Mpaka unaamua kumkaribisha nyumbani first dinner mpenzi wako ni lazima umemuamini na kuna vitu vimekuvutia kwake. Hii ni nafasi yako ya kujionyesha kwake uhalisia wako.
1. Nyumba iwe kwenye...
Habari wana jamii forums mimi ni Kijana eg yangu
29 nilianza mahusiano na mwana Dada eg 26
Tulianzisha mahusiano mwaka 2015 tukiwa Dsm
Tulifanikiwa kupata mtoto wa Kike mwaka huo huo
Lakini...
Wale wote waliopo kwenye ndoa na mahusiano ambayo yanapumulia mashine muda wowote yanaenda kuzimu basi leo kuna mwarobaini wa tatizo lenu hapa.
Ukitaka kuishi na mke wako bila ugomvi inabidi...
Proof that women's chests really are a man's 'first fixation'
Women have long complained that their faces are often the last thing men look at and now a scientific study has proved them...
MUNGU ni mwema! Jumatatu nyingine tunakutana . Kama mada inavyojieleza hapo juu, kuna mapenzi ya dhati kwenye dunia ya sasa? Najua jibu la swali hilo kila mtu analo kutokana na mapito yake. Wengi...
Juzi kati nikiwa natoka kwenye mizunguko yangu nikakutana na demu aliyewahi kuniletea nyodo, kwenye dala dala, tukapiga stori mbili tatu huku tukiendelea na safari.
Ikaja zamu ya konda kuomba...
Habari za wakati huu mabibi na mabwana
Nimekuja live hapa napenda niwe very open.
Nina mpenzi tunapendana ila yupo nje ya nchi kikazi. Kiubinadamu kuna wakati nakuwa bored na mpweke sana yes I...
Unajua ni kwanini watu wengi wanakosa fuaraha katika maisha ?
Kuwa na furaha ya kweli sio mchakato wa hatua moja. Ni kubadilisha mfumo wa maisha ulio nao sasa, ni kutambua nini unapaswa kufanya...
Umemfumania mpenzi wako na mpenzi wake mwingine akakudhalilisha sana kwa matusi na maneno ya kejeli, ukaumia sana. Baada ya muda kupita anakuja kukuomba msamaha
Je, utamsamehe?
Haya maisha haya.!
Nilienda Dathramu kwa bashasha tele ili tu kutesti zari langu, miaka yote niliyokaa huko holla! Zunguka sana maeneo ya fukwe na mapango pendwa, lakini wapi![emoji2377]
Kuna...
Umeoa, umepanga katika nyumba ambayo kuna mpangaji mwingine ambae nae ana mke. Ikatokea kitu kama umemwelewa mke wa mpangaji mwenzio hivi ukimramba kuna ubaya gani most especially pale unapoona...
Huyu binti nimekutana naye mara moja na sikuwahi kumjua kabla ila ananinyima usingizi. Juzi jumapili wakati natoka Makumbusho usiku alipanda gari nililokua nimepanda tukashuka wote Buguruni...
Habari zenu. Mimi ni kijana nakaa Dar na nina kazi. Elimu yangu ni shahada. Mimi nipo single ni muda mrefu kidogo sababu sikuwa napata mwanamke ambaye naona atanifaa.
Kuna binti wa kazi nyumba...
Mambo mengi mda mchache...
Naombeni kuuliza hivi mwanaume ambaye mwenye elimu ya u Dkt. Engineering, Prof. akaoa mwanamke ambaye hana elimu yoyote yaani hajaenda shule hata kaenda alifeli darasa...
Habari wakuu!
Leo nimemkumbuka mpenzi wangu tuliekutana mazingira tatanish kidogo. Nakumbuka mwaka2013 tulipata tenda nchini Malawi nilikutana na mtoto mmoja hivi kisura ni mzuri kaumbika yeye...
Wakuu habari zenu,
Mfano kuna manzi ulikua unamfeel mbaya halafu ukamweleza hisia zako ye akakuchomolea na haoneshi kukupenda kwa namna yoyote ile ingawa we unajipendekeza kumtafuta mara kwa...
Habar zenu wanabodi
Jamani nataka kulipua bomu ila daah kila nikitaka kulipua nashindwa. Kuna demu ananipenda sana ila mimi simuelewi wala nini nataka kumpiga chini ila bila kumuumiza nimwache...
Poleni na tozo za miamala
Mimi nina mpenzi mpya kabisa ila tatizo nisipomtafuta mie baasi ujue ndio siku imepita hivyo. Nikimwambia 'Nakupenda' anajibu ahsante.
Nikimpigia simu anasema ana kazi...
Kama title inavyouliza;
-Mwanamke anaweza akalia na kutoa machozi akidai anakupenda kumbe ana wanaume wengine pia.( Ni wazuri sana kudanganya na kuigiza)
_Jiulize,mwanamke akitembea barabarani...
Hapa mtaani kwetu jirani yetu ni fundi wa magari. Ana garage yake mtaani na watu wanamwamni ni fundi mzuri sana.
Ameoa msichana wa mijini peace kali, wale wa dada wa human hair na lace wigi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.