Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii imekaaje wakuu Kuna pisi yangu moja hivi kila baada ya kuinyadua inaomba maji ya kunywa hata Kama hapo chumbani hakuna maji atakuomba ukamtaftie maji ulete anywe ndo show iendelee round...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari zenu. Ni kwamba nimekua na kawaida ya kuamka saa sita usiku na kukaa macho hadi saa kumi hadi saa kumi na moja alfajiri ndio usingizi huja tena hadi saa moja kasoro. Imekuwa hata nikilala...
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Habari wadau Nipo katika mahusiano na binti fulani hivi ajabu tukikiss anaweka mate mdomoni kisha anatema chini nimeongea naye sana lakini hataki kuiacha kiasi inafika wakati najisikia vibaya...
5 Reactions
96 Replies
8K Views
  • Poll Poll
Assalamualaikum. Katika maisha kuwa katika mahusiano ya kimapenzi, ni Jambo la kawaida kwa kila kijana, ni muda wa kumtafuta yule wa ndoto yako wa kujenga nae maisha ikiwezekana mfunge ndoa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forums, Miezi 6 iliyo pita mahusiano yangu yalivunjika sababu ambazo zilikua juu ya uwezo wangu. Niliamua kujipa mda kuzipumzisha hisia zangu katika swala zima la mahusiano...
2 Reactions
35 Replies
3K Views
Jamani nifanyeje na Mimi nataka kutulia na mwanaume wangu ambaye hajulikani nilikuwa na mwanaume ambaye alijitambulisha hadi nyumbani. Lakini badae akaanza kuninyanyasa kimapenzi kunisaliti na...
5 Reactions
33 Replies
4K Views
PICHANI: Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia. Mwanaume huyu toka jamii kutoka Ndola aliamua kumuacha mke wake waliyeoana miaka saba iliyopita na...
3 Reactions
31 Replies
3K Views
Habari wana JF, Samahani nimekuja tena kwenu mnipe mawazo, Tafadhalini eti nahitaji nimpeleke mzazi mwenzangu Ustawi wa Jamii kutokana na amenizalisha na hataki kulea mtoto na isitoshe mtoto...
6 Reactions
442 Replies
40K Views
Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda. I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket? Its too much
2 Reactions
40 Replies
5K Views
Hello wana jf hpe mko poa nimekuja Zanzibar mara moja nimepata bahati kukutana na mwalimu mzoefu wa biology ,k wa bahati mbya sitoweza kumtaja jina,kwa bahati nzuri tukafanikiwa kuongelea mada ya...
2 Reactions
66 Replies
13K Views
Nawasalimu wana jukwaa. Natumai mu wazima sana humu ndani. Kuna jambo ningependa kufahamu kutoka kwenu. Je, hivi ni muhimu kufahamu chanzo cha kuvunjika mahusiano aliyotoka mpenzi wako kabla ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Maisha ya mapenzi na ndoa yana changamoto sana. Ila matatizo ndio kipimo cha uvumilivu. Hiki kisa cha masheikh hawa, kimenikumbusha kisa cha Ayoub kuugua hadi kubaki ulimi tu na mkewe alisimama...
16 Reactions
73 Replies
49K Views
Habari wanajamvi, poleni na majukumu ya kila siku. Naamini hapa panawengi na penye wengi hapaharibiki jambo. Hebu pitia hiki kisa hiki kisha tumshauri kinacho mstahili ili kuweza kumsaidia. Si...
2 Reactions
74 Replies
12K Views
Dah! Hawaa madem wanao ishi kigeto geto ni wakuwa nao makini saaanaaa. Unaweza kujiona umefika kwamba we ndo kidume umepata pisi inageto lake unaenda unajisevia muda wowote utakavyo, mzee...
15 Reactions
29 Replies
6K Views
Mambo vipi wadau!! Napenda ku-share mkasa huu ili kusaidia watoto wetu kwenye hizi changamoto Nakumbuka pindi nikiwa na miaka 6-7 hivi tulikuwa na binti wa kazi nyumbani. Kwa wakati huo yeye...
9 Reactions
23 Replies
5K Views
Inaweza ikashangaza ila mimi ni Mwanaume, nilidhamiria kutofanya kitu na mke mtarajiwa mpaka ndoa ila imefika hatua naona mwenza yamemfika shingoni, pressure ni kubwa kwangu akidai hali ni tete...
17 Reactions
130 Replies
10K Views
Mwenzenu na mwaka wa nne sasa hivi. Kila msichana ninayemfuata mimi hajawahi kunikubalia na wengine wananikataa kwa dharau sana halafu wasichana ninaowafuata ni wakawaida mno. Mwanzoni niliona...
3 Reactions
149 Replies
14K Views
Nina mchumba ambaye tunatarajia kufunga ndoa mwishoni mwa mwaka huu. Kwa kweli namshukuru Mungu ananitimizia kila kitu na ana mapenzi kwangu, ndugu na marafiki zangu. Tatizo moja na ninalohisi...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Wanaume ebu tuambieni kwa mwezi mnatumia Tsh ngapi kuwatunza wapenzi/ wachumba zenu. Me Nakumbuka those days Baby wangu alikuwa anatumia like 40k kwa mwezi na nilikuwa naridhika Wanaume...
3 Reactions
133 Replies
9K Views
Habar wadau !! Naomba thread hii isiunganishwe na ile ya kula tunda kimasihara na ile ya kukiss kule humu kuna big brain ndo maana napost vitu tupate majibu au uelewa mpana Ipo hivi kwanza...
3 Reactions
31 Replies
4K Views
Back
Top Bottom