Iko hivi mzaz mwenzangu ambae tuliishi kwa mda ikitokea mfarakano akapata dume jingine tena bila kunitaarifu.
Siku za mwanzo wa magusiano yake alinipiga block hata yakumuona mwanangu na hela...
Kusema kweli kuna kitu nimekiona kutoka kwa hawa warembo, Yaan kams pisiKali inakupenda kwa dhati na hafanyi yale ya kuchepuka alafu wewe dume ukawa huishi kutomuamini yaaan wivu kwa sana mara...
Kabla hatujajiuliza kama mapenzi ya kweli yapo inatupasa tujiulize na kufahamu neno "PENZI LA KWELI" ni nini? picha ambayo huwajia wengi vichwani mwao wanaposikia neno hili penzi la kweli huona...
1. Mpe muda wako. Usimfanye aombe muda wako. Tengeneza muda kwa ajili yake. Tengeneza wakati ambao mtakuwa mkifurahi na kupiga story pamoja. Usiwe bize Jumatatu mpaka Jumapili. Wanawake hupenda...
Naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...!
- Tatizo jingine la mdau wa JF.
Habarini wana jamvi,
Jamani naomba msaada wa...
Miaka 11 iliyo pita July 16 kuamkia july17
Nilimpoteza dada angu kipenzi RITHA
Sio kua sikuwai kushuhudia msiba hapanaa.........
Uli ishi Miaka 24 tuu....ndio kwanza ulikua umeanza Kazi ya...
Ndugu zangu natumain nyote ni wazima wa afya kuna jambo nmeona kushare na nyie kwa faida yetu sote
Wiki hii katika pitapita zangu katika mtandao wa tinder bhas nikakutana na mwanadada mmoja kwa...
Watu wengi katika maisha wamekuwa wakilaumu upande mwingine iwe mke wake au mume wake kwamba ndiye sababu ya kuvunjika kwa uhusiano au ndoa yao. hakuna jambo muhimu maishani mwako kama huo uamuzi...
🖊️ Huu si udhaifu wa kiume?
WANAUME wengi wanapenda kuoa wanawake wanaowazidi sana umri. Ni nadra kukutana na mwanaume aliyezidiwa umri na mke wake.
Kama hiyo haitoshi, wanaume wengi wanapenda...
Katika Safari yangu ya mapenzi/mahusiano enzi hizo ,sifa nyingine ya wanaume nilowahi kutoka nao kimapenzi ni wahaya.Niliwahi toka na wahaya watatu kwa nyakati tofauti hadi nikahisi nina mkosi na...
Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali.
Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa...
Ex boyfriend.
Mademu wengi nilio wahi kupita nao halafu baadae wakaenda kuolewa walinitafuta baada ya miezi kadhaa na kuendelea kunipa tunda kama kawaida huku wakiwaponda sana waume zao na maisha...
Habari za muda huu wana Jf. Kuna jambo naomba kuuliza pengine mimi ndio sielewi.
Hivi tukiachana na fedha, nini kingine wanachohitaji wanawake?
Maana kuna kenge mmoja kila ninalolifanya kwake...
Wakuu, yamenifika hapa
Nimekuwa nikiishi na binti wa watu kinyemela kwa takribani miezi MINNE sasa. Tulianza kama masikhara, mwisho nikamruhusu ahamie ili nijihakikishie tunda kila nikiwa na...
Wanabodi, katika harakati zangu za kutafuta mwenzi nimekuwa nikikumbana na changamoto kuu ya KUKATALIWA NA KILA BINTI!
Kila nikiandaa 'outing' na mabinti wengi wananikimbia na kwa wanaokubali...
Katika pita pita zangu katika mitandao mbali mbali ya duniani kama vile tagged, tinder. badoo hatimae leo nimepata demu mzungu ambaye kwao ni CANADA.
Alianza yeye kuchati na mm baada tu ya...
Baada ya kujikita kusoma sana nyuzi za watu na mimi leo naandika uzi wangu.
Miaka mitano huko nyuma nilikuwa na tabia ya kutumia ukurasa wangu wa facebook kushare mambo yanayohusiana na utaalamu...
Habari.
Ningependa kuanza kwa kisa.
Jamaa mmoja msomi tu wa masters degree kipindi kile Cha 2000 (miaka ile masters ilikua dili sio Kama leo karibu Kila mtu anayo) alipangiwa kuoa binti Fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.