Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Niko na mwenza naishi nae, bado sijaoa ila niko nae tu kuvukisha kipindi hiki cha baridi kipite salama bila kubanwa na Ngiri. Mwenza wangu ni mjamzito, na kesho namsindkiza clinic kwenda...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Leo nimeona hii post mahali sasa tuchakachueni kwa undani. Kuna mwanadada ameishi na mume wamtu miaka 10 na wanawatoto wazuri tu wawili ila huyo dada alikuwa anamnyanyasa bi mkubwa na hadi...
4 Reactions
85 Replies
42K Views
Mke wangu alianza Kama kuwa na matani mengi yasiyo ya kawaida na shemeji yake. Nikawa mzito kuchukua hatua nikiamini anajitambua..ikafika hatua sasa usiku hanipi penzi yapata wiki 2 anadai hana...
3 Reactions
54 Replies
6K Views
Wadau wa JF habarini za siku natumaini mko poa na mnaendelea vema na majukum ya kila siku kama binadamu katika kujitengenezea mazingira ya mkono kwenda Kinywani yaani i mean mambo ya Diko Wadau...
8 Reactions
116 Replies
13K Views
Japo sio wote ila asilimia kubwa ni changamoto huu ni uzoefu wangu wa kuishi na ndugu nilihitimu diploma yangu CBE tawi la Dodoma nikarudi wilayani kwetu sikuweza kufanikiwa kupata ajira kutokana...
33 Reactions
123 Replies
22K Views
Mie nimehongwa gari bila kadi lakini hata mafuta siwekewi wala sevisi[emoji1751] mimi na jjemba naipenda kwelikweli na tuna mwaka sasa na miez sita lakini hanitrit vizuri hata kidogo..mpaka akiona...
6 Reactions
161 Replies
13K Views
Uhusiano wa mapenzi ni aina ya mohawapo ya magonjwa ya akili. Unapoingia msombweni hakikisha unatembea na hisia zako. Siku moja nilikutana na sms ya betterhalf akimlalamikia mchepuko wake kuwa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
1. Unapokuwa kwenye mahusiano jiwekee imani kwamba mpenzi wako hajakamilika na anaweza kukukosea kwa lolote wakati wowote (Hakuna binadamu aliyekamilika) So jiweke tayari. 2. Mpende mpenzi wako...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Ndugu zangu nachoandika hapa si utani. Nianze kwanza na kumwomba Mungu anisamehe najutia nilichokifanya leo si kwa mapenzi yangu bali ushawishi wa shetani. Leo nimekula machangudoa wa Tandika...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Wiki iliyopita nimebahatika kukutana na mabinti kama watatu, hivi njian kwenye harakati zangu, huku na huku stori za hapa na pale......dakika za mwisho kabisa naomba namba ananiambia sina simu...
5 Reactions
65 Replies
8K Views
Unajua kipindi cha utafutaji sisi wanaume huwa tunatafta wadada fulani ambao ni wa level hiyo yaan mara nyingi wanakuwa wa kawaida sanaa. Mara nyingi unakuta wala humpendi kivile ila kwasababu...
4 Reactions
49 Replies
4K Views
Kuna kitu nimeobserve Mara nyingi kwenye Jamii, taarifa zikienea mtaani kuwa una-date na mdada flani, watu wanaanza kukuuliza yule mdada ulimpa sh ngapi hadi ukampata, mwingine atasema ni kwa vile...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu Nimetoka kuachana na mchumba wangu niliyempenda sana hivi punde na nilitaraji angekua mke bora mbeleni[emoji22] Inauma sana ila siwezi endelea na mwanamke mwenye hulka ya umalaya...
24 Reactions
107 Replies
9K Views
Simu sio kifaa kizuri saana kwa wapenzi waishio pamoja. Kinaweza kusababisha matatizo mengi saana. Na matatizo haya yanaweza kusababishwa na kakitu kadogo. Wapo wanaosema simu za waume/wake zao...
4 Reactions
80 Replies
8K Views
Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine...
6 Reactions
172 Replies
19K Views
Kwa wale tuliowapitia na kucheza international match na international relationship tuje tuelezee japo kwa kifupi jinsi mambo yalivyokuwa ili iwe inspiration kwa wale ambao wanatamani nao siku moja...
30 Reactions
531 Replies
91K Views
Ni sahii mkeo kukaa nawe mkao wa kimapenzi mkiwa sebuleni mbele ya shemeji yake. Haina madhara yoyote kimaadili?
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Mimi ni mwanaume wa kawaida, nimejaaliwa kipato cha wastani tu kinachotokana na juhudi za kujihusisha na hiki na kile kwa kupitia kujiajiri. Mke wangu pia ni mchakarikaji na anaitumikia biashara...
32 Reactions
335 Replies
26K Views
Hii ilishawahi kumtokea rafiki angu kamwita demu wake geto alafu kakuta sms za demu kibao kwenye simu ya mshikaji wake wacha azimie Sasa hii imetokea kwangu juzi kuna kademu kalikuja geto sasa...
6 Reactions
47 Replies
4K Views
Habari wana JF. Kama nilivyo andika kwenye kichwa cha habari, huu ni mwezi kama wa 8 hivi nipo katika mahusiano na dada mmoja, kwa kumuangalia kwa kweli ni dada mrembo sana na anaejitambua. Sasa...
8 Reactions
279 Replies
27K Views
Back
Top Bottom