Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Kwanza Salam kwenu wakuu Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba. Kuna michepuko...
15 Reactions
350 Replies
39K Views
Kabla ya kumaliza chuo kuna manzi nilimvuta geto nikampa roles za mke na ahadi kibao kuwa tutaoana akimaliza chuo acha Mimi nitangulie nikatengeneze life mtaani. Nilimvuta geto karibia miezi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Una kiwanja Bunju lakini kwa sasa unaishi kwa kaka. Umepata mchumba mnategemea kufunga ndoa. Bugdet ya harusi mliyonayo mkononi ni milioni 10. Hii ni pesa wachumba waliweka kwa pamoja kwa miaka...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Mapema mwaka jana mwanzoni nilimpata dada mmoja mwenye asili ya Tanga (24) nikawa nadate nae. Nilimpata Instagram na tulianza mawasiliano ya kawaida baadae tukaonana na tukaanzisha uhusiano wa...
26 Reactions
336 Replies
47K Views
Kuna dada mmoja tulikuwa tunafanya kazi pamoja ofisini, ni mstaraabu mno. Kwakuwa mimi tumezoeana sana akawa ananisimulia mambo yake mengi yakiwepo ya mahusiano. Akawa ananieleza namna ambavyo...
34 Reactions
145 Replies
44K Views
Hamjambo wajukuu, Mambo ni mengi muda hautoshi basi alfu lela ulela kibao... Sikuwa na mpango wa kutoka leo, maana jua kali halafu usingizi ulikuwa bado umeshika hatamu. (Usijiulize maswali...
12 Reactions
68 Replies
4K Views
Mwanamke ni binadamu kama ulivyo wewe mwanaume Mwenzangu Kwa ufupi tu ni kwamba katika kipindi cha ndoa yangu yenye uhai wa takribani miaka kumi na moja sasa nilichojifunza katika mahusiano Haya...
19 Reactions
105 Replies
11K Views
Habari zenu wapendwa, samahanini kwa uzi huu kama nitakuwa nimewakwaza. Hapo nyuma nilikuwa na boyfriend alikuwa ni mtu asiyejali ukaribu wetu alikuwa anajali simu yake zaidi kuliko mimi...
0 Reactions
307 Replies
29K Views
Ukiwa msatarabu na mwenye huruma mwana mke anakuona kama fala, nakupa mfano moja ulio tokea kwangu binafsi, kuna mwanamke tume date takribani miaka sita kwa matumaini ya kumuoa, lakini kusema...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Juzi kati jamaa yangu akanipigia, Mshkaji nilisoma naye High school. Tulipotezana kitambo ila hamadi tukakutana town tukabadilishana namba fresh. Kwa sasa nimehamia kwenye kakibanda kangu ambapo...
13 Reactions
63 Replies
7K Views
Ndoa ni kazi isiyo na mshahara lazima uifanyie kazi ndoa yako .Siku hizi wanawake hawataki pesa zenu tupo juu sana .Heshima muweke mbele mtaachwa .Mzee gates ameachwa document zinaonyesha Hivyo...
5 Reactions
144 Replies
12K Views
Hivi wale wadada ambao ukiwatongoza wanakukataa kata kata tena anaweza hata kukuaminisha siwezi kundate na mtu kama wewe maisha yangu lakini ukiwakaushia na wewe ukaendelea na harakati zako muda...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Sikumlazimsha wala nini ni yeye mwenyewe na Roho yake ya huruma kaniletea Mchoro niupasue, na kweli niliupasua aswaa. Nyonya sana kiantena, piga sana tarumbeta mwisho nikaupasua mchoro wake kwa...
7 Reactions
25 Replies
4K Views
Kuna mwanamke naishi naye mwezi wa Sita, sasa ila nimekuja kuambiwa na mtu wa karibu kutoka Familia yao kuwa huyu mwanamke alishawahi kuugua ukichaa mwaka 2015 akatibiwa akapona. Tatizo ni mie...
7 Reactions
45 Replies
5K Views
Jumapili njema kwa watu wote. Twende kwenye mada Kwa nini mwanamke akimfumania mwanaume/mme wake kuna uwezekano wa kumsamehe na mapenzi yakaendelea japo yatapungua kiasi chake ila kwa nini...
2 Reactions
8 Replies
3K Views
ndugu zangu wa jf. salaam aleikum. ni mara yangu ya kwanza kujitokeza humu ndan kwa kutoa yaliyonisibu. naomba mnishauri wana jf. nimeoa na nimebahatika kupata mtoto mmoja. mke wangu ni mzur na...
4 Reactions
227 Replies
30K Views
Mimi ni kijana nilikuwa ktk mahusiano na binti mmoja, ila kutokana na tabia zake nikaamua kumuacha, ila yeye hataki kusikia hilo neno la kuachana na yupo tayari niwe na mwanamke mwingine ila yeye...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Maumbile yetu huwa yanatofautiana, ndio maana tunasikia vibamia, tango, mpini, mkono wa mtoto n.k pia kwa wenzetu tunasikia flat, iliyojaa, mnato, iliyobonyea n.k. Sasa inapotokea unakutana na...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wazee wetu wa zamani walidumu sana katika ndoa zao labda kwasababu wanawake walifundishwa kuwatii waume zao huku mfumo dume ukiwa umeshika hatamu katika jamii zetu. Lakini sasa imekuwa tofauti...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wanawake wanapenda mapenzi ya gizani Sunday October 02 2016 Inaeleweka kuwa wapendanao iwe wanandoa au wapenzi hupenda kufanya mapenzi sehemu yenye mwanga hafifu au gizani. Wanawake wanapenda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom