Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Habari za Leo ndugu zangu! Tukiwa tumebakiza masaa machache kuaga MWAKA 2018 kuelekea MWAKA 2019, ningependa kushukuru jukwaa la MMU kwa kunifanikisha kupata mpenzi wangu kama nikivyotangaza...
6 Reactions
78 Replies
5K Views
True story. Hapa mjini kwetu bana Nina bahati ya kutembea na wadada wauza migahawa na CHAKULA. Nadhani sijui ipoje hii, Kuna aina fulani ya Wanawake ukiwa na upepo nao basi ukimtongoza hatoki...
27 Reactions
46 Replies
5K Views
baada ya kipindi kirefu kuwa na swali ambalo halijibiki kirahisi, kwamba ni nani atakuwa umbavu wangu kwaza yukoje? Je atafanana kweli na mke ambaye yumo kwenye fikra zangu. ilikuwa tarehe 4...
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Kuna binti mmoja nilikuwa nadate naye kwa kipindi flani hivi, ila nikaja kuona kuwa mambo yake hayaeleweki na nikamuweka kando tena nilimwambia kabisa kwamba achukue time zake na mimi nifanye...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari Kaka, mimi ni Mama wa watoto wawili, nimeolewa ndoa yangu ina miaka 7 sasa, mwkaa jana nilikorofishana na mume wangu, nilimfumania na dada wa kazi. KutoKana na kunidhalilisha nilichukua...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums. Ndugu zangu watanzania; Je, ni sahihi kwa baba wa kambo na baba mzazi (biological father) kwa pamoja kuhudhuria katika sherehe...
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wana Jf! Poleni sana na majukumu ya siku ya leo, nawapa hongera pia kwa utaftaji. Mungu azidi kuwabariki katika shughuli zenu[emoji120] Kama mada inavyojieleza pale juu, kiukweli kwa...
2 Reactions
63 Replies
40K Views
Kumekuwa na wimbi kubwa la wanaume kulilialilia mapenzi, hivi ni dalili udhaifu baadhi yetu tulionao na kukosa uanaume ndani yetu? Guys sometimes tujikaze na kumuacha aende bila kukupesa macho...
2 Reactions
30 Replies
3K Views
Nina mchumba wangu huyo amekuwa akinishawishi tuzae mtoto upande wangu kiukweli kimaisha bado sijasimama hapa nilipo ninawaza hiyo mimba nitaileaje mtoto nitamleaje wakati kipato changu chenyewe...
3 Reactions
51 Replies
4K Views
Wakuu haya mambo ya DNA najua yatakuwa yamewagusa wanaume wengi! Nina mwanangu mdogo ndiyo atauanza mwaka wa nne hapa duniani muda sio mrefu ni wakike. Nina uhakika ni wakwangu kwasababu...
5 Reactions
80 Replies
15K Views
Manipulated Man by Esther Vilar Polygamous by Esther Vilar The Dating Wizard Secrets to Success with Women. Kwa walio oa ni vizuri mkajua kwa nini wanawake wanachepuka kwa kusoma The Dating...
9 Reactions
84 Replies
11K Views
Wakuu kwema, Yaani haya maisha yanaweza mchanganya mtu mpaka akajikuta anaishi nje ya malengo aliyojiwekea. Yaani huu ni mwezi wa tatu tangu nifukuzwe kibaruani. Hapa siku hizi nakula mlo mmoja...
5 Reactions
83 Replies
9K Views
Ukiwa mrembo na unataka kutoka ki maisha njoo Dar. Dar binti mrembo anaconfidence kuliko mwenye degree. Kwa Dar, binti mzuri anaishi maisha expensive kuliko maisha ya mkuu wa chuo mikoani. Kwa...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Jina lake linaanzia na M ni binti wa kaskazini mwa Tanzania mwenye level ya diploma katika upande wa elimu. Ni binti nilie mpenda kutoka moyoni, shida zake zote zilikuwa zangu niliakikisha...
17 Reactions
228 Replies
16K Views
Mke wangu kaanza tabia nikitoka kazini ananiambia nikajipakulie jikoni. Muda huo anamjali sana mdogo wangu wa kiume kiasi hata wakati mwingine anasema chakula kimeisha nikienda kumpa hi mdogo...
12 Reactions
74 Replies
7K Views
Habarini za leo Jumamosi poleni na mihangaiko ya wiki nzima matumaini yangu kuwa wote mpo wazima kabisa wa buheri . Twende kwenye mada yetu husika na pendwa kama ilivyotajwa hapo juu rejea kichwa...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Nimeachana na aliekuwa mpenzi wangu lakini hatujaachana kwa amani tumetukanana sana na kutoleana maneno makali ambayo hayafai kuandikwa hapa. Lakini moyo wangu bado unampenda huyu msichana na...
6 Reactions
306 Replies
30K Views
Mwanamke kuolewa ni lazima na sio bahati, wanaosema bahati wengi kilomita zimekata, wamekata ringi.. Kila mwanaume anaetaka kukuoa unamkataa unasema sio wa type yako.. ukija kushituka una miaka...
16 Reactions
32 Replies
4K Views
You don't have to date a lady for months to get to know her inside and out; you may get a sense of her personality and sense of humor on the first date. All you need are a few questions. These...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nimekuwa na tabia ya kukasirika na kuvunja mahusiano kwa sababu za kijinga tu hadi nashindwa kuelewa nina mdudu gani kichwani mwangu Demu wangu wa kwanza alikuwa hana simu, so akawa...
12 Reactions
102 Replies
11K Views
Back
Top Bottom