Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Unakuta kijana ameoa au ameolewa hata mwaka haujaisha unashanga anakwambia hana raha na ndoa yake mwingine anakwambia anajuta kuoa au kuolewa anatamani ndoa ivunjike ila kwa sababu ya wazazi...
14 Reactions
112 Replies
14K Views
Kuna jamaa angu tunaishi mtaa mmoja na tunashauriana vitu vingi kama vijana tuliooa tayari Jamaa yeye kiukweli ni bonge la mchepukaji me simfikii amekuwa na hiyo tabia for a long time mke wake...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Men, If you get a chaste woman, a pure woman, undefiled woman, a virgin woman, don't disappoint her. Don't disgrace her her. Such women are rare. Best relationships are established when a lady...
7 Reactions
41 Replies
2K Views
"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA" "Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto...
5 Reactions
17 Replies
2K Views
Kama heading inavyosema sitasahau siku mwili uliponiwasha nikajipeleka maeneo flani hivi ambako bitch wanapatikana kwa 5000 baada ya kumaliza haja yangu nilitamani kulia maana nilijua HIV...
22 Reactions
270 Replies
58K Views
Wakuu habari za mida. Direct kwenye mada, baada ya kukaa single muda mrefu nikaona nitafute pisi kali nikae nayo kwa muda ikikaa mkao niingize ndichi. Kama miezi miwili imepita nimekutana na pisi...
6 Reactions
29 Replies
3K Views
Habarini za leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku. Wakuu nina swali, ni topic ambayo naifanyia utafiti. Topic inasema hivi, "Hivi kwanini wanawake wengi ni wachawi?" Maana hata...
3 Reactions
101 Replies
13K Views
Mahusiano yenye afya ni yale yanayokupendezesha na kukupa furaha tangu ulipoingia kwenye hayo mahusiano,na kukufanya kuwa:- Smart/ usafi wa mavazi na mwili kuwa mwenye furaha muda wote Mwili...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mara nyingine tena, tunarudi kwenye jukwaa letu pendwa la MMU, Mbarikiwe nyote mnaofanya hii platform ichangamke kwa experiences mnazojumuika nasi humu, tunajifunza na kuyaepuka makosa...
8 Reactions
33 Replies
4K Views
Baba Jayrose na mama Jayrose waliona 2005. Wakati huo mama Jayrose amemaliza form six lakini changamoto za maisha zilikua nyingi na alikubali kuolewa. Baba Jayrose ni muajiriwa wa kampuni ya...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Salaam Wakuu, Hivi haya mambo ya Watanganyika kuvaa Mawigi na kubandika Kope wameyatoa wapi? Wengine wanajichubua wafanane na Wapemba. Aibu! Nipo hapa Zanzibar, nmefikia Kilimani. Nimefurahi...
11 Reactions
30 Replies
5K Views
Wanajamvi hii imetokea ni rafiki wa mama kaja kushtaki mwanawe kamtukana hivyo, baada ya kumsema mwenendo wake hauridhishi atapata mimba isiyo na baba. Akamtamkia maneno hayo ila kaka wa yule...
8 Reactions
209 Replies
28K Views
Habari wakuu, poleni na mihangaiko ya hapa na pale. Naombeni msaada juu ya hili ninaloliona mbele yangu. Iko hivi nini mpenzi wangu ambaye yeye yuko kwao na mimi pia niko kwetu il nin ka, yangu...
5 Reactions
93 Replies
6K Views
Hello, Not all people watakucheka na kukusema, but nimeona watu wengi ambao walishajijengea reputation mbele ya jamii kuwa wana hela nyingi, wakifulia tu..maneno ambayo huwa wanasemwa kama ni...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Salaam wana jukwaa. Kama kichwa cha mada kinavyouliza, Je tendo la ndoa linafaa wakati gani?Je linafaa kabla ya ndoa au baada ya ndoa? Tukiachana na Imani za dini, Je mila na desturi zetu kama...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Habari gani ndugu zangu wanajamvi pendwa la MMU. Natumaini wote ni wazima wa Afya kabisa, Mi pia ni mzima wa Afya. Iko hivi, nina mpenzi wangu ambaye kusema ukweli nampenda ila kuna zile up and...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Jamaa yangu tuko nae tunakula hapa hotelini, kuna muhudumu nikampenda, nikaomba namba muhuduma akakataa, nikamwambia direct kua kwa siku moja nampa 150,000 akakubali. Jamaa alishangaa sana...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
" Inavyosemekana haijathibitika. Huyo kijana katika video anamchapa mama yake mzazi. Sina hakika kama ni kweli vyovyote iwavyo sijapendezwa kabisa nimechukizwa kweli. Naomba anaejua ukweli wapi...
3 Reactions
76 Replies
10K Views
Habari wanajamii? Poleni na majukumu ya week nzima! Niende moja kwa moja kwenye uzi husika, mwaka 2013 nilianza mahusiano na binti mmoja ambae familia yao ilikua karibu sana na familia yetu...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Sasa imekuwa kawaida sana kwa wapenzi kuwaungilia wasichana kinyume na maumbile. Hawa wadada wanaona raha na kudhani ni ujanja, lakini hawaitazami kesho yake na madhila yake. Je, anayekuingilia...
46 Reactions
503 Replies
148K Views
Back
Top Bottom