Habari zenu wakuu,
Sijui ni kawaida? I'm 27 yrs lakini katika kuishi kwangu kote mpaka leo, nimekua nkitamani siku nikiolewa baada ya muda kadhaa nimruhusu mume wangu aoe mke mwingine...yaani...
Kila mtu binadamu mbinu yake ya kuachana na mpenzi wake pindi anapoona amemchoka na haitaji tena kuendelea na hayo mahusiano.
Wengine huwatamkia waziwazi wapenzi wao kwamba waachane na wengine...
Yaani hadi nastaajabu jamani!
Kama kawaida yetu mabaharia tupo katika mgomo baridi wa kutolitumia neno ”NAKUPENDA" kwa hawa warembo.
Sasa stori iko hivi: Niko na mazoea sana na huyo msichana...
Some women would rather work themselves to early death than bring a house girl into the house. In the event that they do bring one, they go to great extents to find an elderly house girl, one that...
Habarini wanajamvi!
Kama mada husika hapo juu ilivyoandikwa ningependa niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi nimetokea katika familia yenye watoto wa4 wawili wa kiume na wawili wakike baba...
Habari wana JF.
Katika ulimwengu wa sasa hivi kupata mtu ambaye ata anza mahusiano na wewe kwa mara ya kwanza, kwa maana kuanza mahusiano na mwanamke ambaye ndo mara yake ya kwanza kimapenzi na...
Habari yako ndugu msomaji;
Ukweli ni kwamba wanaoteseka kwenye mahusiano ya kimapenzi hasa ni wanawake. Hivyo Leo naorodhesha sifa ambazo mwanamke anaweza kuzichunguza ili kujua anaingia kwenye...
Wakuu,
Nijielekeze moja kwa moja kwenye mada tuambiene ukweli.
Hivi wewe huwa unatumia condom? Kama ndio ni kwanini na kama sio ni kwanini?
Mimi situmii kwa kuwa huwa zinaniwasha, halafu...
Baada ya safari ndefu ya mahusiano tumefikia hatua ya kufunga ndoa ila binti ni mkatoliki mimi msabato mpaka sasa hatujafikia mwafaka nani amfuate nwenzie japo kisheria tumezoea mwanamke anamfata...
Kama wewe ulikuwa huna habari naye yeye akajileta mwenyewe ukamuonea huruma ukaone acha usimnyime ukampa anachokitaka sasa kumbe mimba ikanasa na wewe haukua tayari kuwa mzazi mwenzie.
Je...
Habarini wana jamvi. Naamini mko salama kabisa na poleni na mihangaiko ya hapa na pale.
Naandika uzi huu kuwakumbusha tu muishi nao kwa akili na pia umakini na kufatilia mambo kwa hawa wake zenu...
Waarabu waliwakusanya kwa kuwakamata waafrika na kuwauza Amerika na Ulaya., Biashara ile imeisha, tunaona sasa wamebadili mtindo wa utumwa, mnachukua watoto wa masikini vijijini na kuwafanyia...
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa tanzania wakuu wote, wanyonge na mabwanyenye wote.
Haraka sana kwny mada
iko hivi mi fb akaunti yangu picha nimeweka ya mke wng mbaya zaidi hata jna...
Tupeane uzoefu wazee wa kuingia chaka, wazee wa kujilipua, wazee wa kujitafutia mabalaa....
Sio kutongoza tu hata Kama ushawahi kubanduana nao we lete mrejesho hapa ikawaje, maana naamini humu...
1. Mazoezi:
Kufanya mazoezi, mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwa hiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujenga tabia ya kufanya mazoezi ambayo husaidia kukujengea afya njema na kukupa...
Habari zenu wakuu.
Nimekuja hapa kwa lengo moja pindi nilipoanza kushiriki mapenzi mwanzoni nilikuwa Vizuri tena sana Ila shida ilikuja kuanza mwaka 2017 baada ya kulala zaidi ya wanawake...
Unakuta mwanaume mzima unaongea nae haishi kula kucha, mara kuchora chini kwa kidole cha mguu, Mara kuangalia pembeni yaani wanafanana na wadada kwa kila kitu.
Hivi wanaume kama nyie huwa...
1. Epuka hasira za hovyo na kila mtu, kuwa msikivu kabla ya kukimbilia maamuzi (elewa kuwa ukiwa na hasira huwezi kupata suluhu ya jambo)
2. Usiwatendee wengine ubaya ukadhani kuwa utakuwa...
Hukizunguzia mapenzi hakuna yaliyomuacha kila mtu yamemgusa kwa namna moja au nyingine. hapa chini nmeandika mambo 5 ambayo unatakiwa kuyajua ili uhepukane na athali kubwa za mapenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.