Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Miaka ya karibuni Kuna kundi la Wanawake ambao wanaojiheshimu na hawajaolewa wanalalamika kwamba Wanawake ambao hawajatulia ndo wanaolewa Ukweli ni kwamba Wanawake ambao wanaonekana hawajatulia...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Mada iko nyepesi kabisa vijana wakiume tukimbilieni darasa la Saba au kidato cha nne aliyeshindwa Kwani wengi wao ndo wake sahihi ukimkuta mwenye dini. Msichana wa chuo kikuu anaamini ndo ni...
23 Reactions
109 Replies
10K Views
Salam, Kuna app locker (kificha faragha) naweza kuita hivyo, kimenihadaa na kuniaminisha kuwa naweza kuficha SMS na Chats lakini kimeniumbua na kusababisha mtafaruku ndani ya nyumba baada ya wife...
10 Reactions
108 Replies
10K Views
Natumai hamjambo wakuu Wakuu hili jambo limekuwa likinishangaza sana, yaani kijana wa kiume mwenye akili darasani hushobokewa sana na wadada but mabinti wenye akili darasani huogopwa na...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari zenu kwa ujumla, Kuna jambo nimeligundua wapenzi najua humu kuna wajuaji zaidi yangu mnisaidie mawazo yenu. Ni hivi tokea nianze mahusiano na ex wangu cha ajabu sijawahi kutembea na...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Wanajukwaa, Moja ya mambo yanayoweza kukuua ni hili la kufumania mpenzi au mkeo na hasa akiwa katikatikati ya sita kwa sita na jamaa mwingine. Mliowahi kufumania leteni uzoefu wenu na nini cha...
3 Reactions
49 Replies
8K Views
Kuna wanawake kama wanane hivi ambao nawafahamu kwa karibu ambao wana sifa zote za kuolewa haraka but wapo wapo tu... Na wote huwa nasikia wakilalamika kuwa wanaume ambao ni husband material...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Wakuu nadhani shetani yupo kazini, mzee wangu. Anafanya kazi mkoani mimi nipo mkoa mwingine anakuja mara moja au 2 kwa mwezi. Tuna miaka 18 katika ndoa sijawahi kuchepuka, mwanzoni nilikuwa...
9 Reactions
74 Replies
6K Views
Ujue haya mambo haya... Boss wangu mpya ni mmama flan hiv..single mama nadhan sjui vizur..ngoja nichunguze..ila havai pete yoyote Kiufup ana dalili zote za kunipenda huyu mama..ila ndo dah...
16 Reactions
143 Replies
12K Views
Habari wakuu, mimi sio mgeni jamiiforums mara nyingi hapenda tu kuangalia nyuzi za watu na kuchangia inapobidi.Leo nimeona niwashirikishe yaliyonisibu Nipo kwenye ndoa zaidi ya mwaka sasa na kati...
21 Reactions
136 Replies
12K Views
Napofanyia kazi hapa kijiweni Kuna njia inayoelekea sokoni Sasa kila siku asubuhi mida ya saa tatu mpk saa sita mchana wanawake hasa wa Rika la Kati wengine wameolewa hupita huku wakiwa...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80. Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu...
13 Reactions
233 Replies
13K Views
Wasalamu ndugu wana Jamii Forum, Namshukuru Mungu kwa kutupatia uzima wa kuendelea kupeana mafunzo kupitia majukwaa mbalimbali ya kijamii mtandaoni hakika hatuna budi kusema asante Mungu. Nianze...
19 Reactions
122 Replies
14K Views
KATIKA uhusiano wa kimapenzi hakuna kosa kubwa kwa wanaume kama kutojiamini na mbaya zaidi kutomwamini mwenza wake. Kumekuwa na dhana kuwa tatizo la wivu lipo sana kwa wanawake kuliko wanaume...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wakuu naombeni ushauri shem/wifi yenu wkt nashughulika anapiga kelele weee then ananing'ata kifuani au mkono au vidole hata mguuni inategemea position niliyopo wkt tunajipa raha basi inafika...
0 Reactions
49 Replies
6K Views
A friend of mine gave me a scenario. It was a simple question but I personally haven't found the answer yet. It goes like this. If you were in a scenario where you were torn between choosing the...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
RIP Fredwaaa. Nalaani kitendo alichafanyiwa mke wangu mpendwa siku ya harussi yetu. Siku ya harusi mke wangu na mimi tukiwa ukumbini tulishtuka kuona mtu akichukua mic na kuanza kumdai waifu...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari za usiku wanajamvi, poleni na pilika za kutafuta ugali.Basi bwana baada ya kutishwa na bi mkubwa kuhusu mumewe,mie nikarudi daslam baada ya mishe zangu mkoa kukamilika. Siku nafika jamaa...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Habari wanaJF. Kuna mtu katika watu amepatwa kuulizwa swali kama hili na mwanawe wa darasa la nne "Baba mbona akili yako na yangu hatufanani, una uhakika kwamba mimi ni mwanao kweli? Hii...
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Sijui Wana tamaa, ukipendeza wanajileta, Sura mbaya imekomaa utawapata ukiwa na pesa. Ukimfata na gari hata kama la kuazima, ujue amekwisha huyo. Akikupa namba we tuma salio, mwambie njoo gheto...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom