Nina miaka takribani kumi toka nioe. Toka kuanza urafiki mpaka kuoana na huyu mke tulikaa miaka tisa.
Nikukuwa na ups and down katika ndoa yangu physical na psychological mpaka wakati mwingine...
Baada ya kufunga ndoa na mke wangu umri miaka 18, mwezi mmoja baada alianza kuumwa ugonjwa wa kuishiwa damu ambapo kabla niliambiwa ni tatizo alilokuwa nalo toka utotoni sasa lilikwisha pona haya...
Kwa muda mrefu nimekuwa ni kijiuliza kuwa ni msichana wa namna gani ambaye naweza kufanya mahusiano naye?
Hii ni kutokana na kuchoshwa na tabia za wadada wengi ambao ukijichanganya ukafanya nao...
Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja...
Hapa kunanjia 10 utakazozitumia wewe mwanaume ili kuhakikisha humkwazi mwanamke unayempenda mnapokuwa katika mazungumzo ;
1. Wakati ukizungumza nae, jaribu kuzungumzia "hisia" kama vile kumbu...
Siku hiyo kidume cha mbegu nilikuwa nakula mzigo wa mke wa mtu kwake, Mumewe alikuwa Safari. Baada ya kumaliza kula mzigo mzee nikawa nimejilaza pale kitandani huku mikono yangu nikiwa nimeiweka...
Kuna kitu nimekigundua siku za hivi karibuni, na naona kinafanana na wadada wengi, hata baadhi ya marafiki zangu nao wameanza kukumbana nacho.
Inaonekana mahusiano ya kimapenzi imekuwa mojawapo...
YAPO MAWILI MATATU YA KUJIFUNZA HAPA [emoji116]
Anaandika Goliath Mfalamagoha
_
Boniface Murage, mkazi wa Embakasi, Nairobi nchini Kenya, amekuwa gumzo katika vyombo vya habari Afrika Mashariki...
Kila nikiwa na mahusiano lazima dada na mzazi (mama) waniambie mwanamke hanifai na nikimuacha wanaanza kunisengenya kuwa siwezi kuishi na mwanamke.
Hali hii inasababishwa na nini?
Wdada waliojitunza na wenye kuishi kwa kufuata miiko na maadili hawaolewi. Kwasabb watu waovu ni wengi kuliko wema.
Dunia imejaa ubatili na hivyo wenye ubatili wametamalaki. Wakaka wengi...
Nauliza hivi sababu najua jukwaa hili tutapata muafaka wa hili jambo tukiweka kwa pamoja mawazo yetu katika jambo hili ambalo hua lina mkanganyiko katika mahusiano mengi.
Lakini je nauliza...
Katika mahusiano yeyote yale kuachwa ni jambo la kawaida lakini ndani ya mahusiano ukigundua kuna dalili za kuachwa na mpenzi wako
Huwa unachukua hatua gani mapema kukabiliana mapema na hali hiii...
Mimi naenda direct, unakuta asilimia kubwa wakaka wanaoa wadada wasio na mashepu mazuri ila wanafumaniwa na wadada wa aina hiyo.
Unakuta mchepuko ni hatari mkali na anawaka ila wife wa huyo kaka...
Ni ushauri wa muhimu.
Katika kazi niifanyayo kwa Sasa nimekutana na wakaka na wadada wenye tatizo la uzazi na unakuta washafunga ndoa.
Nikupe case study moja, Kuna afisa mmoja mkenya Ana pesa...
Poleni na majukumu wakuu,
NAHITAJI ushauri wenu Kwa hili..,Mimi nipo na mrembo wangu kwa muda Sasa alienivumilia kwa mengi na tumedumu karibun miaka miwili.ni msichana alienipenda kwa dhati na...
Wakuu bila shaka hamjambo!
Aisee! Mimi ni mfanyakazi wa shirika moja nafanya kazi kwa kuzunguka the whole week. Nachojishangaa hii kazi nahisi kabisa siitaki ila nafanya tu basi.
Kuna siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.