Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Hatimaye Ametiki(Based on true story) Ilikua mwaka 2014 katika chuo cha elimu ya biashara(CBE) Tawi la Mbeya nilikuwa mwaka wangu wa pili nikichukua stashahada ya usimamizi wa biashara (diploma...
6 Reactions
195 Replies
20K Views
Wasalaam, Nina tatizo ndugu zangu,tena tatizo kubwa sana.Kifupi ni kwamba mimi nina mpenzi wangu ambaye kwasasa yapata miezi sita toka tulipoanza mahusiano yetu. Nampenda sana na mimi nadhani...
8 Reactions
359 Replies
42K Views
Macho yanachekaaa, moyo unaliaa Macho yanachekaae,moyo unaliaa Nikimkumbuaaa wangu maridhia, Nikimkumbuuka wangu maridhiaa, Chozi hunitoka kwa zake tabiaaaa, Chozi hunitoka mie kwa zake tabia...
3 Reactions
23 Replies
10K Views
Ndugu zangu, Nimekuwa kwenye mahusiano na msichana mmoja kama miezi miwili mwanzo sikujua kama pacha mpaka aliponitambulisha kwa pacha mwenzie wanafanana sana. Tatizo wamenigeuza (sex machine)...
2 Reactions
49 Replies
10K Views
Asaalam, karibu katika mahojiano ya moja kwa moja hapa JF. Mhojiwa leo ni mshana jr mimi mwanzisha uzi ndiye Host. Labda niseme tu leo mshana jr atahojiwa kila kitu, hasa kipaji chake...
33 Reactions
503 Replies
70K Views
Habari zenu mashabiki wa Yanga, nyie wengine mtajisalimia wenyewe. Tukienda kwenye mada husika ni kwamba kila mwanamke ninaye kutana nae anakuwa ni mtulivu kabisa yaani kwa kilugha chetu wasukuma...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Mara nyingi mitandaoni nimekuwa nikishuhudia mitandaoni sativa ski post mata ohoo natafute MTU wa kuoa, au nahitaji Mwanaume serious wa ndoa mwenye sifa hizi Mara zile . Napenda kuuliza, hivi...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Labda kwa kuanza tu niwasalim wote na nawaomba muwe miongoni mwa mtakaookoa nafsi yangu iliyojaa maumivu yasiyo na kifani Nilianza kuishi na mke wangu huyu 2008 kabla ya ndoa na tukabahatika...
15 Reactions
280 Replies
29K Views
Habari wakuu Hii wiki kumekua na idadi kubwa sana ya watu mjini kutokana na pilika mbalimbali za sikukuu Ila nilichogundua ni kuwa kuna ongezeko kubwa la watu wafup hasa wadada kiasi kwamba kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Fikiria uko mjini unakatiza mitaa mara paaap wife na mshkaji halafu wako huru wanagonga mikono na vicheko kibao jamaa humjui wala nini. Niambie Mkulungwa mwenzangu utafanyaje? Utawapa hai na...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Jamaa alikuwa mnoko sana akawa ananichongea kwa boss ili tu kitumbua changu kiingie mchanga na kweli alifanikiwa kikaingia kwelikweli. Wakati tupo kazini mke wa jamaa alikuwa anakuja kuja...
12 Reactions
76 Replies
8K Views
Habar wadau! Nadhan kila mtu upo home leo nimeleta mada hii ili kila mtu apate nafasi ya kuchangia na hii pia inaweza kutoa suhulisho ila hawa marafiki ishin nao kwa tahadhari sana tena hasa hasa...
9 Reactions
121 Replies
8K Views
Katika umri wa 40+ wengi wanakua na watoto, iwe kwenye ndoa au nje ya ndoa. Ni nadra kumkuta mtu wa 40+ hana mtoto. Katika harakati za maisha wengine wameachana na wenza wao na wengine kufiwa...
45 Reactions
179 Replies
15K Views
Wakuu, Naandika hapa kama sehemu ya kuomba ushauri pia. I have my wife, over recently tumekuwa na mikwaruzano ya hapa na pale chanzo kikiwa ni yeye kwenda kinyume na utaratibu tuliojiwekea...
14 Reactions
264 Replies
25K Views
Wakuu ni siku mpya, tumshukuru Mungu kwa kuiona. Niende moja kwa moja kwenye mada, katika mizunguko yangu ya kutafuta "utelezi" nilikutana na mdada flan very hardworking business woman. Baada ya...
9 Reactions
42 Replies
3K Views
Natumaini ni wazima wa afya na poleni na majukumu. Niingie kwenye mada. Mimi ni mwanaume nina miaka 24, najishughulisha na kazi binafsi Ila bado kipato changu sio kikubwa. Miezi michache...
17 Reactions
148 Replies
9K Views
Nawasalimu wana Jambi. Natumai mu wazima. Aiiisee! Nimekaa hapa kuna jambo kidogo limenipandisha hasira. Iko hivi , nimempigia manzi kwa kutegemea muda huu atakuwa home . lakini katika kumuuliza...
4 Reactions
12 Replies
973 Views
Hivi ukiwa na mwanamke ambaye mnaishi kama mnashinda, yaani ukiwasha tv anawasha redio. Hataki kukufulia, hataki kuosha vyombo, kisa kwao ni karibu mkinuniana kidogo anaenda kwao. Akisikia...
7 Reactions
72 Replies
7K Views
Nawasalimu sana Wakuu. Straight to the point. Nimeoa takribani miaka 9 imepita sasa. Nikiri sijawahi kuwa na mgogoro mkuubwa kivile kwenye ndoa yangu. Zaidi ya zile confusion za hapa na pale...
28 Reactions
247 Replies
22K Views
Wakuu Huwa sipendi kuficha Kwenye ndoa zetu hizi mama mkwe kumpenda mkwewe asilimia mia ni kitu ambacho hakiwezekani. Huwa wanawapenda ki-uongo tu na ki-nje nje. Sababu kubwa ni kuwa kutokana...
12 Reactions
46 Replies
10K Views
Back
Top Bottom