Habarini wadau wana JF
Je, kunaulazima wa kumpa mpenzi wako pesa kila akija nyumbani kwako? Maana inakuwa kama umemnunua vile ninavyoona maana muda wa kuondoka wanakodoa macho kweli.
Mbona...
Huu ni ujumbe amenifowadia rafiki yangu wa karibu sana, kwamba amemnunulia zawadi mtoto wake baada ya kufanya vizuri shuleni, (aliahidi kumnunulia zawadi nono endapo atashika nafasi ya kwanza...
"You are not my type!"..... this is a famous line used by women and even men sometimes to signify that a particular person is not in the list of the kind of lovers he/she would mingle with.
Ok...
Kuandika Uzi wa mapenzi asubuhi subuhi haimaanishi kwamba hatujengi Taifa. LAA!
Muhali gani wapendwa? Nawaombea muwe na afya njema.
Ni swali fupi tu
JE NINI KINAFANYA MTU KUFUKUA MAKABURI (MAMBO...
Waajiriwa wa wadada wakazi. Unamuajiri mtu halafu unamtumikisha kama mnyama
Halafu unakuta mtoto wawatu anafanya kazi kwa moyo akikosea kitu unamuadhibu kama paka mwizi bado anavumilia .
Wanaume...
Nawatakia tendo la ndoa jema wote wenye ndoa usiku wa leo. Usisahau kuoga na kupiga mswaki vyema.
Usikurupuke maandalizi ni muhimu.
Usipanie sana relux
Wenye magari ya kusuma msikate tamaa...
Wakuu hbr za majukumu?
Kuwa mwanaume haimaanishi kubeba muhogo tu, yaani mwanaume anakamilika pale muhogo wake unapo leta tija ktk suala zima la mahusiano.
Mwanaume anaposhindwa kuutumia muhogo...
Naombeni ushauri wadau.
Nimeolewa nina miaka miwili sasa kwenye ndoa, tangu nimeolewa na huyu mwanaume kwa kweli hajawahi nikosea na kila siku anazidisha upendo kwangu,
kila ninachotaka napewa...
Wakuu,
Kuna kisa kimoja kimetokea mwanandoa mmoja(mwanamke) amejinyonga na kumuacha mtoto wa miezi 6. Amejinyonga kutokana na mateso aliyokuwa anayapata kutoka kwa mumewe kupigwa na kusalitiwa...
Habari zenu wakubwa shkamoni
Ni kitambo sana kijana wenu sjaonekana kuanzsha thread ila kwa haya nlokutana nayo imenibd nianzishe uzi iko hivi[emoji116][emoji116][emoji116]
mmepitia mengi nyny...
Mimi ni kijana wa miaka 26 nilikuwa na mpenzi wangu tuliyedumu kwa miaka 2 nolimpenda sana ila yeye aliniektia.
Tuliishi nikijua lengo la mahusiano yetu ni kuoana nilijitoa kwake kwa kiasi...
Niko mkoani kwa wiki kadhaa kutafuta grisi ya kulainisha maisha na kipindi chote hiki naishi nyumba za wageni sina uenyeji sana katika mkoa huu zaidi ya kuwa na begi langu la nguo na laptop tu...
Kuishi kwingi unapitia mengi bandugu... Nime experience aina ya mahusiano ambayo sijawahi ona.
Mwaka 2015 nilikutana na mdada mmoja nikiwa likizo fupi home. Hatukutongozana wala kuwa pamoja...
Aisee mambo vipi. Habari za weekend.
Hiki kisa kilinitokea mwaka 2016.
Ilikua safari ya Mwanza-Dar. Nyegezi nilipanda bus na dada mmoja alikuwa wa kawaida tu hakuwa na uzuri wa kutisha sema tu...
Hello wakuu.
Nina mpango wa kumvisha pete mtarajiwa wangu. Swali langu ni je, lazima kualika watu au naweza kumuita ghetto tu nikamvalisha na mchezo ukaisha?
Habarini za usiku wasomaji
Mimi ni kijana mdogo tuu ambaye mara nyingi hujishughulisha na kilimo na ufugaji.
Sasa mwaka huu baada ya kuvuna alizeti na vimahindi vyangu nikaona isiwe tabu ngoja...
Happy new December month, (kwa heshima ya aliyeanzisha uzi ule) niende kwenye mada moja kwa moja,
Kwanza naanza kwa kutoa wito kwa wanaume wenzangu, kuwa usikubalia kudate au kuwa kwenye mahusiano...
Nimejaribu kuangalia maisha ya wanandoa wengi nikayatafakari nikagundua bora utafute watoto wako hata wawili alafu uwapeleke kwa bimkubwa baada ya hapo upambane na maisha yako ukiwa single...
Ndo wanaume tulivyo. Mwanamke usipokuwa makini watu wanaku test kidogo. Anakuja mtu anakukumbatia kuwa amekumiss siku mbili tatu hajakuona. Ukikumbatiana naye anashika kiuno.
Kesho anakukiss...
Habari wadau.
Miezi kadhaa iliyopita nilibahatika nilipata kazi katika kampuni moja kubwa ya uzalishaji .
Nilianza kazi vizuri tu, ila siku ya kwanza tu naingia ofisini sekretari wa boss...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.