Ebhana nimeamua kutoka leo nije kitaa maeneo flan hapa nipate upepo huku niagize chakula kizuri na kinywaji laini bwana...
Sasa jirani mmoja ambae meza yake haiko mbali na meza yangu bwana si...
Kama kawaida yangu, kila nifikapo kijijini kwetu kipindi kama hiki cha sikukuu huwa natembeatembea kuangalia namna gani madhari ya kijijini yamebadilika.
Leo sasa, saa tisa niko zangu road...
Siku ukiwa katika siku zako na mumeo au mpenzi wako anahitaji kweli mfanye mapenzi yaani ukiangalia mna siku kazaa hamjapiga show hapo alafu ndo ukimchek jamaa kweli muhitaji
Huwa unamfanyaje?
Habari Wana jamvi,
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu.
Nina rafiki yangu ambaye ni Kama ndugu yangu kwa jinsi tunavyoishi na kusaidiana once changamoto za kimaisha zinapo arise.
Nimeishi...
Naamin mpo good wadau,
Leo nlikua kijiwen na wajuba tunapiga piga story ya mambo za Hamza, mara story zikahama mpaka kwenye minyaduano maana kuna dada bonge bonge alipita kijiweni akaharibu...
Yaaani zamani hakuwa hivyo alikuwa anakunywa kistaarabu ila sasa amekuwa mlevi ambae hataki hata kuoga yaana kama karogwa vile.
Msaada nipate dawa au mawazo nijue cha kufanya maana ndoa imekuwa...
AINA ZA WAPENZI HATARI KWENYE MAHUSIANO...
1: Mpenzi mtangazaji--> Kila mnacho fanya yeye anaenda kusema kwa marafiki/ndugu/mitandaoni.
2: Mpenzi mtazamaji: Hana afanyalo, hana future, yupo yupo...
Habar za muda huu wana Jf.
Usiku huu nimepokea taarifa zilizonishtua sana kutoka Kwa rafiki yangu (Mdogo wangu) kuhusu Afya yake.
Alichoniambia mpaka sasa sijaelewa kinawezaje kumuathiri haraka...
Salaam! Hivi ni kwa nini Tanzania mtu akiwa na akili nyingi viongozi humchukia sana? Je, ni wivu au nini? Narejea kutoka kwa Yericko Nyerere(kama sikosei), aliwahi kusema kuwa Africa ukiwa na...
Best freand wangu kanitumia sms ifuatayo kuomba ushauri,
''Mkubwa vp za asbh?ebwana npo ktk kpnd kgumu sana,hapa ninakaa na msela wangu na demu wake ana muda kama wk3 sasa yupo,juz nlipga mma...
Habarini za kutwa Ndugu zangu natumaini nyote wazima wa afya kabisa .Tuendelee kupambana dhidi ya COVID-19 .Mungu ibariki Tanzania
Tuende kwenye mada yetu pendwa ni kupeana motisha morali katika...
Nimekaa nikatafari sana kwa nini hili tatizo la wanawake walioolewa kuchepuka limekuwa kroniki?
Hapo awali nilidhani walio na mipini mikubwa huwa hawapigiwi wake zao.
Lakini ukiingia mitaani...
Heshima kwenu ndugu zangu.
Jambo likikukuta mshirikishe mwingine mwenye uzoefu, na mficha maradhi kifo humuumbua.
Naamini humu wapo wengi wenye ndoa na wazoefu wa changamoto mbali mbali...
Kwanza kabisa nipende kuwapa pole wanajavi wote kwa changamoto ya corona na pole zaidi kwa waliopoteza ndugu zao.
Tuzidi kumwomba mwenyezi MUNGU na kuchukua tahadhari Inshallah tutavuka salama...
Nini maana halisi ya kusamehe?
Kusamehe ni kuamua kutomchukulia mtu hatua na kuondoa kinyongo moyoni mwako kutokana na jambo baya ulilofanyiwa na mtu huyo. Kusamehe kunasema hutakiwi kusikia...
Habari wakuu,
Kwa uzoefu nilioupata kutokana na kupitia mahusiano mbalimbali hatimae leo nimeona nilete hitimisho kuwa kudate na mabinti hakuna furaha kabisa, yaani hawa watoto maisha yao katika...
Kutumia lugha ngumu za mapenzi kwa wapendanao kunadumisha, kuimarisha na kusisimua katika mapenzi. Ukitumia lugha laini laini ya kuoneana aibu, mpenzi wako atakuona zoba; atakwenda kwa wahuni na...
Kutokana na kukua kwa teknolojia dadazangu wengi sana mnatabia za kupiga picha tata(picha za utupu) hii nmeshuhudia kwa baadhi ya wanawake.
Wakwanza huyu ni dem wa mshkaj wang yy anapenda sana...
1. Akigombana na mwanaume utasikia akisema "una mambo ya kike wewe", akishasema hivyo basi mwanaume huwa mdogo kama piritoni na kuufyata(hata kama yeye ndio kakosewa).
2. Wengi wana kasumba ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.