Miezi kadhaa nilimtaka mwanamke jirani tu na ninapoishi, licha ya kunikubalia lakini chenga zikawa nyingi mnooo mpaka nikakata tamaa.
Lakini siyo siri jumla ya thamani ya vizinga alivyonipiga ni...
Mshana Jr natambua uwepo wako kaka yangu, na wote wana-JF.
Wakati nikiwa secondary nilikuwa kijana mpole na mwenye heshima sana kwa kila mtu(japokuwa mpaka sasa nina heshima), ilikuwa kama ni...
Mwanasaikolojia mmoja ( namhifadhi ) amesema ya kwamba kama ingekuwa ni hiari yake basi kamwe asingeshauri Watu waoane au wadumu katika Mahusiano yao kwa muda mrefu kutokana na kwamba Kisaikolojia...
Mama amezaa watoto7 lakini hana hata wa kumjulia hali, tena katika maradhi yanayomsibu.
Hivi kweli waafrika wa Tanzania tumefikia hatua ya kushindwa kulea wazazi wetu!?
Yaani hii ni kinyume...
Kama tunavyofahamu mwanaume kuna age ikifika umri wako unaanza kuonekana umeenda haswa kuanzia age of 36,40 na kuendelea at this age bado kuna vijana hawajaoa na hata mpango wa kuoa bado kabisa...
Mwanangu mmoja wa kufa na kuzikana ambaye ilikuwa hazipiti siku mbili lazima anitafute. Tangu nimpe taarifa ya kufukuzwa Kazi tena kama mbwa naona mpaka Leo tuna wiki mbili hatuja wasiliana...
Mwanaume au Mwanamke, sote huwa tumejenga Vigezo au Mambo ambayo tuna tarajia kutoka kwa wenzi wetu while tukiamini mambo hayo tukiyapata, kuyaona au kuya-experience kutoka kwa wenzi wetu basi...
Simu yangu kipindi cha nyuma nilikuwa siweki password. Mpaka siku moja nilipoibiwa halafu mwizi akaanza kuomba zitumwe pesa kwenye namba fulani akitumia simu yangu.
Hapo nikaona niwe naweka...
Hawa viumbe wanamajaribu sana. Mtu anajua kabisa huna mahala pa kupiga mzigo zaidi yake. Unamuita kwa geto ili upige shoo. Anakuja na anadai hawezi kukupa tena anadai kiuno ndio kipo hoi.
Huyu...
Mwaka huo wa 2016 mke wangu wa sasa alijifungua mtoto wa kike ambae kwa sasa ana umri wa miaka 5 yupo chekechea alifanana sana na mim baba yake lakini pia bibi yake ambae mama yangu mimi binafsi...
MWACHIE MBELE YA WATOTO NA UMWAMBIE NA MATUMIZI YAKE, NA WATOTO WASIKIE USIJE KUISHI MAISHA YA UPWEKE UZEENI
MWANAUME[emoji177]
Unamwachia mkeo hela ya Chakula Chumbani,
Mke Anatoka na Kapu...
Ukimuuliza mwanamke yeyote ni aina gani ya mwanaume anayemhitaji, unaweza kukutana na majibu kama vile, mpole, mcheshi, mwenye uwezo wa kunihudumia na anayenipenda kama ninavyompenda mimi. Wakati...
Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro
Usijipe uhakika hata robo...
When you're in a relationship, it's not just love and affection that keeps the connection going. A strong sense of intimacy and connection is required for your relationship to flourish and thrive...
Habari wakuu,
Katika maisha sisi tunaotongoza hukubaliwa au kukataliwa hii haina ubishi, sasa nimeoa kwa ndoa ya kanisani kabisa lakini ajabu ni kwamba wale waliokuwa matawi na hawanitaki sasa...
Kumekucha.
Nafikiri yapo mambo mengi katika haya maisha ambayo yanaweza kukufanya kulia ama kutoa machozi. Hata uwe mwamba kiasi gani kuna siku moja imeshatokea/itatokea kuna jambo litakufanya...
Wanawake mbona mmekosa huruma namna hii?
Yaani kabisa unaenda kununua shoka kisha unainoa vizuri kabisa kwa lengo la kumtwanganalo mumeo?
Tukio hili la manyara limenisikitisha sana. Imefikia...
Wakuu habari za weekend,
Leo nakuja na ushauri au maoni yangu juu ya uhalisia wa zawadi tunazopokea toka kwa wapendwa wetu tuwe tunazitafakari kwa upande wa pili. Namaanisha unaletewa Pafyumu au...
Damu ni nzito kuliko maji leo nimeumia sana.
Kuna Kaka yangu aliachana na mkewe kitambo sana mtoto akiwa na 2 yrs, yule Mama akamuacha mtoto. Mtoto kalelewa na baba yake since then Wala bro...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.