Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Karibuni mlio na uelewa zaidi juu ya Honeymoon! Utamaduni huu ulianzia wapi, ulilenga kitu gani na ni mambo gani hufanywa na wahusika wanapokuwa huko! Ni vizur mnaofahamu mtudadafulie kwani...
0 Reactions
37 Replies
15K Views
Najiuliza swali hili! Kuna couples zingine hukaa honeymoon kwa wiki 1 hadi 2! Na katika kipindi hicho nimeshuhudia watu, hadi wachungaji/mapadri wakikataza mtu yeyote kwenda kuatembelea couple...
1 Reactions
212 Replies
36K Views
Ni wazazi💞💓 Kuna wakati naamka natamani tuu niwe nao, niwapikie wale, niwafanyie usafi, niwawekee gospal music, tuongee tufurahi, niwakate kucha, nimnyoe mshua nywele halafu nimtishie kumpaka...
17 Reactions
27 Replies
2K Views
Poleni na majukumu na COVID 19 ambayo sisi kama taifa ya JMT tumeamua kukana kuwa kinachotusumbua sio COVID bali na tatizo la upumuaji almaarufu kizungu kama pneumonia.Anyway tuachane na hilo...
10 Reactions
76 Replies
9K Views
Wakuu kama mnataka kujua mrejesho basi yule kaka nimeendelea kumuona tena kila siku anatoka nje nimuone na anajiongelesha. Cha kushangaza hiyo njia ya immigration ndio njia ya kwenda home...
7 Reactions
68 Replies
7K Views
Baraza la kata ya Mavanga wilayani Ludewa mkoa wa Njombe limeamuru wanandoa kutengana kwa muda wa miezi mitatu ya matazamio na kurejea kwa wazazi wao kila mmoja Hii ni kutokana na ukatili wa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu, nimekuja na bonge la suluhisho, kwa wale wanaosumbuka na janga hili,,, the most powerful home remedy has become more popular in the world, dawa yenyewe ni ndogo sana, chukua punje...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
SIFA YA MABINTI WA JF YETU 1. Ukimwambia mambo anaitika kwa herufi P na K 2. Ukimuomba picha anakwambia «wewe mbona haujatuma?» 3. Ukiuliza maswali matatu kwa pamoja anajibu moja tu! mengine...
9 Reactions
31 Replies
38K Views
Nimekua niko karibu na marafiki zangu mno kwanzia Form 6, Chuo mpaka kazini, nimefurahi mengi tumepitia vingi vizuri, vibaya vichache kwa kweli namshkuru Mungu. Sasa basi mambo yameanza badilika...
15 Reactions
54 Replies
6K Views
*1.Tanzania; Una mgonjwa mahututi ndani lakini unamuacha ili uwahi mazishi ya mtu aliekufa ambae hata sio ndugu yako!* *2. Tanzania; Mgeni akija nyumbani anakula vyakula vizuri kuliko familia...
19 Reactions
49 Replies
4K Views
Wahenga walikuwa na baadhi ya misemo yao ambayo ilikuwa na maana pana. Sina uhakika sana wa ninachokiandika na uhalisia wa kichwa cha habari, ila naziona dalili hizo. Inafahamika kuwa mzee wa...
16 Reactions
40 Replies
5K Views
Zilikuwa zipo 37 lakini nashkuru nimeacha tano na sasa zimebaki 32 (Namshkuru Mungu) Habari za mchana waungana, bila shaka hamjambo (Kazi iendelee) Wanauliza kwanini unaitwa mzee wa kasumba...
11 Reactions
41 Replies
4K Views
Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
Asalaam Alaykum na Shalom. Nina babayangu mdogo ambaye ni sasa ni Mstaafu. Walifunga ndoa Bomani mwaka 1990. Wamejaliwa watoto Wanne, Binti Mmoja firstborn na wakiume Watatu...29, 27, 23 na 21...
8 Reactions
85 Replies
8K Views
Huu ndio mfano halisi wa kile ambacho kinatokea ndani ya nyumba nyingi! Natumaini wa kujifunza mtajifunza jambo 🤩🤩🤩!!! cariha Rebeca 83 Wangari Maathai Espy Karma Saint Anne financial services...
15 Reactions
149 Replies
12K Views
Je, ni sahihi kumuuliza mchepuko wa mke wako au mme wako mara unapogundua anatoka na mme/mke wako kabla ya kufanya maamuzi ya kutoa hukumu?
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Nina ndoa changa inayokaribia mwaka, nampenda sana mke wangu kiasi cha kutowaza kuachana ila tatizo ni suala la usafi wake ndio linalonikosesha amani na nimeshajitahidi kumrekebisha ila...
21 Reactions
135 Replies
14K Views
Habari za mchana ndugu wana JF. Once again, nzi chuma hadhuriwi na uvundo yupo hapa. Wakati nikiwa chuo Moro town, nakumbuka niko 3rd year na nlikua naishi kitaani mbali kidogo na chuo. Siku...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
1. Ikiwa mwanamke anapenda kuvaa nguo zinazofunua na kuonyesha viungo vyake vya siri mitaani, katika mazingira ya familia au mkusanyiko wa umma, HUYO MWANAMKE NI KAHABA NA HAKUFAHI! 2. Mwanamke...
8 Reactions
58 Replies
9K Views
I want a boo, I need to fall I love with. I want that man or woman who will whole me. Falling in love is what I need, I want the right guy who will make this show up to me. A real man who will...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom