Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Wakuu tumaini langu najua mko wazima wa afya na kwa wagonjwa Mungu awape ahueni ili muwe wazima hatimae muendelee kujitafutia Ridhiki. Niende moja kwa moja katika mada hii ambayo nimeona kwa...
11 Reactions
48 Replies
4K Views
Mpendwa rafiki yangu, Zama ambazo vijana wengi wanahangaika kumpata mtu sahihi ni zama hizi kwa sababu watu wengi wanakuwa wanavaa barakoi yaani mask katika nyuzo zao hivyo ni ngumu kumjua yupi...
5 Reactions
9 Replies
2K Views
Ni aibu kioo Cha jamii kuandika utopolo Kama huu as if it's funny when its not [emoji1751] Back those days I remember nilikua bado mdogo sana naishi na dada yangu nilikua nikiishuhudia dada yangu...
4 Reactions
46 Replies
3K Views
Tupate maana tofauti tofauti ya Mapenzi 1 Ni hisia kali juu ya mtu ambaye mna jinsia Tofauti 2. Ni jaribu la kutesa moyo bila Utaratibu 3. Ni upofu wa Muda mpaka mtakapo achana Najua kila...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Nani kama Mama?Jibu ni kuwa hakuna kama Mama hapa duniani.Mwaka jana niliskia matukio 6 ya wamama waliyofanyia watoto wao,ila tukio lililonivutia kabisa ni lile la yule mama wa kizungu aliyempiga...
4 Reactions
79 Replies
10K Views
Kama kichwa cha uzi kisemavyo, sina haja ya kutoa salami kwani hatupo salama. Nimewahi kushuhudia mke wa ndugu yangu akitoa kipande cha nyama kwenye uchi wake na kukichanganya kwenye sufuria la...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Kuna mambo mengine ya ajabu sana aisee, kuna muhuni anamtumia rafiki yangu videos nyingi 50 kidogo, akiblokiwa anatuma kwa namba nyingine, namba za Whatsapp anazotumia ni za china , india...
2 Reactions
50 Replies
5K Views
Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Makongo nataka ushauri kidogo. Nilikuwa na mwanamke tulikutana mwaka 2011 nikianza mwaka wa kwanza UDOM lakini mwenzi wangu alisoma Engineering chuo kimoja...
7 Reactions
35 Replies
4K Views
Though unknown to many, some parts of their body which have the genetic coding that influences their response to romance affects their relationship behavior. Ladies legs say a lot about their...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Toka nimuoe hajawahi kupatia kwenye mapishi, kila anachopika lazima kiwe na mapungufu; kama sio chumvi nyingi, basi chakula kitakuwa kibichi lakini kweke yeye chakula kukosa chumvi ni kawaida...
44 Reactions
220 Replies
12K Views
The question that persisted in my mind, and I believe was the case in the minds of a number of these ladies, was "When is he going to come?" There are ladies who heard the "Mr Right is on his way"...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Si vyema kuishi bila rafiki lakini je, unamuamini rafiki yako kiasi gani na mangapi kukuhusu wewe anayafahamu. Kuna baadhi ya marafiki zetu, tunaowaona kuwa watu wa karibu wamekuwa na tabia za...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini ! Kwa kawaida ndoa Ina mambo mengi sana na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Hivyo katika pita pita zangu nimekutana na mada hii ambayo imelenga sana Kwa wanawake hasa waliopo kwenye...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Hali kwa sasa imekuwa mbaya sana hasa kwa sisi ambao tunazunguka mitaa mbalimbali town na mitaani sometime unakutana na majaribu makubwa kushinda hata ya ayubu. uvaaji wa dada zetu siku hizi...
3 Reactions
35 Replies
8K Views
Kwanini sio alama ya mavi ya mbuzi, kisu au jembe? na je nchi zote duniani alama ya kopa ina maana iyo hiyo ya mahaba? i am so curious to know.
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Hivi kwanini baadhi ya wanawake akijua unampenda kweli yani anakutesa.?
1 Reactions
17 Replies
3K Views
jamaa yangu ameoa binti mmoja mzuri mwaka wa pili sasa. na mimi ndo nilikuwa best man wake so nilihusika vizuri sana kweny ehiyo ndoa na harusi yao toka mwanzo. katik aharakati hizo ndip mama mkwe...
9 Reactions
198 Replies
31K Views
He's one of my best friends, I've been closer to him than I have to anyone else He knows everything about me EVERYTHING I always felt like i could rely on him When everything and everyone else...
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Naomba mmoja anisaidie barua ya uchumba inaandikwaje kwa watu wa Ruvuma tafadhali ama yeyote anaejua
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Miaka ya nyuma nilikuwa na msichana wangu mweupe(ugonjwa wangu aisee) Ni msichana ambae nilimpenda sana kwa sababu wenge la mapenzi ndo alinitoa yeye.In short nae alikuwa mzuri sana(according to...
115 Reactions
215 Replies
32K Views
Back
Top Bottom