Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hii vita sijui nani atakuwa mshindi, maana wanawake siku hizi hawana adabu wala utii tena kwa wanaume zao, kila kitu wanaonewa, wametoka kwenye kudai usawa sasa wanadai upendeleo, suala...
4 Reactions
8 Replies
965 Views
Kuna tabia wadada wanaweka picha kwenye profile zao ambazo siyo halisi. Yani unakuta kajipiga picha halafu anaifanyia manjonjo wewe una base kwenye picha hiyo lakini ukija kumuona ni vitu viwili...
7 Reactions
44 Replies
4K Views
Kama ambavyo tunaelimishwa kila siku madhara ya kuvuta sigara, na bado mpaka madaktari wanavuta, na tunaelimishwa kila siku kuhusu pombe, lakini watu wanajikuta wamefika bar, bila hata ya kujijua...
79 Reactions
706 Replies
63K Views
This is true story! Kipindi naingia mwaka wa pili chuo nilikutana na dada mmoja hivi ambaye nilitokea kumpenda, ilikuwa hivi: Ilikuwa mida ya mchana kama saa 7 au 8, kama sikosei. Tulikuwa na...
22 Reactions
106 Replies
13K Views
Woooozaaa inakuaje wadau habari zinakwendaje... Kama ilivyo ada nimekuja na mada mpya kwa wanaume yani kwamba uliichukuliaje ile first rejection kipindi unajifunza kumendea tunda la kati...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimeoa miaka nane iliyopita na nimepata watoto watatu. Ila sasa naona kama nilikosea kuchagua sababu huyu mke wangu tulianza mahusiano tukiwa shule tukaenda hadi Chuo kikuu pamoja. Sasa naona...
17 Reactions
345 Replies
45K Views
Habari wakuu, Natumai mko na furaha na amani tofauti na mimi. Hapo nyuma nilikuwa nawashangaa sana vijana wengi tu ambao wanaponda sana kitu kuoa. Nilikua nikiwabeza sana na kuhisi kama...
82 Reactions
303 Replies
38K Views
Wanawake hasa wadada, mnapotongozwa na Wanaume na kujibu; Nipo kwenye mahusiano huku ikiwa si kweli, haupo kwenye mahusiano yoyote; Upo unasikilizia kwa Mwanaume atakayekuja, ila jibu la nipo...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Nikiwa nje ya kitanda huwa akili na hisia zangu zipo katika kula mzigo. Kiasi ambacho nikiongea na demu kwenye simu tu jogoo anawika. Nikikaa na demu karibu, mnara unasimama nganganga. Sasa...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Wasalaam, Maisha ya family na Ndoa yanahitaji hekima na Busara kwa wanandoa wenyewe na pande zote za muunganiko huo unaotengeneza family kubwa. Rafiki zangu wengi au pengine hata wewe hapa...
7 Reactions
57 Replies
5K Views
Sio kazi ngumu sana kuelewa mwanamke anaekupenda kiukweli mwanamke anaekupenda kweli hawezi kukuomba wewe kitu chochote bali atachohitaji kutoka kwako sana sana ni muda wako na 'attention' yako...
21 Reactions
113 Replies
25K Views
Wanaume acheni ubahili kwa wapenzi wenu ili kuepuka dharau na kuibiwa. Mwanaume usipompa mpenzi wako pesa au kumjali kwa vizawadi na care za hapa na pale basi jua lazima mkeo; 1} Akudharau 2}...
6 Reactions
42 Replies
4K Views
Kuna dada niko nae kwenye mahusiano ila ni msimbe na maanisha aliwahiwa kuolewa na jamaa mwingine ila mimi na yeye tunapendana sasa mwenzangu ananiambie tuoane ila mimi naogopa kuchukua wowote...
1 Reactions
75 Replies
12K Views
Huyu mdada sijui ana matatizo ya aina gani yani akiniambia "nikuambie kitu" basi ataomba hela. Hata kama sijamkubalia au kumkatalia ataanza na mi msg kutwa kucha kukumbushia utazani kuna hela...
9 Reactions
48 Replies
4K Views
Vitu 10 Ambavyo Wanawake Wamewazidi Wanaume...![emoji116] 1. Wana Nguo Nyingi Kuliko Wanaume. 2. Wanafahamu Nani Ni Baba Halisi Wa Watoto Wao. 3. Ni Wepesi Kupenda Na Wakipenda Hupenda Kweli...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Enzi hizo kabla ya kuwaelewa wasichana vizuri kuna-stage wanaume tunapitia na huwa mara nyingi tukikaa tunajazana mauongo uongo mengi kiasi kwamba mpaka ukitoka hapo kama kuwaogopa wasichana basi...
9 Reactions
50 Replies
8K Views
Huu ni utafiti wangu ambao nimefanya na kuja na majibu na kama utakuwa hujakubaliana na mimi utaweza kukosoa. Pamoja na wengi kudhani kuwa mabinti hao ambao ni kuanzia miaka 18 hadi 24 kuwa na...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
zana qulibaly Wakuu Mimi huwa nakaa hata mwezi mzima sijakutana kimwili na mwanamke yaani mpaka niiotee show Basi ujue Ni zali kweli kweli sinaga habari nao kabisa.Sasa kesho Nina mechi na...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
1. Matumizi mazuri ya muda Matumizi ya muda ni swala muhimu kwa kila mtu, tena ni msingi wa mafanikio kwa kila mtu. Hivyo mzazi au mlezi anapaswa kumfundisha mtoto wake matumizi ya muda tangu...
6 Reactions
9 Replies
3K Views
Mkufunzi, Natumaini umesherehekea sikukuu salama. Dhumuni la huu uzi ni kusema yaliyo moyoni mwangu kabla mwaka 2021 haujaingia. Tumefahamiana hapahapa JF ila wewe ni mkufunzi haswa, lengo si...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Back
Top Bottom