Kifupi tu naomba kumshukuru member mmoja alieniambia nimuombe Mungu,of which I did sababu nilitaka msaada wowote wa kurudisha familia yangu nyumbani baada ya upupu niliokosea.
Nikiri, nilimsumbua...
Nakumbuka ilikuwa mwaka 2016, kuna binti nilijikuta naanzisha mahusiano na yeye lakini nilikuwa sina malengo nae ya ndoa ila yeye alikuwa na malengo na mimi ya ndoa, alikuwa anapigania sana...
Duuu, zenji dar mkuu. Shuka nami,
Nikiwa chuo mwaka wa pili, nilikua nimepanga kitaa na na washkaji zangu wawili, mmoja kutoka Moro town chalii wa kinyamwezi ila walowezi wa moro, na mdigo mmoja...
Habari za mchana ndugu zangu,
Mpaka imefikia nimekuja kuomba ushauri humu, inamaana nawakubali 100% ndugu zangu, kwani hamkuwai kuniangusha hata simu moja hasa katika matatizo yangu binafsi...
Habari za kutwa wanajamii,
Jamii ina changamoto nyingi mbalimbali zinazowakabili watu wake.. Baadhi ya changamoto zinapatikana ufumbuzi katika ngazi za kifamilia na jamii nzima kiujumla, lakini...
Shetani ameharibu sana fikra za watu kwa kuendekeza watu kuzini na hata kuwafanya wengine wajione hawana thamani lakini je Kweli starehe ya mume/mke wako MUNGU, Anaweza akaifanya isimridhishe...
Hivi kwanini wanawake wanapenda kudate na wanaume waliondani ya ndoa na wana kauli zao utasikia "MUME WA MTU MTAMU" Ni kipi kinawafanya kuwa na wanaume ambao tayari wako ndani ya ndoa..!!
Juzi bana katika harakati zangu za kutafuta mchele nikabahatika kukutana na mtoto mzuri kwenye daladala, stori za hapa na pale mara paaaap!
Nikaomba namba mtoto akanipa lakini naona ayupo ACTIVE...
Nimempenda binti wa kilokole sanaa, mnooo na nataka kumuoa. Sujaomba hata busu nikaomba kwenda kwa wazazi wake ili nifuate taratibu zote na si uchochoroni.
Cha ajabu wazazi wa binti wamekataa...
Habari wana JF naombeni ushauri kwa hili jambo,
Mimi ni kijana wa miaka (25), nipo katika mahusiano na binti mmoja miaka (20). Katika mahusiano ni mwaka mmoja na nusu sasa tumedumu. Wazazi wa...
Am not that good narrator ... Kifupi ... Nilikuwa na mdada ( nilimuelezea humu Katika baadhi ya comment zangu nikiwa chuo SAUT. Tukamaliza chuo akaolewa akiwa na mimba nilimsihi sana nikiamini ni...
Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana.
Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya...
Kutoka katika album yake ya "House of Exile" ya mwaka 1991, Lucky Dube alitengeza masterpiece inaitwa "It's not easy". Nyimbo ambayo Lucky anaelezea alivyooa mwanamke aliyempenda sana kwa kiasi...
Habari wadau! Katika mihangaiko ya hapa na pale kuna binti nilimkuta mahali, kifupi nikamtamani na nikataka nipite tu.
Baada ya mbinu za hapa na pale, alinipa namba na tukajikuta penzini, baada...
Kama una mpango wa kuoa, usichelewe sana. Usiwaze sana harusi, waza ndoa. Kama una kipato kidogo, fanya hima uoe.
Wenzetu hawa huja na riziki nyingi. Utashangaa milango ya kiuchumi itakavyoanza...
Kutokana na elimu zangu nimechukulia nje ya Tanzania wakati narudi Tanzania baada ya kugraduate nimeona utofauti mkubwa Sana wa maisha ya wanawake.
Wanawake walio kule ufaransa ni civilized Sana...
Wengi huingia kwenye ndoa bila kuyajua haya ndo maana ndoa huvunjika kwa mda mfupi, hivo jifunze hapa ili uwe na uchaguzi sahihi uingiapo ndoani/katika mahusiano.
Wanaume na wanawake wapo katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.