Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Salaam wanaJF! Kuna riwaya moja, nilikutana na mtazamo huu kuwa wanawake huwa na agenda za siri kwenye ndoa zao na sio Mapenzi. Kuwa na agenda ya siri haimaanishi kuwa ni nia ovu, bali ni sababu...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Girls don't say they are attracted to a guy. The highest thing a girl would do if she has feelings for a guy is to show it in her behavior. So, if a girl has an interest in you, here are some...
4 Reactions
23 Replies
3K Views
Dear men, one of the most important choices in your lives is to choose the woman with whom you spend your life. Many men have come to the wrong women because they judge in view and this must be...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamvi habarini! Natumai mpo sawa waziii? Naomba niende kwenye mada, mimi ni kijana ambaye bado natafuta na nimefanikiwa kiasi cha kuoa. Ninataka kuoa mtu mzima, je, nitakuwa nakosea...
4 Reactions
23 Replies
1K Views
Sio lazima uwe unatembea nao kingono, ila at any time T hakikisha una wanawake angalau watatu warembo "standby", ambao una mawasiliano nao ya karibu. Ukiweza kuwa unawatafuna ni added advantage...
81 Reactions
123 Replies
15K Views
  • Closed
Habarini! Kuna wakati katika maongezi unaweza sikia msichana akimuambia mwenzake, 'yule kaka ameshalipia mahari, na kakamilisha taratibu zote, nilikuwa nampenda ila ghafla nimejikuta tu...
6 Reactions
38 Replies
3K Views
Habari wana JF, wenzangu natumaini mu wazima wa afya, moja kwa moja kwenye mada hapo juu. Binafsi niliwahi kuwa na girl ambaye sitakuja kumsahau kwa jambo lile alilonifanyia. Kiukweli alikuwa...
11 Reactions
141 Replies
19K Views
Sijui Mimi ndo nina shida au vipi! Mtoto wa watu (house girl) anahaki ya kuwasiliana na watu wake! Lakini pale anapopigiwa simu na mabwana zake au kuchat na kitochi pachapacha mbele yangu huwa...
2 Reactions
43 Replies
5K Views
Sikuu kadhaa zimepita nilikuwa safarini.nilikuwa ndani ya basi natoka makumbusho naelekea zangu tegeta,katika stori stori Jamaa mmoja akaanza kutusimulia. Kuna jamaa yake walikuwa marafiki wa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Wakuu habari za saiz...!!!Mko poa jamani?Ok twendeni kwenye Mada husika hapo juu mm ni kijana wa kiume katika harakati zangu nikapataga mwanamke ambaye ni single mother aisee uyu dada anapenda na...
0 Reactions
80 Replies
7K Views
Siku moja nisiyopenda kuikumbuka nilitwa ofisini kwa bosi wangu na kukabidhiwa barua ya kufukuzwa kazi Hiyo ilikua ni baada ya uchunguzi wa miezi kdhaa wa kosa nililokua nimelifanya bahati mbaya...
60 Reactions
280 Replies
35K Views
Nishaandika week hii, nimeugulia Sana Maumivu, natamani kuwa na mwenza lakini kila nikiwaza jinsi ya kumpata mwenye vigezo navyotaka nahisi ugumu. Imefika hatua nawaogopa wanawake kuanzisha nao...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Asilimia kubwa ya wanawake wanapenda kuwa na wanaume wanaojiweza kiuchumi. Lakini wanapotambua kwamba wameshaoa hushangaa sana na huumia na kusema wanaume wote ni mbwa tu. Wanaume sio mbwa ni...
10 Reactions
14 Replies
37K Views
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni Aisee kulala na mwanamke kitanda kimoja ndani ya wiki moja tu sio mchezo yaani kwangu mimi ni kero ya hali ya juu sana na inahitaji uvumilivu wa kiwango cha...
15 Reactions
102 Replies
8K Views
“Shhhh! I am safe usijali”. Na mimi niliamini maana sio kwa utamu ule. Asubuhi niliaga vizuri nikapanda gari na kurudi Morogoro chuoni. Nilikaa nikisubiri anitafute, walau anipongeze hata kwa...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Hello, natumai mko poa, katika umri wa ujana je, ulishawahi kulala na mademu waliokuzidi umri? Ilikuwaje? Wengi wanasema ni watamu mno. Je, kuna ukwelo katika hili?
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Sina haja ya salamu, nasema na wewe mwenye hela halafu huhongi, sasa kuna umuhimu gani wa kuwa na hela zote hizo? Unatakiwa utandikwe viboko kichwani ili akili zikukae sawa, watu wengine sijui...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Rejea tu Kichwa cha Habari hapo juu kisha anza zako Kutiririka na Kuserereka Kichupichupi tafadhali. Nawasilisha.
3 Reactions
93 Replies
16K Views
Kutokana na uchumi kupanda na bei za mafuta na vinywaji ambavyo vimekuwa ni vitega uchumi vyetu muhimu, tumeona tuweke bezi zetu sawa na uchumi wa mtanzania bei hizi zitategemea na sarafu ya...
25 Reactions
242 Replies
240K Views
Kuna vibinti na mashangingi yaliyoshindikana yanadhalilisha wanaume. Vigesti vya bei poa vina mambo ya ajabu. Vimetegeshewa darubini zisizoonekana kwenye mwanga hafifu wa taa na hata smart phone...
13 Reactions
178 Replies
45K Views
Back
Top Bottom