Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanamke kukubali kuolewa ni hivi hapa!
Umaarufu wako
Hii inawakumba sana wasanii,watu maarufu au kitu fulani,biashara. Hapa bwana wimbi la wanawake watapenda...
Tulianza mahusiano vizuri tu baada ya mwezi akapata scholarship kusoma nje ya nchii baada ya mwezi mmoja, mawasiliano yakapungua kinoma, na sasa cha kushangaza ameniblock kabisa..
Nifanyeje...
Mida ya saa 20:30. Nilikua natembea zangu road, Ile naangalia mbele naona watu wawili, wanasukuma njiani, mwanamke anaelekea barabarani jamaa anamfata nyuma. Kwa speed. Yule Dada alipo fika...
Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.
Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo...
Mke na mume wanapoamka na kuswali usiku hurehemewa na Mwenyezimungu na kupataa Baraka njema katika ndoa yao.
Usiamke kuswali ukamuacha mwenza wako akiwa amelala bila udhuru wowote
Kila jambo...
Nina mpango baada ya miaka mitatu nione, nipo kwenye mahusiano na msichana flani hivi ambao kabila lao linasfika kwa viburi, ana umbo na ni mzuri kiasi.
Picha linaanza anapenda sana kula na mm...
Habari wana JF!
Mwenzenu moyo wangu umekufa ganzi kabisa kwasasa, nifanyeje kurejesha hisia kwa wangu wa maisha? Mtu wangu alini-cheat nikamsamehe ame-cheat tena na sasa moyo wangu umechukia...
Habari wanazengo
Nipo na gal tumedate since high school lakn recently nmekuja kugundua anaongea na mchizi mwingne na mchizi yupo very close na dogo.. nmejaribu kumkanya lkn naona dogo yupo...
Different deceiving items worn by women to make them seem more attractive to men are described here.
Listed here are 14 various kinds of fictitious things that women may use to make themselves...
Uzuri wa muonekano muhimu mtu asikudanganye...
Tena nawashauri vijana, weka mwanamke mzuri wa mwonekano ndani. Wapo wanawake wazuri wenye akili sana tu kichwani...
Ina maana gani kuwa na pesa...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Mimi ni miongoni mwa vijana ambao mapenzi hayajawahi kuniumiza, nimewahi kupenda sana sio kwa mtu mmoja lakini kuja kwenye swala la kuumiza kwenye mapenzi sijawahi...
Katika hali isiyoendana na maadili yetu ya Kiafrika Best angu kaja kunipa story kua mke wake alienda kumsalimia wifi yake ambaye dada wa best angu dukani kwake katika mazungumzo yao wifi akaanza...
Nimefanya kautafiti kadogo, nikagundua walimu na manesi wakike wanaolewa kwa wingi sana ukiringanisha na hizi fani zingine. Ni vigumu sana kukuta nesi au mwalimu ambaye yuko kazini kwa zaidi ya...
Ndugu wana JF,
Nimekuwa nikifatilia mabandiko mengi yanayohusiana na suala la watu kufanya mapenzi binafsi (self love) au maarufu kama punyeto.Kwa ujumla mimi ni mdau na nimefanya sana punyeto...
Kuna muda mwengine tujikite kutafuta pesa jamani sisi wanaume.
Hata ukiwa mzee, mlemavu, sura mbaya ila pesa kama ipo basi ulimwengu huu kila mwanamke unayemtaka utampata.
Mambo ya kutongoza...
Salaam!
Kwangu mimi nimeshindwa kabisa, yaani msichana hata akiwa na uzuri kiasi gani, nisipompenda tu siwezi kusimamisha uume, ila nikimpenda daaah yaani kitu ngangari mwake mwake.
Nirudi...
Unakuta kijana kula yake ni ya shida, halafu anakimbilia kuoa akitegemea maisha yanaweza kubadilika na kuwa mazuri; hii ni sawa sawa na kubahatisha.
Unakuta kijana anaanza kuchakaa mapema...
Flirting with a man is difficult for most women, with the exception of a small number of them. The ideal situation would be for men to always be the ones to take the initial step. However, because...
Habari za muda huu,
Nakuja moja Kwa Moja kwenye mada, home hapa kuna beki3 ana kama miezi 3 hivi tangu aje naona anaanza kuniletea mazoea flan hivi dah, najua bimkubwa lazima atajua nafanyaje...
Tuambizane basi posa/mahari huwa ni kiasi gasi kwa kabila yenu?maana suala la kuoa huwa huwezi kukwepa utaratibu wa kikabila.
Mnapokea viumbe wanaohema wangapi kama mbuzi, kuku, ng'ombe, kondoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.