Women they don't LOVE Men, they love what we can do for them
Men they don't LOVE women, they love good feeling women provides to them
ATTRACTION is not the reason to be loved by WOMEN
Women...
Mpenzi mwana MMU mwanamme! kwa wale wenye wapenzi tu, ni nini kilikufanya kwa nyakati fulani fulani uka “ pull away”( sijui Kiswahili chake)
Kwa wanaojua tu maana yake lakini, maana humu kuna...
Wadau naombeni ushauri, niko na mwanamke wangu kwa muda mrefu ila tukiwa katika mchezo mwenzangu akimaliza tu haja zake anasema amechoka anataka tupumzke na kwa upande wangu nakuwa bado sjiamaliza...
Katika mahusiano sio siku zote mambo yataenda vile unavyotaka kuna kipindi mpenzi wako anaweza akawa ameanza kukuchoka tuu kwa sababu anazozijua yeye mwenyewe.
Na moja kati ya maeneo yanayonesha...
Za leo wana MMU.
Natafuta sehemu moja tulivu iliyotulia inapiga mzika wa taratibu wa polepole huku swimming pool ya private ipo i mean nataka self contained room na swimming pool sitaki watu...
Wana wa familia ya JF mambo vp? Katika miangaiko ya kuyatafuta maisha hatimaye mwenzenu nimefika nchini Rwanda nimempata binti mmoja wa kihutu anaitwa Grolia nimempenda sana na nimeanzisha...
Ni kilio kutoka kwa jamaa yangu wa karibu sana, anadai kwamba demu wake anamlalamikia kwamba, hamridhishi kwasababu haonganishi mabao wakiwa wanafanya sex, sasa anaomba ushauri afanyeje ili aweze...
Kwa upendo Wa mungu naamini wote wazima kabisa hivyo nitaenda moja kwa moja kwenye Maada tajwa hapo juu! Kichwa kinajieleza kabisa labda tu nianze kwa kukiri kuwahi kudate na hawa viumbe Wa...
Habar wakuu,
Muda mrefu kidogo nilijuana na huyu mtoto ambaye hasomi ana miaka 17, nilianza mahusiano naye mwezi wa 7 mwaka huu, lakini kutokana na tabia zake za kuchepuka kwenye mahusiano...
Kama si kuwasikia basi ushawahi kuwaona au kuishi nao kabisa nawazungumzia mama huruma au majo maramoja au maharagwe ya mbeya
hawajui hapana vichwani mwao hawana msamiati wa HAPANA ukigusa tu...
Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu...
Hi there 👋👋
Kwa wakatoliki mzazi aaliyemsimamia mtoto ubatizo familia yeye na familia yake inakua imeungwnishwa na familia ya mtoto aliyemsimamia ubatizo..Baba au mama wa ubatizo anakua...
Kwa akina Mama najua wao ni wepesi kwa kuwagundua mabinti zao ila hapa nataka kwa sisi wababa ( akina Baba ) kuwa utawezaje kugundua mapema kuwa binti yako mpendwa kabisa wanamume wameshaanza...
Mara nyingi nimeona vijana wanapambana kutengeneza shape kua mwonekano mzuri badala ya kutafuta pesa. Naomba masister zangu mtuweke wazi mbali na pesa mnavutiwa na shape ipi hasa kwa sisi wanaume...
Kuna familia moja naifahamu ina mke, mume, mtoto mmoja, mdogo wa mke wa kike, wa kiume, binamu wa mke beki tatu, mtoto wa dada wa mke na pia kuna ndugu wawili wa mume.
Huyu mume ana mchepuko...
Naskia wamama hasa kwa watoto wao wa kike wanauwezo mkubwa wa kujua kua huyu binti yangu ametoka kudinyana. Pia, naskia mademu zetu au wake zetu wana exceptional capability ya kueza kutugundua...
Amani kwenu,
Wadau nimepata mwanamke ninae taka kuoa kwa maana ya mke wa pili,tatizo kwa haraka haraka alilonalo amejichora tattoo kwenye paja tattoo hiyo ina jina la mwanaume wake aliemuacha na...
Mapenzi bhana.
Kuna wadada wawili tumbo moja, wazuri na wanavutia sana lakini mdogo mtu alikuwa mzuri zaidi, mkimya mwenye dharau ndani yake ya kujiona yuko level flani hivi za juu. Huyu ndio...
In as much as you want to run things with many girls, you need to be extremely careful else you fall into the hands of the ones that will ruin you completely. There are girls out there who are...
Wana MMU,
Salaam.
Japo mimi sii member active sana humu MMU, ila ni mfuatiliaji mzuri wa mada za MMU.
Kwenye what's app group fulani kuna mjadala kuhusu jamaa fulani kampenda mke wa mtu.
Watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.