Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana
Ukiwa ni binadamu mwenye akili timamu, Mwanaume unayejiamini hasa, unaweza vipi kwenda Supermarket au Sokoni na kutoa pesa mfukoni tena kwa mbwe mbwe nyingi na mikogo kibao na kununua Apple ambalo...
31 Reactions
170 Replies
51K Views
Wakuu tangu nianze kuishi na huyu bibie amani imepungua ndani kisa ni Mimi kunywa pombe, kabla alijuwa na alikuwa ananiona nakunywa hadi tukaanza kuishi pamoja. Simtukani, simfanyii fujo...
8 Reactions
99 Replies
7K Views
Kuna MTU nilikuwa nawasiliana naye kipindi cha nyuma miaka mitatu iliyopita, ila sasa hapokei simu wala kujibu meseji!!! Hata namba ngeni hapokei!!! Nimeangalia usajili wake bado ni wake. Namba...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Habari wakuu, Leo ngoja niwashirikishe jambo hili lililonitokea miaka kadhaa nyuma. Mwaka 2008 nilipomaliza kidato cha 6 nikiwa katika kipindi cha kusubiria kujiunga na chuo nilikutana na binti...
4 Reactions
56 Replies
6K Views
Wote tunafahamu kuwa suala la ndoa ni jambo la heshima na baraka katika misingi ya kijamii na kiimani. Swala la kufanya ndoa kama sherehe kubwa liko katika maamuzi na mapenzi ya wanandoa wenyewe...
37 Reactions
270 Replies
53K Views
BARUA YA UCHUMBA; SABABU 30 ZILIZONIFANYA NIMPOSE BINTI YENU. Kwa Mkono wa, Robert Heriel Taikon , kijana wenu, mwana wa Tibeli, kutoka nyota ya Jibi, Kuhani katika Hekalu Jeusi. Na, Kwa Baba...
4 Reactions
21 Replies
4K Views
Habari zenu wadau, Leo nimejitokeza kidogo kwa Mara ya kwanza nilikuwa na swali ambalo ningependa ku share nanyi na nipate maoni yenu. Eti ni kwanini wazazi hawapendi mtoto wao (wakiume) waoe...
3 Reactions
205 Replies
21K Views
Asikwambie mtu, yule crush wa utotoni hasa mara nyingi inakua shule ya msingi ni mapenzi ambayo yanavuruga sana hasa ukizingatia mara nyingi mtu mabae unampenda anakua hana ata habari au aanajua...
30 Reactions
230 Replies
22K Views
Ninaitwa Alfred James ninaishi Arusha kikazi nimeajiriwa serikalini ila mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa mkoa wa Mara wilaya ya Bunda Umri wangu miaka 32 nina watoto wawili wote wa kiume...
2 Reactions
2 Replies
863 Views
Wakuu salaam, Napenda kutumia fursa hii kumtukuza Mungu na pia kushare nanyi furaha niliyonayo moyoni mwangu kwa kuwa Mungu amenitendea mambo makuu sana. Ndugu zangu, katika maisha ya ujana...
23 Reactions
68 Replies
8K Views
Habari wana jamvi, kuna mdada nipo nae kwenye mahusiano na ananipenda sana na posa nimesha peleka kwao ila kuna vitu nimegundua ambavyo vinaweza leta shida baadae hivyo nataka kumuacha nitumie...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, Kiukweli mi nakosa raha kabisa nashindwa kuelewa yaani wapenzi wangu wote ambao nimeshawahi kuwa nao wote wameolewa. Sina X hata mmoja ambaye yuko single na wanaolewa kwa ndoa...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Unajua bhana sio kila mwanaume anapenda kuchezea hisia za mwanamke kuna sisi wengine tumembwa na roho ya huruma, kuliko kuchezea hisia za mtu ni heri umwambie ukweli tu kama haupendi ili kuepusha...
6 Reactions
101 Replies
11K Views
TABIA ZA MWANAUME MWEMBAMBA: 1. Anapenda wanawake vibonge (zawadi ya kudumu) 2. Ana uwezo wa kubuni nakutatua matatzo ya mpnzi wake,pia ni mtu mwenye hisia kal kwenye mapenzi 3. Ana nguvu kubwa...
21 Reactions
285 Replies
30K Views
Wasichana wanne waliingia katika mkutano wakiwa wamevaa nguo mapaja yakiwa nje. Kabla ya mkutano kuanza mzee mmoja alikuwa ndiye mwenyekiti wa mkutano huo. Mzee huyo aliwaangalia kwa makini...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanaume tujitahidi sana sana kuwapenda wake, wapenzi wetu tunaoishi nao, Busu(kiss) ni siraha tosha ya kuimalisha mahusiano, Asubuhi ukiamka mbusu mkeo, mpenzi wako kwenye paji la uso, shavuni na...
8 Reactions
6 Replies
1K Views
Zijue faida 11 za kulala uchi au mtupu nyakati za Usiku UMEZOEA kulala na nguo nyepesi za kulalia? Au unahisi vizuri zaidi ukilala na nguo nzito laini za kulalia? Watu wengi hujifunika mashuka na...
2 Reactions
146 Replies
52K Views
Mwanamke amemliwa kimtii mume wake na sio kumpenda, mwanaume ameamuliwa kumpenda mke wake, na ndani ya utii kuna upendo heshima unyenyekevu. Wanawake wengi leo tunajua kupenda na sio kimtii mumeo...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Hapa nilipo nimekosa usingizi kwa mawazo. Why mimi sina bahati kwenye mapenzi wala sina furaha kwenye mapenzi. Sijawai kufurahia mapenzi wala kumpata niliempenda akanipenda jamani hii kitu imekuwa...
19 Reactions
133 Replies
16K Views
Iko hivi, Kuna jamaa ni jirani yangu anapiga mishe kwenye duka la wachina hapo gerezani, wanauza aina mbalimbali za vyuma na mabati ya mageti. Inavyoonekana jamaa ni anapiga hela ndefu kinyama...
7 Reactions
50 Replies
4K Views
Back
Top Bottom