Baada ya kimya cha hapa na pale leo nimeaamua kuja na kisa kilichowahi kunitokea kipindi fulani.......nimeona leo nishee nanyi.......
Ilikuwaa hivi.....
Mimi kwa kweli wake za watu nimekula wengi...
When a woman starts liking or loving you, she tends to get closer to you and ask you a few questions to get to know you better.
As a man, it is good to observe these traits in a woman and to...
Huyu binti nina mwaka nipo nae katika mahusiano na moja kati ya promise niliyomuahidi nitamuoa mwaka huu mambo yangu yatakapokaa sawa Ila mpka sasa mambo magumu.
Na binti naye kwao wameanza...
Nimekuwa Single muda mrefu aisee kuwa Single kwa mtu mzima basi tu ila unaona kuna kitu umemisi bored, stressed...ukiwa mtu mzima sense of belonging muhimu.
Japo mambo yaja settle...nataka...
Wakuu habari ya asubuhi.
Moja kwa moja niende kwenye mada, huyu mwanamke nimekuwa naye kwenye mahusiano kwa miezi kadhaa, kuna wakati alishika ujauzito, tukakubaliana kulea mimba hiyo, basi...
Kuna dada mmoja hapa mtaani kuna grocery jirani uwa naenda kupata kinywaji mara nitokapo katika miangaiko yangu sasa kuna siku alikuja pale kumtembelea rafiki yake nilipomuona nikatokea kumkubali...
Habari zenu waungwana!
Mwaka 2019 nilibahatika kupata mwanamke mmoja ambaye ni muajiriwa katika ofisi za umma.Kwa wakati huo alikuwa na miaka 28.
Tulianza rasmi Safari ya mapenzi ambapo kufikia...
Nyumba tunayoishi tupo wawili ,mimi na mshikaj wangu wote mabachelor...ni nyumba ya vyumba vitatu ,sebule, jiko na choo...chumba kimoja tunakitumia kama stoo ...
Sasa yy ni mpenz wa PlayStation...
Naombeni ushauri wenu wadau, nina miaka kama mitatu nipo kwenye mahusiano na mama mmoja mwenye watoto wawili.
Natamani tuachane lakini nashindwa na kanambia lazima nitaishi nae hata kama sitaki...
Mwanaume kabla hujaamua kuoa ama kuzaa, kabla hujaamua kuendeleza kizazi chako lazima ujiulize, je nikifa leo huyu mwanamke ataweza kuwalea wanangu sawasawa ama angalau vile ulivyokua unatarajia...
Hiki kitu nakiri ni muhimu sana kama unafukuzia manzi
Umewahi kufukuzia demu akawa anakupa miadi ya uongo au miyeyusho ikawa mingi ukawa unataka kukata tamaa na kutokana na ahadi fake na...
Jana nilikuja na uzi kwamba leo nitampeleka mwenza wangu Clinic kufungua kadi ya mahudhurio na maendeleo ya mtoto kwa sababu ni mjamzito,
Mrejesho.
Niliomba ushauri wengi waliniogopesha kwenye...
Binafs nakumbuka kulikuwa na mtoto flani wa kipare alikuwa kanizikimikia sana yani, ilikuwa ni chuoni miaka kama 8 iliyopita.
Basi mimi nnikavimba sana kichwa nikawa namletea mapozi flan ivi ili...
Mambo vipi wakuu? Leo niko na swali moja tu
Hivi Je! Kuna ubaya wowote kwa mwanamke kumzidi umri mwanaume au mpenzi wake?
Let's say, labda mwanamke amemzidi mwanaume umri wa kuanzia mwaka mmoja...
Sisi wanaume kuambiwa kwamba tuishi na hawa wenzetu kwa akili haina maana kwamba wao wanaakili kuliko mwanamme hapana bali ni uwezo wao wa janja janja kucheza na uhitaji wetu wa kingono.... hapa...
Siku moja nilituma text kwa njia ya kawaida nilikuwa namtumia mshkaji wangu wa kike. Msg ilikuwa mbaya yaani kiufupi haikuwa na heshima.
Bahati mbaya sana ile text ilienda kwa Wife na si unajua...
Kwanza nikiri hii ni ID yangu ya pili kwaajili ya issue hii tu, nisingependa kutumia yangu halisi kwasababu za kibinafsi zaidi.
Nina mchumba wangu tupo kwenye mahusiano kama mwaka sasa unafika na...
Kaaaaazi kwelikweli, sijui kama waowaji wote walipitia masaibu ninayoyapitia mimi.
Back to the topic. Huyu dada nampenda sana na amenisumbua sana maana mwanzoni hata kuongea na mimi alikuwa...
Miaka ya nyuma kutongoza was an art, na ilikua lazima uimudu hiyo sanaa uweze kupata ama kula watoto wazuri. Ilikua ni lazima uwe mtu wa maneno na vitendo.
Miaka ya nyuma ukiwa domo zege wanawake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.