Habarini za usiku JF members.
Mke wangu kila akisikia sauti ya jamaa jirani yangu lazima atoke nje kwenda chooni. Kiukweli hii tabia inanikera.
Sijataka kumwambia kwa sababu sina ushahidi wa...
Mambo ni vipi?
Weekend ilopita kuna manzi mmoja hv alinishangaza sana, ipo hivi
Huyu manzi nafahamiana naye tu ni kitambo tulibadilishanaga namba ila hatukuwa intouched zaid ya kuview status lkn...
Habari za siku ndugu wanafamilia wa JF!, Poleni na Majukumu Mazito ya kifamilia na ya kutafuta Mkate wa Kila siku hasa kwa awamu hii ngumu ya 5.
Naomba nianzie hapa..
Kwanza kabisa mimi ni...
Hii ni wiki Sasa jaman nimekuwa nikipokea txt za I miss you , uko wap sikuhiz , njoo kwangu
Hizo zote nimeogopa kujibu kwasababu nimehisi ananitaka kimapenzi na mengine naona Hata haibu kuandika...
I know many girls and ladies gonna be angry with this post but try learn from it. Guys, how do some of you even cope with dating a broke girl? I know some still don't understand what I mean by...
Familia nyingi sana!
Watoto wanaishi kwa masikitiko!
Kila Siku mama au baba anatoka kwenda kazini! Huku watoto hasa wale ambao hawajaanza shule wakibaki kulilia safari!
Kibaya zaidi watoto hawa...
Hivi karibuni na labda tokea zamani kumekuwapo na wimbi la wazazi wa kike kubainika kuwa waliwabambikizia wazazi wakiume watoto wasio wao.
Jambo hilo limekuwa likileta mtafaruku katika ndoa na...
Miezi ya June hadi September huwa hakuna Vimwana / Totooz kabisa ila miezi ya October hadi December na March hadi May huwa wanakuwepo wengi na hadi wengine wanaweza hata ' Kukukopa ' Mkuyenge na...
Hello,
Kila mtu anapitia magumu au amewahi kupitia katika mahusiano yake. Je, unaweza kuvumilia ukijibanza sehemu na ukasikia demu wako anaongea na mdogo wake wa kiume, na katika maongezi...
Wanawake wengi hasa wenye maumbile mazuri hua wanaamini uzuri ni kama kinga yao kwa waume zao ili wasichepuke.
Mwanamke akishakuwa mzuri anaamini mume ama mpenzi wake hana sababu ya kuchepuka...
Mahusiano ni maisha, Katika Kipindi ambacho bado upo Duniani Huwezi kukwepa Kutafuta Mwenza,
Sasa Usifanye Kosa la Kulazimisha mapenzi, Yatakula Furaha yako ,Yatakula Muda wako na yatakuondolea...
Wakuu habarini za kazi,
Nimegundua wanawake wanaopenda kusuguliwa kucha na wasugua kucha huishia kusex nao. Huu ndiyo ukweli wasugua kucha wanagegeda sana wake za watu tena ndani ya nyumba zao...
Wandugu kama kawaida si rahisi kuishi bila kuwa katika mapenzi, nimekuwa katika mikiki ya mapenzi kwa muda sasa. Story iko hivi nilikuwa na urafiki wa kawaida na dada mmoja hapa ofisini...
Kabla hujao kama mwanaume lazima ujue mambo yafuatayo
Watatokea wanawake wengine wataonyesha nia ya kukutaka ukiwa kwenye ndoa
Wakati ukiwa umeoa watatokea wanawake ambao wamemzid mkeo kila kitu...
Nasikia ukihasiwa unakua hutamani tena mambo ya wanawake. Hivi viumbe bora niwaachie tu mabaharia wenzangu muendelee.
Tafadhali wapi kuna huduma ya kuhasiwa niende na bei zake ni ngapi?
YAFUATAYO, NDIO MAENEO AMBAYO MTU ALIYE KWENYE MAHUSIANO NI MUHIMU ILI KULINDA MAHUSIANO/PENZI:-
Ukweli ni kuwa watu wawili wanapoamua kwa dhati kuwa katika mahusiano ni kwamba wanakuwa tayari...
Ulimwengu umebadilika sana, yale mambo ya kizamani ya kwamba, mwanaume ndio anatakiwa aanze kumtongoza mwanadada/mwanamke yalishapitwa na wakati. Kwa takwimu zilizopo duniani, wanawake ni wengi...
Wewe ni sponsor au mwanaume uliye na mke au huna, unamhudumia binti ili kuitimiza kauli mbiu isemayo 'mwanaume tafuta hela, mpaka ukijam-ba uambiwe, pole baby', unampa laki mbili mbili kila week...
Wadau nina demu wangu tuna kama miez 6 sasa alisafiri kwenda mkoa kikazi! Siku moja kabla ya kuja mjini alinipa taarifa kuwa anakuja na kuniomba nimfate stend nikampokee.
Ila alipokuwa njiani...
Habari wanafamilia,
Hii nimeikuta sehemu kwenye page fulani ya Wa cameroun wakijadili kwa kuwa nimeiona pia hapa kwetu hivi hii kitu huwa inaashiria nini au maana yake ni nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.