Pesa isiwe kigezo cha kumpenda mwanaume mnafeli sana hapa!! Asilimia 100 ya wanaume wote duniani washajua MWANAMKE ILI UMPATE MPE PESA sasa hapa wanachokifanya wanawapa pesa na kwa sababu baadhi...
Mwaka 2010 niliingia katika mahusiano ya kimapenzi na binti mmoja mwanafunzi wa kidato cha 5.
Tulidumu kwa muda mrefu sana kwani alikua akisoma jitegemee sec school nilikua nikimuhudumia vitu...
Wakuu leo nimekutana na mtoto mzuri nikaona usiwe taabu acha niongeo naye kdgo hata namba niombe ikiwezekana nitupie maneno yangu siku zijazo.
Duuh nimeongea naye vzr kabsa bila tabu sasa...
NIMEPOTEZA KIBARUA
Binafsi sikuwa muajiriwa serikalini, lakini nilikuwa kibarua katika kampuni flani. Hii ni sehemu ambayo imenilea kwa muda mrefu kiasi kisichopungua miaka mitatu. Hii ndio...
Mimi tokea nipate akili nmewahi kuwa ktk relationships 2 tu hii ya sasa hv ni ya pili. Lakn ktk hizi relationship sijawahi kufurahia sex, kwangu mimi sex sio starehe km wengine. Huwa nafurahia sex...
Vitu ambavyo siwezi kuja kuvifanya hata nipende vipi. Vitu hivi vikitokea bora kla mtu aende upande wke tu na wala sitojiuliza mara mbili ni kuachana tu.
1. Kua against na familia yngu. Hta...
Liverpool VPN ameanzisha uzi huu
Sasa mnaoa ili iwaje? Hebu angalia hii familia kimsingi ameonyesha kwamba kwa kuwatazama wenza aliowaelezea hakuna haja ya ndoa.
Anashare msimamo na watu...
Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na...
Hivi inakuaje mzazi unamchagulia mwanao wa kiume mke wa kumuoa au mwanao wa kike mume wa kuolewa naye.
Kama wamependana kwanini msiwaache waende kuishi kwa Amani na taratibu zote na kanuni...
Kwa tamaduni zetu za Afrika hususani Tanzania ukweni (kwa wazazi wa mke/mme) ni sehemu inayoheshimika sana kwenda ukweni hakuhitaji kukurupuka lazima ujiandae kuanzia muonekano, unachoongea na...
Kwasababu jambo hili limekuwa fashion huku mtaani, hawa madada zetu bila kufanyiwa hii kitu hawaridhiki kabisa.
Kwa hiyo natoa ushauri kwa wataalamu wa afya kubuni kondomu salama ya kuvaa mdomoni...
Teknolojia imekuja na mambo mengi. Sasa hivi kila mwanamama anataka amiliki simujanja. Na akishamiliki simujanja basi anajiona ana kila kitu.
Siku hizi wamebakiza kupakua picha za ngono na...
Numerous lovely larger measured models are additionally awe-inspiring. Ladies with bends ought to be glad whether they are a size 2 or size 20. The business sees that all ladies are or ought to be...
1. Timing in life is everything.
2. The two most powerful warriors are patience and time.
3. know that to love yourself is the beginning of a life long romance
4. Being single is definitely...
Kumekua na malalamiko mengi kwenye jamii za kitanzania na kiafrika kwa ujumla mara watoto wanapokua na kuanza kujitegemea na umri wa wazazi kusogea, wototo huwa wanakua karibu na mama zao zaidi ya...
Huu ndiyo ukweli, jana nimemla mmoja baada ya kumwambia siwezi kumtumia pesa maana makato ni makubwa mno. Naye akasema aje ili aichukue personaly na akapelekewa moto.
Tutumieni nafasi hii kuwala...
Unajua kwasisi ambao tunazurura usiku weekend huwa tunakutana na warembo aina mbalimbali..so unajikuta unachkua namba.na hawakatai kutoa namba..mim sikumbuk mara ya mwisho nimenyimwa namba lini...
Achana ni tozo za miamala, tutazoea tu ndugu zangu.
Ila kwa hili, nimeshindwa kabisa kuzoea. Labda kama ni tatizo mnisaidie, au kama siko peke yangu basi nifarijike.
Imekuwa ni muda mrefu sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.