Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Nimechunguza mengi sana ndani ya ndoa. Kabla hujaoa ulikua huru kwenda na kurudi muda wowote na tabia za kibachela. Ndugu jamaa walikua huru kukuomba na kuwasaidia bila vikwazo vingi. Ukishaoa...
7 Reactions
35 Replies
3K Views
Wakuu habarini zenu? Nimekuwa nikitafuta maana ya huu msemo sehemu mbalimbali hatimae nikakutana na babu 1 hapa ofisini kwetu akaniambia Firauni alikuwa Mfalme na Moses Kijakazi, siku moja mke...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
  • Closed
Habari zenu wote? Siku kadhaa nyuma nimejikuta kwenye wakati mgumu mno. Hivi karibuni niliwiwa kwenda kupima kama sehemu ya kuifahamu afya yangu, Majibu yangu hayakuwa ya kufurahisha...
100 Reactions
752 Replies
58K Views
Salaam! Kuna ile hali huwa inamtokea mdogo wangu, kuna watu ambao mara nyingi humtabiria mema kama vile kuja kuwa kiongozi mkubwa n.k Mfano mara nyingi hukutana na hizi kauli "ahsante sana...
7 Reactions
52 Replies
6K Views
Ndugu zangu, salaam! Kumekuwa na kampeni nyingi za kumwinua mwanamke kutoka katika hali ambayo hapo awali ilitafsiriwa kuwa ni ukandamizaji, na matokeo ya hatua hizo ni dhahiri yashaanza...
41 Reactions
222 Replies
17K Views
Leo nawauliza wanawake kwanini mnapenda wanaume wenye ushawishi pesa/magari? Mimi ni kijana lakini hua nakataliwa sana na mabinti hadi nikawa nahisi nimerogwa sasa siku moja kaka yangu akaja...
14 Reactions
66 Replies
10K Views
Mimi nimechoka na hali ya wife yaani ana mimba ya miezi 2 now. Yani nyumba imekua kero mara leo nataka kuku wa kienyeji, mara mbuzi, mara nisiende kazini anataka tuu tukae nae home, ila hataki...
7 Reactions
129 Replies
20K Views
Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama...
130 Reactions
802 Replies
61K Views
Wataalamu mpo? Kwema? Niliwamisi sana. Juzi bana nilitoka out na shemeji yenu mmoja hivi ambae ndio bado hatuna hata week 2, tulitoka weekend tulikunywa vinywaji kiasi baada ya kuchangamka...
25 Reactions
103 Replies
9K Views
Malalamiko yamekuwa mengi kina mama hatutaki kutoa unyumba visingizio kibao. Mara nyingi wanawake watu wazima from 35 hamu inakuwa hakuna .yaani tuseme upungufu wa nguvu za kike au nyreege Sasa...
17 Reactions
149 Replies
21K Views
Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID...
3 Reactions
44 Replies
5K Views
Wakuu, nimepita pita na madada kadhaa, tena wengi kama 12 idadi yao tena na zaidi, wote hao ni wa kununua wale madada zetu. Kuna barmed mmoja huyo nilienda naye kavu kama week yaani ni kuwa...
9 Reactions
120 Replies
13K Views
Naandika haya simanzi nzito kichwani na moyoni[emoji22][emoji22]. Nimeachwa na mwanamke nimpendae, sijui nifanye nini. Nina vidonda tumbo vilikua vimetulia muda mrefu vimenijia now kwa mawazo...
5 Reactions
229 Replies
23K Views
Ukipata nafasi oa/olewa na mpenzi wako ambaye mpo wote chuo sababu mnajuana uhalisia. Tafiti isiyo rasmi inaonesha waliooana na wapenzi wao wa chuo ndoa zinadumu sana. Na Ndoa nyingi za wapenzi...
7 Reactions
44 Replies
6K Views
Anaitwa Jacky, nilimfahamu mwaka 2019, huo mwaka nulimchukua mara moja kwa ajili ya short for first time, sasa tukajenga mazoea kwa vile akiwa chumbani ni mchangamfu sana, aliiona picha yangu...
50 Reactions
303 Replies
47K Views
Huyu dada namfahamu mwezi wa tatu sasa. Ni mzuri sana kwa sura na umbo. Shida zipo ndogo ndogo. Watu ambao amewafollow instagram ni watu ambao mimi naona wa hovyo hovyo. Wasanii n.k. Anavifahamu...
16 Reactions
55 Replies
5K Views
Jamani hivi ni kwa nini wanaume pindi wanapowakosea wanawake kwenye mahusiano wanakuwa wazito kujishusha? Hii inawaumiza sana wanawake kwani huwapenda wapenzi wao. Mdada ikimtokea hali hii, je...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Miaka ya nyuma ilikuwa raha sana kwenda kuchapa demu. Kwanza unamsotea kutongoza halafu kama amekukubali anakupa penzi kwa mbinde. Kumvua nguo ya ndani inakua ugomvi na unakula mzigo kijasho...
20 Reactions
111 Replies
13K Views
Back
Top Bottom