshimu na kuwavumilia wanaume/ waume zao.
Wanaweza kuwasilisha kwa njia ya maandishi au video fupi...
Simu ni moja ya kifaa cha msingi katika maisha yetu ya kila siku, ndiyo inatuunganisha kirahisi pale tunapokuwa hatupo katika uwepo wa wale tunaotakiwa kuwasiliana nao. Zaidi ya kuweza kuendesha...
ILANI: Huu ni mwendelezo na sehemu ya pili ya makala za Simu za mikononi katika Mahusiano ikiwa sehemu ya pili.
Unaweza kusoma sehemu ya kwanza hapa...
Kwanza kabisa tambua watu waliopo mitandaoni ndio hao hao mnaokutana mitaani, vyuoni, kwenye nyumba za ibada, maeneo ya starehe, kazini, ufukweni. Lakini zingatia haya yafuatayo sababu maeneo yote...
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana.
Aisee Nina rafiki yangu zaidi ya ndugu yaani tumeshibana hasa hasa hakuna Jambo linaweza tokea la kutugombanisha tushindwe kutatua.
Huyu...
Mwaka jana tulikuwa kikazi mkoa flani katikati ya pori. Mimi na wenzangu kadhaa. Tulikuwa tumeenda na tents na vyakula, maji na mahitaji yote muhimu maana tulikaa kwa muda wa week 6.
Huyu dada...
Hivi sasa kumekuwa na wimbi kubwa la wamama (hasa walioko katika ndoa) kutoka kimapenzi na vijana wadogo wanaowazidi umri hata mara tatu (3) na unakuta ameridhika na haogopi kuwa jamii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.